ramani

  1. UJENZI LEO, PATA RAMANI, BOQ NA USIMAMIZI WA UJENZI SITE.

    Habari! KAMPUNI NI : DATTI COMPANY LIMITED. INSTAGRAM : DATTI CONSTRUCTION Tembelea uone kazi zetu. Nawakaribisha sana kwa yeyote mwenye kuhitaji ramani ya jengo aina yoyote ikiambatana na 1. JENGO LOLOTE (RESIDENCIAL AND COMERCIAL BUILDING) 2. Makadirio ya UJENZI (BOQ) 3. KUJENGEWA NYUMBA...
  2. Ramani ya nyumba za kupangisha

    Ramani ya kupangisha Wapangaji wawili kila mpangaji anavitu vifuatavyo Chumba 1 self Chumba 1 havina choo Seble Jiko Choo cha wageni Nyumba nzima kwa wapangaji wote Inachukua mita 8 kwa mita 12 (jengo zima) Vyumba vyake ukubwa ni standards Hata kama unakiwanja kidogo unawezakuweka uwekezaji...
  3. Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake amemchorea ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!.

    Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake ameshamchorea Ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!. Kumbuka Jay Z katoka familia za kimasikini Sana , aliwahi hadi kuuza drugs , n.k Alichokifanya ni kuamua kuukataa umasikini kwa kuhakikisha...
  4. Ramani hii ya vyumba 2 vya kulala

    Yes karibu hii ya vyumba 2 vya kulala 1 master Plain room seble Jiko Dinning public toilet nichek 0743 257 669 Au nichek whatsapp wa.me//255743257669
  5. HABARI MABOSS ZANGU : JE! UNAHITAJI RAMANI YA NYUMBA AU CHOCHOTE KATIKA UJENZI? BONYEZA 👇👇👇

    Habari! Nawakaribisha sana kwa yeyote mwenye kuhitaji ramani ya jengo aina yoyote ikiambatana na 1. JENGO LOLOTE (RESIDENCIAL AND COMERCIAL BUILDING) 2. Makadirio ya UJENZI (BOQ) 3. KUJENGEWA NYUMBA UKINUNUA MATERIALS AU KUTUKABIDHI PESA 4. USIMAMIZI WA JENGO LAKO BEI ZETU NI NAFUU SANA...
  6. Ramani ya nyumba ya kuombea kibali cha ujenzi inatakiwa kuwa na sifa hizi

  7. Rais Samia: Tanzania kuchora ramani yake mpya

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo mbioni kuanza mchakato wa kuchora ramani mpya ili kuendana na mabadiliko yaliyojitokeza. Pia, Soma: Rais Samia aikabidhi Wizara ya Ardhi magari 70 Rais Samia amesema mara ya mwisho ramani ya Tanzania ilichorwa mwaka 1978 huku vitu...
  8. Naombeni msaada ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo

    Wakuu jamii forum kisima Cha maarifa nataka nianze ujenzi nisaidieni ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo ndani nitashukuru sana wakuu na ikipendeza kama mafundi mpo mpate na kazi kupitia huu Uzi
  9. B

    Naombeni mwenye ramani ya nyumba ya kisasa

    Naitaji Raman ya nyumba kwa budget ya 30M Raman yenye vyumba vitatu Master room Sitting room 2plain room Kitchen Studying room Store Public toilet UKUBWA WA ENEO NI 70 kwa 40
  10. Tazama Ramani ndiyo uwe Wimbo wa Taifa, Mungu iwe Sala ya Taifa

    Tazama Ramani umekaa kizalendo zaidi, uwe wimbo wa Taifa haraka iwezekanavyo, Mungu ibariki Africa iwe sala ya Taifa. ===== 1. Tazama ramani utaona nchi nzuri Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka, Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri, Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania Majira yetu haya...
  11. Kwa nini mti maarufu soko la Nyasho ukatwe ili kujenga soko? Kwa nini isiwe sehemu ya kuenzi historia? Wachora ramani mnafeli wapi kujumuisha nature?

