rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais mpya wa Msumbiji kuapishwa Januari 15, 2025 licha hali ya machafuko kuendelea nchini humo

    Baraza la Katiba (CC) limetangaza rasmi kuwa Rais Mteule, Daniel Chapo ataapishwa Januari 15, 2025 kuwa Kiongozi wa Taifa hilo, licha ya wito wa Wananchi, Wapinzani na Jumuiya za Kimataifa kudai Uchaguzi uliompa ushindi haukuwa wa Haki, Huru na Uwazi. Ushindi wa Chapo umeibua Mgogoro na Vurugu...
  2. JamiiForums Tanzania Kuaminika kwa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa Watanzania na kukubalika kwa CCM kwa Wananchi ni ushindi wa kishindo kwa Taifa letu moja

    Ukifuatilia kwa umakini na ukaribu zaidi, uelekeo wa siasa za Tanzania, utagundua kwamba, Dr.Samia Suluhu Hassan, anakwenda kurekodi na kuandika historia mpya ya kuaminika zaidi kama Rais wa Tanzania, Lakini pia kukubalika zaidi kwa wanainchi kama mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Rais Samia Hassan -"SADC inatoa wito kwa pande zote Mozambique kujizuia na kujiepusha na vitendo vinavyozidisha ghasia na machafuko"

    Baada ya uchaguzi Mozambique: SADC inatoa wito wa kujizuia na mazungumzo ya "amani". 02 Januari 2025 Picha ya faili: AIM Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) jana ilihimiza kujizuia katika kukabiliana na maandamano ya baada ya uchaguzi nchini Msumbiji, ikitetea mazungumzo "ya amani...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa Ivory Coast awafukuza wanajeshi wa Ufaransa nchini Ivory Coast

    Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara ameamuru Wanajeshi wa Ufaransa nchini mwake kuanza kuondoka kuanzia Januari hii. Katika ujumbe wake mnamo Desemba 31, 2024, Rais Ouattara amesema “tumechukua uamuzi kwamba Wanajeshi wa Ufaransa waanze kuondoka Côte d’Ivoire kwa njia iliyopangwa.” Ufaransa...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto akiri kuna matumizi ya nguvu kubwa kwenye vikosi vya ulinzi vinapokabiliana na Wananchi

    President William Ruto on Tuesday acknowledged abuses by Kenya's security forces, in the wake of demonstrations against a recent wave of alleged kidnappings that have sparked outrage in the country. Security forces in the East African nation have been accused of carrying out dozens of illegal...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wakesha Makanisani Wakibubujikwa Machozi Kumuombea Heri Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anapendwa sijapata kuona, anakubalika kama Nabii.kiukweli Mama anaheshimika kwa watanzania haijapata kutokea. Nimeshuhudia Waumini katika makanisa mbalimbali wakiwa wamepiga magoti huku wakibubujikwa na machozi kumuombea heri Rais Samia utafikiri mabomu ya...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman atangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT

    https://www.youtube.com/live/SNFqdxgQ_R4 Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo, Ndg. Othman Masoud Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ametangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo.
  8. JamiiForums Tanzania Je ni hali ngumu? Rais Samia Kusafiri na Kisimbuzi cha Azam kila aendapo?

    Kuna tangazo linawekwa sana UTV rais Samia anasema kuwa kila anapo safiri wasaidizi wake lazima wabebe kisimbuzi cha Azam. Sasa ninachojiuliza, inamaana akitoka ikulu ya Dar wasaidizi wake wanabeba wanaenda nacho Kizimkazi, badae wanaunganisha nacho Dodoma, badae wanaenda nacho Mwanza n.k...
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Waziri Mkuu Kassim na wananchi wa Ruangwa walivyofatilia Hotuba ya Rais Samia

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Wananchi wa Ruangwa ni miongoni wa Tanzania walifanikiwa kuifuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan.
  10. JamiiForums Tanzania Katika nchi zote za Afrika Mashariki, William Rutto anamaliza mwaka 2024 akiwa Rais dhaifu kisiasa kuliko wote.

    Ndio, ni dhaifu kuliko Salva Kiir. Sasa anaomba Mungu Raila Odinga asijitikise kisiasa, akifanya hivyo jumba la ikulu ya Nairobi litapata nyufa na kubomoka. Ni kama ng'ombe aliyekatika mkia kwa kuwa hana Rigathi Gachagua, anaonekana muda mwingi ana wasiwasi, mawazo, amekosa uimara kama Rais...
  11. JamiiForums Tanzania Maombi kwa Rais wetu mpendwa Samia Suluhu

