ratiba

Ratiba Hefny (Arabic: رتيبة الحفني‎; 2 December 1931 – 16 September 2013) was an Egyptian and an international Opera singer (Soprano) who has performed in more than 500 opera performances. She was the dean of the Higher Institute of Arabic Music in Cairo. She became the director of the Cairo Opera House in 1988.
She grew up in a musical family, her father Mohamed Ahmed El-Hefny has written more than 45 books on music, and her grandmother to her mother was of a German origin, who also was a German opera singer. Ratiba started playing the piano at the age of five.
She also gave her singing voice to Snow White in Snow White and the Seven Dwarfs.

View More On Wikipedia.org
  1. Ratiba ya kesho Jumatatu 🌄 Asubuhi watu watakuwa nyumbani kwao tabata changombe. Mwili utatoka mochwali utapitiliza kanisani Hautafika nyumbani

    Ratiba ya kesho Jumatatu 🌄 Asubuhi watu watakuwa nyumbani kwao tabata changombe. Mwili utatoka mochwali utapitiliza kanisani Hautafika nyumbani Utaenda kanisani kwa ajiri ya ibada. Walio Nyumbani na watakao toka mochwali tutakutana kanisani, Baada ya ibada Ni safari ya kuelekea Tunduma kwa...
  2. LGE2024 CCM Itaheshimu ratiba ya mikutano kampeni Serikali za Mitaa

    CCM ITAHESHIMU RATIBA YA MIKUTANO KAMPENI SERIKALI ZA MITAA. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu(NEC) Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho katika kipindi chote Cha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kitaheshimu ratiba ya mikutano...
  3. LGE2024 Mlowo: Polisi watawanya Mkutano wa Mbowe kwa Mabomu. Kosa kaingilia ratiba ya ACT-Wazalendo

    Wakuu Jeshi la Polisi limemzuia mwenyekiti wa Chama cha CHADMA, Taifa, Freeman Mbowe kuzungumza na wananchi wa Mbozi, Mkoani Songwe, na kuwatawanya kwa mabomu wananchi waliokusanyika kumsikiliza mwenyekiti. Kwa mujibu wa Ratiba eneo hilo lilikuwa na mkutano wa Chama cha ACT wazalendo mchana wa...
  4. Ratiba ya Mitihani Kidato cha 4: Kenya Vs Tanzania

    Ukiziangalia tu hizi Timetable utajua ni kwa kiasi gani mitaala yetu ilivyo famba. Bado tuna safari ndefu sana.
  5. T

    Hoja ya ratiba kubana haina mashiko! Basi hakuna haja ya kusajili wa

    Ebu tuingie Kwa undani Kuhusu malalamiko ya timu kulalamika kuwa ratiba inabana Kwa kucheza Michezo baada ya siku 3. Kila Timu inatakiwa KUSAJILI wachezaji 30. Wenye mpira Wao sio wapumbavu kwa kutaka kila Timu isajili hiyo idadi ya wachezaji. Inapotokea Timu KUSAJILI idadi ya wachezaji chini...
  6. S

    Wanaopanga ratiba ya ligi ya Tanzania hawaweki usawa katika timu

    Habari za mchana, kwa uchache wa maneno ukijaribu kufatilia kuanzi mechi ya kwanza had imefikia sasa mzunguko wa8 kwa baadhi ya timu, utaona utaona hamna mechi hata moja iliyoihusisha Simba, Yanga au Azam wakicheza majira ya sa8 mchana na ukifatilia ratiba yote haikuonyeshi mda huo kwa hizo...
  7. MNH Je, na Sisi wenye Michogo Mibaya kama Kona za Milima ya Senkeke mnapanga lini kutuandalia Ratiba zetu za Kuturekebisha?

    Kichwa cha Habari MNH Je, na Sisi wenye Michogo mibaya kama Kona za Milima ya Senkeke mnapanga lini kutuandalia Ratiba zetu za Kuturekebisha Daktari Bingwa wa Upasuaji Rekebishi na Upasuaji Urembo, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Dk. Edwin Mrema, amesema kuwa Wataalamu wanafanya upasuaji...
  8. Weekend unafanya nini? Ratiba yako ikoje?

