rais

  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mazingira wa Norway ateta na Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Hamad Masauni

    Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Hamad Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Andreas Bjelland Eriksen - Waziri wa Hali ya Hewa na Mazingira wa Norway. Mazungumzo hayo yalilenga ushiriki wa Tanzania katika COP30 na majadiliano kuhusu taka za Plastiki, yalifanyika katika Ofisi...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanavyuo Mkoa wa Iringa wasema watampa Mitano Rais Samia

    Wakuu! Wanavyuo wa mkoa wa Iringa ambao pia ni Wanachama wa Kampeni ya 'Mama Asemewe' katika kongamano kubwa la wanavyuo lililofanyika katika mkoa huo lililobeba jina la Kongamano la Tafakuri ya Wasomi na Miaka minne ya Rais Samia.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ushindi Wa Professa Janabi Wanibubujisha Machozi Ya Furaha nikiwa Nimepiga Magoti Mbele Ya Picha Ya Rais Samia Kumshukuru kwa Ushindi huu aliotupatia.

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ni Ushindi wa kihistoria,Ni Ushindi wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wangu, kupitia uzi wangu Martha karua aruhusiwe, haya ndiyo yanayokuja, poor analystologist!....

    Hakika sifurahi kwa hili, jamani, tuliosomea haya tupo wengi mitaani and we know much in deep, ten step ahead!
  5. JamiiForums Tanzania Rais wa Mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas. Awaita Hamas ni watoto wa Mbwa

    Kama Hamas ni watoto wa Mbwa, Basi maana yake Hamas ni Mbwa? Kwa nini Mahmoud Abbas anasema hivyo? Je kama hawa Hamas ni Mbwa na ndugu zao je? Maana wana watu ambao huwa wanawatetea na wao wanaishi huku Tandale kwa Tumbo na Mburahat wanasemaje...
  6. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais viwanja vyote vya zamani vyote vitaboreshwa na kuwa world-class na kila mkoa utajengwa kiwanja

    Viwanja vitaboreshwa vitawekwa nyasi za kisasa na sio kapeti, viti vitakua na namba, vitakuwa na mapaa, vyoo vitakua visafi, kutakua na VAR, vitakuwa visafi na hakutakua na mechi ya saa nane sababu viwanja vitakua na taa mechi zitaanza saa 11 jioni Multiplier effects ya mpira ni kubwa sana kama...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia hukubaliki kwa wananchi wa kawaida

    Ni ukweli tena ukweli mtupu. Wewe mwenyewe unajidanganya,wanaokuzunguka wanakudanganya. Angalia mikutano ya chadema inavyokuvua nguo. Hadi wananchi wanakimbiza gari za akina Heche ambaye ni makamu wa mwenyekiti. Vibe kama lote. Naamini wewe hujawahi kupata shangwe kama hilo. Wananchi...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kabisa Rais hafahamu chochote kuhusu haya ya utekeaji? Hiki ni kipimo kizuri

    Wakuu, Kumekuwa na member wengi ambao wanaona na kusema kwamba haya ya utekaji, torture na mauwaji, mh Rais hafahamu chochote na wakaenda mbali zaidi na kusema kuwa kuna hujuma dhidi yake. Nadhani kuna mambo kadhaa anayoweza kuyafafanya kama ni kweli hafahamu chochote kuhusu yanayoendelea na...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hakugusia utekaji kwenye hotuba yake ya funga mwaka au ni yale yale kuwa kutekwa, kuuawa na kupotezwa si tatizo?

    Kwanza, namshukuru mheshimiwa rais, Samia Suluhu Hassan. Pili, sijui watanzania wanachukuliaje hotuba yake ambayo haikugusia utekaji na mauaji vinavyoendelea? Kweli ameanza na tumeanza mwaka kinamna bila tumaini wala mipango ya kuondokana na kadhia ya utekaji ulioanza kuzoeleka nchini. Pia...
  10. JamiiForums Tanzania Dr. Mpango hapa umetupanga 100%, huwezi kuacha umakamu wa Rais ili uende kulima. Vipi umefukuzwa?