    Nikifika Mwanza eneo la kapripoint, nafurahishwa na namna jinsi wachora ramani walivyoyaweka majengo yakaishi na nature, bila kuharibu mazingira. Kuna tatizo la ubunifu. Ukiangalia majengo mengi nchini ni kama majengo yanafanana, hakuna utundu. Niliwahi kutoa challenge watu wajadili ubunifu...
  12. Uandaaji wa Ramani za Nyumba bado umekua ni shida kwa baadhi ya wataalamu wetu

    Nimekua nikiangalia ramani nyingi sana za nyumba zinazoandaliwa na professionals wetu wengi kwa industry lakini bado nagundua kuna shida,, 1. Ramani zinaandaliwa pasipo kuzingatia proper coordination of Rooms. Mfano: Kuna ramani nmekutana nayo,,Public toilet iko katikati ya Kitchen na Dining🤣🚮...
  13. Unahitaji RAMANI ya ujenzi na makadirio?

    Kama unahitaji ramani ya ujenzi na hesabu za makadirio ya ujenzi usisite kunipigia simu KAMA UNAHITAJI. Ramani Hesabu ya ujenzi (BOQ) Garden design Fence na aina zake zote ninatengeneza. Namba : 0621 622 070 Njoo DM tuongee kisha nifanye kazi yako. Ninatengeneza kila aina ya ramani...
  14. Kumbe si Ziwa Nyasa tu, Rais wa Mexico ailalamikia Google kwa kubadili ramani, ghuba ya Mexico waiita ghuba ya America, huu ni ubeberu wa kimtandao

    Rais wa Mexico ameilalamikia kampuni ya Google kwa kuibadili jina ghuba ya Mexico na kuiita Ghuba ya America. Huu ni mwendelezo wa makampuni ya kibeberu kujaribu kubadili ramani ya dunia bila kushirikisha wadau. Hivi karibuni, kampuni hiyo ya kibeberu ilibeba mzega mzega ziwa lote la Nyasa na...
  15. M

    ChatGPT imekuja kivingine kabisa, sasa unaweza kuiambia ichore picha yote yakifanyika kwa kutumia bando lako la simu

    Mimi ni mtumiaji wa ChatGPT toleo la bure, ingawa akili mnemba nyingi zina uwezo wa kuchora picha lakini hii Chat GPT toleo la Bure ilikuwa haiwezi kuchora lakini naona kutokana na ushindani wa machina na toleo lake la AI Deepseek wamarekani wameiwaezesha hii toleo la bure kuchora kuedit n k...
  16. Mandhari na Bustani Kuzunguka Nyumba Nazo Huandaliwa Ramani Kama Hivi

    Mvuto wa nyumba yeyote iwe ya familia au kupangisha, hutegemea sana mwonekano na mpangilio wa mandhari ya nje... Kitaalamu huitwa LANDSCAPING sasa landscaping haiwekwi kwa kukisia kisia, bali ni utaalamu wa kusanifu ndio unaoamua jengo lako liwekwe - kitaalamu huitwa LANDSCAPE DESIGN Hapa...
  17. F

    Utekaji kimya je Bashungwa umekomesha? Au wachora ramani au watekaji wapo bize na uchaguzi wa ndani?

    Sasa tumshukuru nani Bashungwa kwa kutosikia utekaji maana kitambo hatujasikia kelele kwamba huyu ametekwa sasa tumshukuru huyu waziri mteule wa mambo ya ndani kwa kufanikisha hili au wale watekaji au wachora ramani wapo bize na uchaguzi wa ndani? Na je uchaguzi ukiisha tutegemee utekaji ukianza...
  18. Google wanasingiziwa, ramani zao hazioneshi Ziwa Nyasa lote kumilikiwa na Malawi ila Tanzania inatakiwa kukomaa na eneo lake la mpaka wa ziwa

    Wadau, hii mada ishajadiliwa sana baada ya serikali kutoa tamko kwamba Malawi inafunza watoto kupitia ramani za google ambazo zinaonesha ambazo zinaonesha ziwa lote ni milki ya Malawi. Ukweli ni kwamba ramani zote za Google (map & earth) hazioneshi hivyo. Mpaka wa ziwa Nyasa kati ya Malawi na...
  19. Kwa mliofika Mji wa Serikali Mtumba Dodoma, unatoa asimia ngapi kwa ubunifu katika uchoraji ramani za majengo (archtecture designs)?

    Nawauliza wadau wa JF mliofika Mji wa Serikali Mumbai, mnatoa maksi ngapi? Jengo lipi mchoraji amefunika?
  20. List y Ramani z Nyumba Zaidi y 450 Unazoweza Jenga TZ na Makadirio Gharama Yake (Nafuu, Kawaida, Bungalow, Ghorofa, Pangisha) Tanzania, Kenya, Uganda

    List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako Piga/WhatsApp: +255-657-685-268 Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…