Kila wakidhani umeisha ndo unafufuka upya, kule kulitaja jina la Mungu wako kila siku linakupa ulinzi na maono ya kesho yako.
Unawatesa sana wapinzani wako mind you wapinzani wako siyo kutoka vyama vya upinzani wako ndani ya nyumba, kwa jinsi unavyopenya na kujibu shida za wale unaowaongoza...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda , ameonesha hali ya kushangazwa na kuchukizwa mara baada ya kutembelea na kukagua mradi wa kisima cha maji uliopo kijiji cha Ilidonyo Kata ya Sinya katika Halmashauri ya Wilaya ya Longido uliotumia kiasi cha fedha takribani Tsh Milioni 600 na bado...
Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha leo Mei 16, 2024 limepokea msaada wa pikipiki 20 toka benki ya CRDB kwa ajili ya kuimarisha usalama wa raia na mali zao katika Mkoa huo.
Pia soma:
LGE2024 - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha - Novemba 27, 2024
Akikabidhi pikipiki...
Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu.
Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile nivae tu au mimi siruhusiwi?
Je, Makonda kuvaa vile ana lengo gani au anataka kufikisha ujumbe gani...
Mkurugenzi Mwanzilishi wa Makampuni ya Vanilla International Limited, Simon Mnkondya amejikuta Mikononi mwa Polisi Mara baada ya kutajwa kutapeli wakulima wa Vanila mamilioni ya fedha na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paulo Makonda kuagiza akamatwe na alipe madai yao chini ya ulinzi mkali wa polisi...
MAKONDA AAINISHA MPANGO KAZI WA VIPENGELE SITA: LETS MAKE ARUSHA GREAT AGAIN!
April 8, 2024
Arusha
⦁ Mapokezi yamenitia moyo wa kuwa mtumishi mwema na mtetezi wa wanyonge. Kamwe sitaungana na fisadi kukandamiza haki zenu, nitakuwa sauti yenu mpaka ukamilifu wa dahali
⦁ Nawashukuru kwa...
Sheikh wa mkoa wa Arusha Sheikh Shaaban Bin Juma akiambatana na viongozi wengine wa BAKWATA mkoa wa Arusha leo, Mei 07.2024 ameongoza sala maalum ya kumuombea kheri Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda ili aweze kufanikiwa kwenye programu yake maalum inayoanza kesho Mei 08.2024...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.