rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naungana rasmi na Zemanda na Natafuta Ajira kwenye operation tokomeza simping

    Rasmi najiunga na Zemanda na Natafuta Ajira kwenye operation tokomeza simping! kwanzia sasa wakurugenzi wa hii operation naomba mnitag popote mtakapokuwa mnazungumzia hili swala. We gotta save this generation! Na kwa kuanza natoa some point on how to stop simping! Daily moves to kill...
  2. JamiiForums Tanzania Kuanzia wiki ijayo mitandao itaanza kusumbua rasmi

    Kwa yanayoendelea nchini na wananchi wanavyozidi kupata hamasa zaidi ya kuandamana. Nina ona kuna dalili nyingi za mitandao kufungwa . Uzi tayari.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa Malawi akubali kushindwa kabla ya matokeo rasmi kutangazwa

    Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, ameweka historia baada ya kukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa urais saa chache tu kabla ya Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo rasmi. Akihutubia taifa Septemba 24, 2025 Chakwera alisema: “Ni haki nikubali matokeo haya kwa heshima ya maamuzi ya wananchi na kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa Msabato, lakini nikaondoka kwa sababu Kanisa halikuwa na athari chanya kwenye jamii na maendeleo. Sikutaka watoto wangu wapitie hivyo.

    Kwanza kabisa, ni muhimu niseme kwa upande wangu, uhusiano wangu na Mungu ni wa kipekee na unatokana na matendo yangu zaidi kuliko kujitolea kwa kanisa moja. nipo tofauti kidogo na watu wengi wanaoliabudu kanisa au mchungai zaidi kuzidi Mungu. Sababu kuu iliyosababisha uamuzi wangu wa kuhama ni...
  5. JamiiForums Tanzania Rasmi kocha Fadlu Davis awaaga wanasimba

    Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram aliyekuwa kocha wa Simba Sc Fadlu Davis amewaaga wanasimba Kwa kuandika... "Ni kwa moyo mzito naiaga Simba SC. Tangu nilipowasili, nilihisi shauku ya klabu hii kubwa na upendo wa mashabiki wake wa ajabu. Pamoja tulipigana, tukasherehekea, na tukaimarika...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer, ametangaza uamuzi wa kulitambua rasmi taifa la Palestina

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza uamuzi wa Uingereza kulitambua rasmi taifa la Palestina zaidi ya miaka 100 baada ya Azimio la Balfour kuunga mkono "kuanzishwa kwa makazi ya kitaifa ya Wayahudi nchini Palestina", na miaka 77 baada ya kuundwa kwa taifa la Israel chini ya Mamlaka...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Jeshi la Polisi hamjafanya juhudi zozote za kunitafuta| Mawasiliano yangu rasmi yanajulikana

    Polepole: Jeshi la Polisi hamjafanya juhudi zozote za kunitafuta| Mawasiliano yangu rasmi yanajulikana Nimekuwa nikitafutwa kwa mtindo wa KUWINDWA. Pia soma wito wa Polisi kwa Polepole: Polisi: Polepole afike Ofisi ya Mpelelezi wa Makosa ya Jinai ili kuthibitisha Tuhuma anazozitoa
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya maboresho yao kurejea Nitahama rasmi CRDB

    Hela naitafuta kwa shida sana kuna muda nalala na viatu nalala sehemu mbaya halafu kidogo nacho nduduliza wahuni hawakithamini. Hela yangu haiwezi nitesa jana sijalala kabisa hadi muda wa kufika kwenda job ukafika. Siwezi elezea sana lakini hii bank HAPANA HAPANA HAPANA. Mods tusipangiane...
  9. JamiiForums Tanzania The 026 sasa ni rasmi

    Wakuu habarini za Sabato? Nazungumza direct nikiwa Kalenga na Lugalo nikilitizama Bandari ya Salama na Matukio makubwa yanayoenda kutokea siku si nyingi tangu sasa. Naona Wakuu waliogeuka ndugu zao wakihangaika kujaribu kuzima nyufa lakini wamekwisha chelewa. Yule Mkuu wa wote yeye atajinusuru...
  10. JamiiForums Tanzania Maajabu Taarifa Rasmi ya Police Mwili uliokutwa ukielea mtoni maeneo ya jangwani aug.27 ukiwa kwenye mfuko, police yadai alikuwa akianguka kifafa!

