rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais wa DRC tayari kwa mazungumzo na M23

    Equation x jibu hili hapa. Si kila kitu kinawekwa wazi, lakini upungufu wa kasi wa M23, kuna ahadi ambayo mpaka sasa haijatekelezwa. Na ukweli kama hatageuza kibao, mpaka sasa yupo tayari kukaa meza moja na M23. Na ikumbukwe: M23 mwanzoni ilikuwa inatetea haki za Congoman waongeao kinyarwanda...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Nia na madhumuni ya rais Trump ni yapi hasa?

    Heshima kwenu nyote wana jamii forum. Nimekuwa nikifuatilia matakwa na makusudio ya rais Trump toka aingie madarakani, matamanio yake yamekuwa yakiniachia maswali ya kujiuliza pamoja na kwamba hata walengwa wake wamekuwa wakimtolea nje. Mfano alianza na kutaka kuinunua Gaza,ikafuatiwa na kutaka...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 3

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia amuonya Mchengerwa

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuonya Waziri wa Tamisemi, Mohamed Mchengerwa na kumwambia kama hatawachukulia hatua viongozi wa chini yake wanaoshindwa kusimamia mapato ya serikali, atawachukulia hatua viongozi hao pamoja na waziri huyo.
  5. JamiiForums Tanzania Kabendera: Komando mstaafu na aliyeshriki Jaribio la Mapinduzi dhidi ya Nyerere mwaka 1982, Christopher Kadego alitekwa na kuuawa kwa amri ya Magufuli

    Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President. Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere. Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kuwalambisha nyongeza mishahara ya Ma DED na posho za madiwani

    Wakuu Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa kwenye mkutano mkuu wa 39 wa jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania ameeleza kuwa watashughulikiwa suala la mishahara ya wakurugenzi wa halmashauri na posho za madiwani. "Tuachieni tufanyie kazi, wanasema mcheza kwao hutunzwa, sasa ngoja tukaangalie huo...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Duterte wa Ufilipino Akamatwa, kupelekwa ICC

    Ofisi ya Rais wa Ufilipino imeripoti kukamatwa kwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Rodrigo Duterte, baada ya kupokea ombi kutoka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Duterte alikamatwa Jumanne katika Uwanja wa Ndege wa Manila alipowasili kutoka Hong Kong, kwa mujibu wa serikali ya...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Asema Serikali Imeruhusu Wananchi Walioajiriwa na Waliojiajiri Kujiwekea Akiba Katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    MHE. RAIS DKT. SAMIA ASEMA SERIKALI IMERUHUSU WANANCHI WALIOAJIRIWA NA WALIOJIAJIRI KUJIWEKEA AKIBA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII *Amesema Tanzania mambo ni moto moto *Mhe. Makonda aishukuru NSSF kuwafikia wananchi waliojiajiri mkoani Arush *Kupitia kampeni ya Staa wa Mchezo wa NSSF...
  9. JamiiForums Tanzania Kuvuruga derby ya Simba na Yanga ni kuvuruga usalama wa Taifa na kuhujumu juhudi za Rais.

    Rais Samia amebadilisha uelekeo wa soka letu kwa kutia juhudi binafsi kusuma michezo Tanzania. Hakuna asiyefahamu kuwa watu wa taifa letu wamegawanyika kwenye ushabiki wa simba na yanga kwa mamilioni. Mtu kuahirisha mechi ya simba na yanga bila shaka anadhamiria yatokee mambo mabaya sana kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kama rais Samia angekuomba ushauri, ni mawaziri na wakuu wa mikoa gani ungemshauri apige chini na ukiweza, kwanini?

