rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TEC huyu mama anawabeep. Tunaomba muandike barua kwenda ICC kuieleza mna ushahidi wa Mauaji yaliyofanyika Oktoba 29 na mpo tayari kuutoa

    Huu ni wito kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC. Nyie ni chombo nyeti sana na mna aminika dunia nzima. Huyu kibibi anawabeep sana. Anawashambulia, anawateka, na kuwafanyia mashambulizi ya kutaka kuwaua. Sasa akishirikiana na wapumbavu wake wa tiss na bakwata anaandaa vikundi vya...
  2. JamiiForums Tanzania Siri imefichuka Marefa wetu kutochezesha mechi za CAF.

    Udhaifu wa kutokujua lugha zaidi ya Moja hasa kifaransa na kiingereza ndiyo chanzo kikubwa cha marefarii wetu kutokupangwa kuchezesha mechi zinazoandaliwa na CAF. Itakuwa ni aibu tuandae mashindano ya AFCON halafu marefarii wetu wasiwe sehemu ya marefarii watakaokuwa wanachezesha mashindano hayo.
  3. JamiiForums Tanzania Venezuela yashambuliwa na Marekani

    Kuna milipuko mikubwa imetokea mji mkuu wa Venezuela, Caracas. Inaelekea wizara ya ulinzi imeshambuliwa. Bado taarifa rasmi kuhusu shambulio hilo hazijatolewa. Updates:Baada ya mashambulizi yq masaa kadhaa USA wamemkamata nq kumchukua Rais Maduro wa Venezuela. Yuko njiani kupelekwa USA.
  4. JamiiForums Tanzania Nafukua: Kwanini Oktoba 29 kulikuwa na makundi mengi yasiyo rasmi yenye silaha yakiua raia? Ina amaana asilimia kubwa ya jeshi halikuunga mkono?

    Vyanzo vya kuminika vya kimataifa vinasema kulikuwa na makundi yasiyo rasmi yalionekana yakiua raia ovyo kwenye makazi ya watu, na yalionekana yana mfungamano na serikali je makundi hayo ni akina nani ? je, kwanini serikali itumie makundi hayo yasiyo fahamika kuzuia waandamanaji kwa kuwauwa ...
  5. JamiiForums Tanzania Ofisi za UNRWA zafungwa rasmi huko Israel kisa kujihusisha na Ugaidi!!

    BREAKING: ISRAEL yazifunga rasmi ofisi za UNRWA huko Israel.!!!! Bunge la Knesset liliidhinisha sheria inayohitimisha shughuli za UNRWA nchini Israel. Shughuli zitakazo sitishwa ni kama zifuatazo- • Maji, umeme, gesi, mawasiliano ya simu, na kupunguzwa kwa benki • Kinga ya Umoja wa Mataifa...
  6. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji huduma yoyote ya kiserikali au binafsi inayohusisha matumizi ya mifumo rasmi kama TRA, Leseni za Biashara na mengineyo?

    Je, unahitaji huduma yoyote ya kiserikali au binafsi inayohusisha matumizi ya mifumo rasmi kama TRA, leseni za biashara na mengineyo? Jibu ni 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 (𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗦𝗼𝗹𝘂𝘁𝗶𝗼𝗻𝘀) — kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Karibu sana upate...
  7. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Kuna watu wenye nia ovu wanaotumia jina la Waziri Mchengerwa kutapeli kuwa anaozesha mwanae

    Kurasa rasmi za Serikali zimekuwa jukwaa la familia ya Samia? Kurasa rasmi za serikali na wizara zake katika mitandao ya kijamii kama Facebook, X (zamani Twitter) na Instagram ziliundwa kwa lengo moja kuu: kuwahudumia wananchi kwa kutoa taarifa za sera, huduma, tahadhari na maamuzi ya serikali...
  8. JamiiForums Tanzania Israel imekuwa nchi ya kwanza duniani kuitambua rasmi Somaliland

    Kwa zaidi ya miaka 30, Somaliland imekuwa ikifanya kazi kama serikali: • Serikali inayofanya kazi • Uchaguzi wa kidemokrasia • Vikosi huru vya usalama • Kutovumilia kabisa na kuwadhibiti magaidi na wanajihadi Ulimwengu ulijifanya hauoni. Kisha Israeli wakafanya jambo ambalo hakuna mtu mwingine...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Matamko ya kishenzi shenzi na kibabe ya watawala haramu yalizikwa rasmi 29 October 2025

    Kabla ya October 29, 2015 watawala haramu walikuwa na kauli za kuwadhalilisha wananchi wa nchi hii. Hadi vimkuu vya wilaya vilikuwa na majivuno na kauli za kuwakejeli wananchi. Mara ooh kama hujui kufa andamana, mara ooh inabidi uandae kabisa kaburi lako, mara hakuna cha nywinywinywi. Chalamila...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Vikwazo tulivyowekewa na Marekani kuanza rasmi tarehe 01/01/2026