    Mheshimiwa Rais Wetu Mpendwa Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania... Salaam Nyingi Zikufikie Hapo Ulipo. Natumai nawe umepumzika kwa namna fulani katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka, kama ambavyo sisi tumepumzika hapa Serengeti National Park. Nisikuchoshe sana Mh. Rais.. Maombi Yangu Ni Haya...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ngome ya upinzani Uyui yaanguka, Viongozi wa CUF wahamia CCM, wakisifia uongozi wa Rais Samia

    Wanachama Wawili wa Chama cha Wananchi CUF wa Kijiji cha Mabama Wilayani Uyui mkoa wa Tabora Husseni Hammis Kwabi Aliyekuwa Mjumbe mkutano mkuu CUF Wilaya Uyui na Mashaka Said Lintu Aliyekuwa Mjumbe kamati tendaji, Mkurugenzi wa Fedha na Meneja Kampeni wa Chama cha CUF Wilayani Uyui wametimkia...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto ameorodheshwa kama kiongozi wa pili fisadi zaidi duniani kulingana na (OCCRP)

    Rais William Ruto ameorodheshwa kama kiongozi wa pili fisadi zaidi duniani kulingana na "Organized Crime and Corruption Reporting Project" (OCCRP). Nafasi ya kwanza imechukuliwa na rais wa 19 wa Syria's Bashar al-Assad kulingana na OCCRP. "Zaidi ya watu 40,000 walimteua Rais wa Kenya William...
  14. JamiiForums Tanzania Wito: Rais Samia Toa Maelekezo ya Kumfukuza Anayetajwa Mwalimu na Mhamasishaji wa Ugaidi, Ili Kuokoa Tanzania ya Kesho

    Kila jambo baya lilikuwa na mwanzo mdogo, lakini wahusika hawakuushughulikia mwanzo, na baadaye wakaangamia au wakalazimika kutumia gharama kubwa kuokoa Taifa au jamii yao. Tanzania hii ya leo, pamoja na matatizo mengi tuliyo nayo, umoja wetu usiozingatia dini, kabila au eneo mtu atokalo ni...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Jaji Kwariko cha muumiza Rais Samia.

    Hakika Jaji Asha Kwariko alikuwa ni Jaji wa kipekee mfano mzuri wa kuingwa na Majaji wengine walio hai, vyeo ni dhamana tu, ukifa ndio mwisho wako tenda haki. Jaji Kwariko alikuwa ni mtenda haki wa kweli ndani na nje ya Mahakama asiye penda kuonea watu. Mpole na mwenye kujali utu wa binaadamu...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anafaa sana kuwa mbunge au hata rais lakini sio kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Lissu anaweza kuwa mbunge mzuri sana kwenye jimbo lolote Tanzania lakini sio kuwa mwenyekiti wa CDM. Kuongoza chama cha upinzani tena hapa Tanzania ni ujuzi mwigine kabisa. CDM inataka kiongozi mwenye hekima na busara kubwa. Kiongozi mwenye diplomacy ya hali ya juu. Lissu bado hajafikia huko.
  17. D

    JamiiForums Tanzania TANZIA Jimmy Carter, aliyekuwa Rais wa 39 wa Marekani afariki dunia

    Former US President Jimmy Carter has died aged 100, the centre he founded has confirmed. The former peanut farmer lived longer than any president in history and celebrated his 100th birthday in October. The Carter Center, which advocates for democracy and human rights around the world, said he...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Putin akataa pendekezo la Rais mteule Donald Trump la kusitisha Vita na kuipa Ukraine uanachama wa NATO baada ya miaka 20 ijayo

    Rais Putin wa Russia amekataa pendekezo lilitolewa na Rais mteule wa marekani Bwana Donald Trump la kumtaka kusitisha mapigano kati yake na Ukraine na badala yake kuwepo na muda wa miaka 20 baadae ili Ukraine iweze kujiunga na Umoja wa za NATO. Sambamba na hilo Bwana Trump alipemdekeza pia...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Nyota Mpya ya Tanzania: Rais Samia Hassan aongoza Mageuzi ya Kiuchumi

    Tanzania, ambayo kwa muda mrefu imeonekana kama moja ya nchi zenye viwango vya juu vya kiuchumi katika Afrika Mashariki, sasa inavuma kwa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Tangu kuchukua madaraka mnamo Machi 2021, Rais Samia amejitokeza kama mtu wa mageuzi, akiiongoza nchi kuelekea utulivu...
  20. JamiiForums Tanzania Mandonga na Dullah Mbabe Wamshukuru Rais Samia kwa Kuendelea Kusapoti Michezo Nchini

    Miaka minne kasoro ya Uongozi wa serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais wetu mpendwa Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imekuwa na mafanikio makubwa sana katika sekta ya michezo, sekta ambayo imebeba matumaini makubwa ya vijana waliojiajiri kupitia vipaji mbalimbali walivyonavyo. Si tu katika michezo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…