rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua Mradi wa Kihistoria wa Bwawa la Mkomazi wenye thamani ya Bil 18. Mradi uliobuniwa zaidi ya miaka 50 ilopita

    Ningependa kutoa taarifa rasmi kuhusu hafla muhimu ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Bwawa la Mkomazi na utiaji saini wa mikataba miwili (2) ya ujenzi wa Skimu za Mkomazi na Chekelei Wilayani Korogwe, mkoani Tanga ambayo itafanyika tarehe 24 Februari 2025, ambapo Mheshimiwa Dkt. Samia...
  2. JamiiForums Tanzania Duh kama no kweli Basi Mh Rais Samia chawa wako wamevunja rekodi ya dunia🙌

    Sina maelezo mengi habari kwa picha
  3. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Serikali ya JMT ambaye pia ni mgombea wa CCM akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    -
  4. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Serikali ya JMT akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali, Hongera Mheshimiwa kuwa Bingwa wa vichekesho.Tuendelee kucheka kwa pamoja! Modes naomba uzi huu...
  5. JamiiForums Tanzania Wakati Rais anaongoza, wao wanamkejeli anafanya comedy?

    Nahisi huu uzi utafutwa. Napata tu hizo hisia kutokana na mwenendo wa JF miaka hii. Vijana wanamwona Rais anafanya comedy. Imenifikirisha sana. Sisi tunachukulia serious wao wanaona ni comedy.
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Afrika lazima inufaike na thamani ya Kahawa yake – Tunapata 0.5% tu ya Dola Bilioni 500!

    Rais Samia akifungua Mkutano wa 3 wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Afrika Februari 22, 2025 Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/g5djiMf20HY?si=9JV2vTK9WBrKcyKu Wageni kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika wakishiriki Mkutano wa Tatu wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Barani...
  7. JamiiForums Tanzania Zamani rais wa Somalia akitaka kusafiri mkoan walitumwa usalama, saivi rais akitaka kusafiri wanatumwa machawa kama wote kuhamasisha

    Amani kwenu wakuu Sisi ambao ni wenyeji wa Somalia tunakumbuka kwamba zamani rais alikuwa akitaka kusafiri, walitumwa wana usalama eneo husika Lakini cha ajabu kwa sasa huku Somalia rais akitaka kusafiri wanatumwa machawa kama wote kuhamasisha watu wajitokeze barabaran kumlaki Dah...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Rais trump amtimua kazi mkuu wa majeshi ya Marekani pamoja na majenerali wengine watano

    Wadau hamjamboni nyote? Jenerali CQ Brown muda wake wa kuhudumu akiwa Mkuu wa.majeshi unaisha mwaka 2027 Ametumbuliwa akiwa kwenye ziara ya kikazi kusini mwa marekani na taarifa amezipata kupitia mitandao ya kijamii Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Reuters: Trump fires top US...
  9. JamiiForums Tanzania Barabara ya mtaa wa swahili karibia soko la Kariakoo inamwagwa lami kwa kasi sababu kuna msafara unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko

    Nimeshtushwa na huu utendaji wa haraka wa kuziba viraka kwenye ichi kipande cha barabara kinachoanzia kwenye mataa ya fire mpaka kwenye mataa ya msimbazi kupitia mtaa wa swahili. Nilichokuja kugundua kumbe kuna msafara wa rais unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko la Kariakoo
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA ifanyeni hoja ya Mchengerwa, Mkwe wa Rais Samia kuwa Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi (TAMISEMI) kuwa hoja kubwa, itaeleweka kwa haraka

    Hii Hoja, ni Hoja ya kimantiki sana na Nzito ambayo hata MTU asokua na Elimu ataiamini na kuikubali haraka. Ifanyeni Hoja hii iwe kubwaaaaaa sana ,ikishakua Kubwa, inaaminika kirahisi. Tatizo la CHADEMA, Hamfanyi matumizi sahihi mitandao ya kijamii. Hii ni Hoja nzito Sanaa . Kwanza...
  11. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Uongozi kati ya Rais Mkapa Vs Samia

    Baadhi ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa; 1.TAA 2.TCRA 3.PPRA 4.BRELA 5.EWURA 6.TACAIDS 7.SUMATRA 8.TANROADS 9.TAKUKURU 10.TRA. 11.MKUKUTA. 12.MKURABITA. 13.HESLB Baadhi ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Samia. 1. Samia Legal Aid 2. Goli la Mama 3. Samia App 4. Kazi Iendelee 5. Generation...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Taasisi Zenye Idadi Kubwa ya Wanawake Zinafanya Vizuri sana na Kufanikiwa.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amesema ya Kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nafasi ya Uongozi unayoipata Mwanamke isiwe sababu ya kuharibu familia

    https://www.youtube.com/watch?v=BQDpwewcZEw Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania (Female Future Program) pamoja na Mahafali ya Wahitimu wa Awamu ya 10 ya Mafunzo hayo...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Rais, viongozi na watu wengine watakaoguswa na jambo hili naombeni msaada wa kupata passport

    Ninaandika huu ujumbe nikiwa katika hali ya uchungu mkubwa. Nimechoka! Nimevunjwa moyo! Nimeonewa kiasi cha kuhisi mimi si binadamu tena. Kila siku naamka nikiwa na maumivu mapya, nikiwa na mzigo mzito wa uonevu moyoni mwangu. Ninaomba msaada! Ninaomba mwenye kusikia kilio cha mnyonge anisaidie...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ondoa RC Tabora na DC Nzega, hawajitambui

    Nchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao. Kuna habari zinazunguka mitandaoni kuwa eti DC wa Nzega ameamuru mkuu wa Chuo Cha Madini Nzega awekwe ndani kwa sababu alishindwa kumjibu mkuu wa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mkuu 2025 litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya CCM kidiplomasia na kiutawala

    No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025. Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani CHADEMA basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kidiplomasia...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Nusrat Hanje ameandaa ibada na dua kumuombea Rais na Uchaguzi

    Huu uchawa asee yajayo yanafurahisha na kusikitisha kwa wakati mmoja. ==== Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Nusrat Hanje ameandaa Maombi na Dua Maalum ya Viongozi wa Dini na Wazee kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Tukio hilo linafanyika...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Sekiboko awataka Wananchi kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais Samia ambaye ni suluhu ya matatizo

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga, Husna Sekiboko amewataka Wanakilindi na Wanatanga kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, anayetarajia kuanza ziara mkoani hapa tarehe 23 Februari, 2025. Akizungumza katika ziara yake...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ameahidi kujenga Msikiti wa Kisasa Vigwaza/Migude wenye hadhi ya Rais. Sheikh Walid ampigia debe urais 2025

    Rais Samia ameahidi kujenga msikiti wa kisasa wenye hadhi ya Rais katika Kitongoji cha Migude, Kijiji cha Milo, Kata ya Vigwaza Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani. Hayo yamesemwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Walid Alhad Omary wakati alipotembelea msikiti huo ambao hali yake...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ziara Ya Rais Samia Mkoani Tanga Itakuwa Ya Hisia Kali Sana na Nchi Itasimama. Kwa sababu ndio Mkoa aliotangazia Kifo cha Hayati Magufuli

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…