    Effective January 1, 2026, at 12:01 a.m. EST, in line with Presidential Proclamation 10998 on “Restricting and Limiting the Entry of Foreign Nationals to Protect the Security of the United States,” the Department of State is partially suspending visa issuance to nationals of 19 countries –...
  11. JamiiForums Tanzania Rasmi CCM ni chama cha serikali. Hakijali matakwa wala matamanio ya wananchi

    Kwa kushindwa kulaani mauaji ya tarehe 29 Oktoba, CCM kimekuwa chama cha serikali. Makosa ya erikali yana baraka za CCM. Watu kuuawa mithili ya nzi tarehe 29 Oktoba, CCM iko kimya Nani atakiamini tena chama hiki ambacho sasa kinakosa uungwaji wa wananchi wengi hasa baada ya vurugu za siku hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Ukiagiza gari unatozwa tozo ya UKIMWI

    kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha. Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuatalo.
  13. JamiiForums Tanzania Vijana, Hakuna Kuandamana Mpaka Muone Kibali Rasmi Cha Maandamano

    My people, Ni muendelezo ule ule wa makala zetu mbali mbali za kuwakomboa vijana dhidi ya ushawishi wa kufanya maandamano haramu,ambayo madhara yake wote tunayajua Kwa mujibu wa taratibu za nchi yetu,ili maandamano yawe halali au yapate uhalali basi kuna mambo kadhaa au masharti yapate...
  14. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dayone: Nina jitoa rasmi kwenye movement ya kuhusu Maandamano

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanaharakati Dayonè Vladislaus Monson ameandika haya; “Kwanza kabisa si kubaliani na mauaji Yaliyo fanyika October 29 na ngependa kuona wale Askari walio fanya mauaji waki wajibishwa , pili sikubaliani na Serekali ya SAMIA , yote mpaka wabunge ningependa kuona...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ishu za mahusiano me nimeachana nazo rasmi, ntasubiri muda ufike nioe

    Baada ya kupambana kwa muda mrefu angalau nichakate mbususu Nikapata kidem cha mwaka wa kwanza, fikisha gheto ile kuanza harakati kanadai kanataka kurudi hostel, nimem boltia ameondoka, sitamtafuta tena. Niliwekeza pesa na muda kumfikisha hii hatua but nafikia hitimisho moja tu "mambo yote ni...
  16. JamiiForums Tanzania Sweden kusitisha Ushirikiano wa Kimaendeleo na Tanzania ifikapo Agosti 31, 2026

    Serikali ya Sweden imetangaza kusitisha ushirikiano wake na Tanzania. Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Sweden nchini inasema Sweden itasitisha ushirikiano wa maendeleo na Tanzania kufikia tarehe 31 Agosti 2026. Kwa sasa ushirikiano utaendelea hadi wakati huo. Sweden imesema uamuzi huu...
  17. JamiiForums Tanzania Rasmi nimehamishia ibada nyumbani sababu ya unafiki wa viongozi wa dini

    Kutokana na haya yanayotokea katika nchi yetu, tumeona TEC wakitoa msimamo wao msimamo wa kusimamia haki, kutetea wanyonge na kusimama na Watanzania bila woga. Maandiko yanasema👇👇 “Fungua kinywa chako kwa ajili ya bubu… hukumu kwa haki, mtetee mnyonge na maskini.” (Mithali 31:8–9) “Jifundisheni...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kuwa Mgeni rasmi Mkutano wa umoja wa Mabunge duniani (IPU) jijini Arusha

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano mkubwa wa Mabunge unaotarajiwa kufanyika kwa siku sita mkoani Arusha na kuhusisha Maspika, Wabunge na Viongozi zaidi ya 1500 kutoka kote duniani. Hayo yameelezwa ikiwa ni maandalizi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka: Siku Mange Kimambi akimamatwa, akashitakiwa na kutiwa hatiani kwa kesi hii, basi hiyo siku ndiyo YESU atarudi rasmi duniani😀

    Huyu Peter Madeleka huyu, sijui kwanini anaongea kwa mafumbo (rhetorically) badala ya kusema kwa uwazi tu ili Hamza Johari na Nassoro Katuga waelewe kirahisi🤔🤔😀😀 Fumbo mfumbie mjinga lakini mwerevu............................(malizia) #D9 #SAMIAMUSTGO
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Movements restrictions na curfew kuanza rasmi tarehe 01/12/2025

    Huu ni utabiri wangu na hii itatangzwa kwa kushitukiza siku ya kesho usiku kupitia vyombo vya habari. Hint: Tarehe 01/12/2025, ni siku ya ukimwi duniani. Je, kuna lolote linaendelea serikalini kupitia Wizata ya Afya juu ya siku hii muhimu duniani? Kama hakuna,; je, ni kwanini. Nimetabiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…