    Japo uzi huu unaweza kutafsirika vibaya kama uchokozi, unalenga katuma taarifa kwa wakubwa wetu juu ya wateule wao. Unalenga kuwaonyesha tunavyowatathmini hata kuwaelewa. tupate fursa ya kuwakosoa na kuwatathmini watumishi wetu wa umma. Naomba kuwasilisha baba yenu nyote.
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Wanawake wamchangia Rais pesa ya fomu ya ugombea

    Kikundi cha Wanawake SHUJAA Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wamchangia Fedha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zaidi ya Milioni Moja kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais, ikiwa ni kumuunga mkono katika jitihada zake za uongozi. Zoezi hilo limeongozwa na Dkt. Yasinta Mafwenga ambaye alikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia azindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025

    Rais Samia akizindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025 https://www.youtube.com/live/ZwUZMNQWlbc?si=stvFOddgPgJ_0AHW Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kukamilika kwa Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe ni ukombozi kwa wananchi katika Wilaya za...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais usitumie mabilioni ya maskini Watanzania kushinda uchaguzi au kujitetea pale unapokosea

    Tafadhali mheshimiwa rais tunaomba sana usitumie fedha nyingi za walipa kodi maskini kwa ajili ya kushinda uchaguzi. Watanzania wanahitaji maji ya kunywa, barabara angalau za vumbi, vituo vya afya, elimu ya msingi, nk. Inasikitisha mno kuona mabilioni ya fedha ambazo zingetumika kuwasaidia...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Nyerere na mkewe kwenye mazishi ya Indira Gandhi

    Katika pita pita zangu kwenye mitaa ya YouTube nimekutana na hii video kutoka ITN Archive yenye mkusanyiko wa matukio ya mambo yaliyojiri baada ya kuuliwa kwa Indira Gandhi, aliyekuwa waziri mkuu wa India, siku ya tarehe 31 Oktoba, 1984. Siku ya mazishi ya kitaifa, viongozi wengi sana kutoka...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Rais nakushauri tu achana na hii biashara ya kununua umeme Ethiopia

    Tunashuhudia unyanyasaji mwingi katika hizi za kutegemea huduma kutoka nchi zingine hususani pale ambapo mausiano ya kidiplomasia yanapozorota. Lakini pia Tanzania kwa sasa tunazalisha umeme zaidi ya maitaji yetu sasa mtu unapata ukakasi wa kuanza kununua kitu unachokizalisha. Kwa vyovyote...
  17. JamiiForums Tanzania Mungu anipe uzima nimuone Rais Samia akiomba kura kwa wananchi akizunguka Tanzania nzima.

    Bila shaka kila mzalendo wa taifa hili, na mfuatiaji wa siasa za Tanzania mwaka huu October atakuwa anahamu sana kumwona Samia akiwaomba kura watanzania. Mm binafsi namwaonea huruma sana samia sipati picha nzuri kwake ,kwa sababu a. mvuto na ushawishi wa kisiasa hana,achilia mbali makabila...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia usikubali kunasa kwenye mtego wa TFF

    Rais Samia wewe ni Rais wetu sote. Mara ya kwanza ulitukwaza wanayanga ulivomaliza suala la Feitoto katika kutoa maagizo. Na ukijua maagizo yako kama Rais hakuna raia wa nchi hii anaweza kuyapinga, Kwa heshima yako wanayanga tulikubali kulimaliza suala hili mezani japo tulishinda kwenye sheria...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Arusha itaongoza kwa kura nyingi za Rais Samia

    “Mheshimiwa Rais, huu ndio Mkoa [Arusha] ambao kaka yangu Dkt. Nchimbi atakuja kukuletea idadi ya kura nyingi zilizopatikana kwenye uchaguzi. Haya nayasema kwa sauti ya unyenyekevu kwa sababu najua mkutano huu sio wa siasa, lakini nakuhakikishia Mheshimiwa Rais utapata kura nyingi sana.” – Paul...
  20. JamiiForums Tanzania Rais samia: tumeondoa njaa kwa asilimia 100 kilichobaki ni mtu mmojammoja kuhakikisha halali njaa

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwa sasa Tanzania imeondoa njaa kwa asilimia 100, akifafanua kuwa kilichobaki ni kuondoa kwa mtu mmojammoja. Akizungumzia namna Tanzania inavyotekeleza Mpango wa Maendeleo Endelevu (SDGs) Rais Samia amesema nchi inajitosheleza chakula chake na zilizobaki ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…