    Watu wengi haswa wenye shughuli rasmi kama biashara au ajira huwa wana mapumziko mwisho wa wiki. swali langu ni je unautumiaje muda wako wa weekend ambapo hauna jukumu la kufanya kazi? Hebu toa ratiba ili watu wapate kujifunza. Makala mbalimbali zinashauri vitu vya kufanya wikiendi: 1...
  9. Hebu tuambiane ratiba za Minada au Magulio kwenye mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Tanga, Dodoma n.k

    Habari wakuu, naamini hii itasaidia Kwa wafanyabiashara na wanunuzi. Hebu Leo tuambiane siku ambazo magulio / minada / hufanyika. Naomba nianze na Dar es salaam nilipo. Kivule Sokoni = Kila Jumanne Kitunda = Kila Ijumaa TABATA Kinyerezi (Mahakamani jirani na Kinyerezi park ) = Kila Jumatatu...
  10. Ratiba ya Raundi ya Tatu Carabao Cup yapangwa, vigogo wa Premier League wapata timu mchekea

    Ratiba ya Raundi ya Tatu ya Carabao Cup 2024/25 imepangwa ikishirikisha Timu 32, timu kubwa za Premier League zimepangiwa wapinzani kutoka katika madaraja ya chini ikiwemo Manchester United, Arsenal, Aston Villa, Tottenham na Manchester City. Upande wa Liverpool, yenyewe itakutana na ‘kazi’ kwa...
  11. Msaada: Wale ambao ratiba ya Secretariat ya ajira inaonesha status ni ORAL pekee Ina maana hawatafanya WRITTEN?

    Kwa mwenye uzoefu na hili suala tafadhali?
  12. Msimamo na Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024-2025.

    Ndugu wanamichezo wote! Leo 16-08-2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza. Nawaletea kwenu uzi maalumu utakaokuwa unawapa Updates za Msimamo wa Ligi ulivyo kila baada ya Mechi ndani ya msimu mzima! Mechi ya Leo 16.08.2024 Pamba 0- 0 Prison RATIBA YA GAME ZA 1st to 4th Round. Ligi ina jumla...
  13. U

    Ratiba ligi kuu yanga kuanzia ugenini na Kagera sugar agosti 29, Simba nyumbani na KMC agosti 18

    Wadau hamjamboni nyote? Yanga ugenini dhidi ya Kagera sugar 29 August na Simba ataanzia nyumbani uwanja wa KMC 18 August dhidi ya Tabora Swali langu kwanini simba acheze tarehe 18 na kisha yanga akaevwiki 2 ndiyo acheze? Hii imekaaje? Ratiba hiyo hapo
  14. Ratiba ya Ngao ya Jamii 2024.

  15. Ratiba ya mechi za Yanga za kujipima nguvu 2024/2025

    Timu ya Yanga imealikwa nchini Afrika Kusini katika mashindano ya Toyota Cup na TS Galaxy. Mashindano ya TS Galaxy yatarushwa live na kituo cha matangazo cha SABC na mashindano ya Toyota cup yatarushwa live na kituo cha matangazo cha Super sport. Tarehe 20/07/2024 Yanga vs Augsburg Tarehe...
  16. Hii ratiba mpya ya SGR mbona kama treni ya haraka ndo inaenda polepole kuliko ya kawaida

    dkk 8 tu zimeachana uharaka wake upoje ama mimi ndo sijaelewa.
  17. Ratiba ya Hatua ya 16 Bora UEFA Euro 2024

    Hatua ya 16 Bora UEFA Euro 2024 Juni 29, 2024 Switzerland Vs Italia (1:00 Usiku) Germany Vs Denmark (4:00 Usiku) Juni 30, 2024 England Vs Slovakia (1:00 Usiku) Uhispania Vs Georgia (4:00 Usiku) Julai 1, 2024 Ufaransa Vs Belgium (1:00 Usiku) Ureno Vs Slovenia (4:00 Usiku) Julai 2...
  18. Vijana kenya watangaza siku 7 za hasira dhidi ya serikali

    Siku moja tu baada ya maandamano ya kupinga mswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2024, vijana kupitia mitandao ya kijamii wametangaza hatua inayofuata sass, leo Ijumaa ikiwa ni kuzuru hifadhi ya maiti ya City kutoa heshima kwa mmoja wao Rex Kanyeki Masai aliyeuwawa kwa risasi jijini Nairobi...
  19. Vipi huko kwenye nyumba za kupanga hivi ratiba za usafi zinafuatwa?

    Kwenye nyumba nyingi kuna ratiba ya kufanya usafi kama vile usafi wa chooni ,kufagia uwanja n.k sasa vipi wewe uliko panga je utarabu huo upo na unafuatwa kama ulivyopangwa,share nasi hapa
  20. G

    Ratiba ya PlayOff ya ligi kuu Tanzania bara, unatabiri yapi kutokea ?

    kati ya jkt na tabora atakae shinda nje ndani anarudi ligi kuu, alieshindwa anapewa nafasi nyingine kujipima kwa biashara united, kati yao ataeshinda anapanda ligi kuu, anaeshindwa anashuka Ligi Daraja la Kwanza. ROUND 1 🕳️Tabora United vs Jkt Tanzania - 04/06/2024 🕳️JKT Tanzania vs Tabora...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…