    Ukistaajabu ya musa, utayaona ya firauni!.. hii hapa chini ni taarifa rasmi ya jeshi la police juu ya uchunguzi wa tukio la mtu kukutwa akiwa anaelea ndani ya kiroba akiwa amefariki katika mto msimbazi maeneo ya jangwani... Polisi wanadai wameambiwa na ndugu wa marehemu kuwa marehemu alikuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kauli ya diamond na ommy kama mashaikh,basata,TCRA,JESHI LA POLISI, wasipojitokeza kumuonya basi ndo haya haya wanayoendeleza kubariki huu utawala

    Ni kwamba sasa washatuzarau kuonesha wanakula keki ya taifa na watala wa CCM mpaka kufikia steji ya kututukana. Hivi kwa nini wananchi na mashabiki kuweka ajenda kuunfollow na kutosupport kazi zake.
  12. JamiiForums Tanzania Wafahamu Watawala Wasio Rasmi "Oligarchs" walioshutumiwa kipindi cha kikwete, Wakazimwa na Magufuli, Wamerudi kwa Samia.

    Katika siasa na uchumi wa mataifa mengi, kuna kundi dogo la watu wenye utajiri mkubwa na ushawishi wa kisiasa ambao mara nyingi huitwa king makers (wazalishaji wa watawala) na wakati mwingine king dethroners (waangushaji wa watawala). Hawa watu huendesha siasa kwa kivuli, bila kuonekana moja kwa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya DR Congo imetangaza rasmi kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yote yanayodhibitiwa na waasi AFC/M23

    Serikali ya DRC imetangaza kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yanayodhibitiwa na AFC/M23. Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, alithibitisha hilo na kusema: "Kwa bahati mbaya, watoto wetu katika maeneo yanayokaliwa hawafaidiki na elimu ya bila malipo." Hatua hii inaathiri moja...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mimi na Mke wangu tunatishiwa kuuawa kwa tuhuma za uongo

    Mimi, mwalimu katika Shule ya Sekondari Likongowele, Wilaya ya Liwale, kwa heshima kubwa napenda kuwasilisha malalamiko haya kwa mamlaka husika kuhusu hali ya usalama wangu pamoja na familia yangu. Kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukikabiliwa na tishio kubwa la usalama (hata kuuwawa) kutokana na...
  15. JamiiForums Tanzania DAWASA KIBAHA, hivi ndio kusema mumeamua rasmi kutuuzia maji machafu?

    Muda mrefu sasa tunatumia maji machafu, tulijua labda ni changamoto ya muda mfupi tu. Sasa tunaona imeshakuwa mazoea. DAWASA Kibaha, ndio kusema mumeamua rasmi kutuuzia wananchi maji machafu? Hivi haya maji ndio maji ya kutuuzia Watanganyika kweli?
  16. JamiiForums Tanzania Israel yatangaza vita rasmi Gaza

    Jeshi la Israel limeanza oparesheni kubwa za kijeshi pembezoni mwa jiji la Gaza hatua inayoashiria maandalizi ya kuutwaa kikamilifu mji huo, huku ikiapa kuongeza mashambulizi kwa lengo la kuzidisha shinikizo la kuachiliwa kwa mateka waliosalia na kulitokomeza kabisa kundi la Hamas. Hatua hiyo...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Traor'e afuta rasmi lugha ya kifaransa kutumika kama lugha ya taifa

    Afrika ni bara ambalo watu waliacha lugha yao wenyewe na kuchukua lugha za kigeni kama lugha zao rasmi, Na wanatumia mfumo wa demokrasia ya serikali zaidi ya miaka 50 iliyopita kwani nchi zetu huru za Afrika hazikuendelezwa, kwa sababu demokrasia inawapendelea Wazungu kuliko Waafrika, huwafanya...
  18. JamiiForums Tanzania Tafiti isiyo rasmi inaonesha kwamba wanawake wenye nyusi nyingi juu ya jicho wanapenda kufanya mapenzi sana (high sex drive a.k.a libido)

    Copy code; Photo by: AI
  19. JamiiForums Tanzania Picha rasmi ya kampeni ya Mama Samia hii hapa, lakini kwa nini mtu wa makeup umuwekee miwanja mingi hivi?

    Makeup imezidi mpaka mama amepoteza uhalisia wake. Siyo sahihi kwa mgombea Urais kujibandika ma makeup mengi hivi mpaka apoteze uhalisia.
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Picha rasmi ya Kampeni: Mgombea urais wa CCM Dkt. Samia na mgombea mwenza Dkt. Nchimbi

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba 29, Hii ndio picha rasmi ya Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan. Picha ya pili ni Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…