    Kuna vitu ukivisikia tu, hapo hapo akili inakataa. Dr. Philip Mpango, makamu wa Rais wa Tanzania ameamua kufunguka sasa kwa kueleza wazi yeye mwenyewe (sio kusemewa tena) kuwa, kwa sasa anakwenda kustaafu nafasi ya makamu wa Rais, hivyo kuanzia November baada ya uchaguzi mkuu kwisha hatarejea...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais mmoja katika Jumuiya ya Afrika Mashariki yu mahututi

    Habari zilizonifikia ni kuwa kuna Rais mmoja katika nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yu mahututi na muda wowote Taifa lake linaweza kutangaziwa habari mbaya. Tukiwa kama wana Jumuiya sio vibaya tukaelekeza maombi kwa Rais huyo ili arudi katika utimamu wake na aendelee kuwatumikia...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Mkapa kulifungwa kwa matengenezo ya Bilioni 30, CAF imehamisha fainali Zanzibar. Tulipohoji tulionekana wachochezi, acha tujifunze kwa uchungu

    serikali ilidhani wakosoaji tunawapigia kelele, sasa kelele zinatoka CAF! Club ya Berkene imejulishwa na CAF uwanja utakuwa Zanzibar. Simba hawajui kinachoendelea, kwenye page yao wameandika taarifa kamili ni baada ya mechi ya ugenini. Uwanja wa Zanzibar huwa ni mgumu sana kwa mechi za Simba...
  13. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais mchanganuo wa balanced budget utakavyokua hivi na hii ni kama sample tu

    Mapato yanayokusanywa sasa yanafika kama shiling trillion 32 haya ni makadirio siyo actual figure TRA wanakusanya kama Trillion 24 na mapato mengine tofauti na kodi ni kama Trillion 8 hii ni kama sample tu ya mtizamo wangu Team Dennis 255713520180 👇👇👇👇 Mchanganuo A) Trillion 10 kuservice madeni...
  14. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa TLS Adv Mwabukusi amkaanga Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi

    Akitolea mfano kutoka NCCR Mageuzi alizungumzia jinsi Ofisi ya Msajili inavyohusika kuvuruga Vyama vya kweli vya upinzani, sasa tunashuhudia kinachoendelea CHADEMA, ambapo amesema; "Shetani hawezi kumfukuza Pepo, hakuna Ufalme unaojifitini. Msajili anajua kwanini Vyama vipo." "Nimekuuliza...
  15. JamiiForums Tanzania Mo dewji kaamua kuwasiliana moja kwa moja na raisi wa CAF, motsepe kuhusu mechi ya fainali kuchezwa zenji

    President of Tanzanian giants Simba SC Mr Mo Dewji has sent a direct message to CAF President Dr Patrice Motsepe. Mr Mo felt so much disappointed in the decision to send the 2024/25 CAF Confederation Cup final to Zanzibar. He asked CAF President to intervene in this and ensure that the game is...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Za ndani kabisa zinasema rais wa vyura ndiye kasinichi matumizi ya lupaso ili kulipiza sakata la "hatuchezi"

    SI mnajua kuwa yeye ndiye bosi wa vikundi vyote vya wanaosakata gozi Afrika? Ametumia kofia yake hiyo kumhujumu bosi wa nyika ili asitumie uwanja wa maangamizi wa lupaso. Kafanya hivi kwa kisasi baada ya kupoteza ktk sakatala hatuchezi.
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiliba: Matatizo ya wanachuo yameisha kipindi cha Rais Samia

    Kwani Wanachuo wenyewe mnasemaje? Rais wa TAHLISO Geofrey Kiliba akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu maslai wanayopata wanachuo kwa kipindi hiki cha awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said acha huu Upuuzi ambao Utakugharimu kwani Wewe ndiyo unashirikiana na RS Berkane ili Fainali CAFCC isiwe kwa Mkapa

    Halafu ulivyo wa hovyo unajifanya hujui lolote wakati unatumia Nafasi yako CAF ili Kuiumiza Simba SC kwa hili la Uwanja.
  19. JamiiForums Tanzania Msafara wa Rais Samia ukitoka upareni mazikoni kwa Cleopa Msuya

    Magari kama yote
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hashimu Spunda na mpango kazi wa Rais Samia na CCM kutengeneza upinzani FAKE. Je, Watanganyika watang'amua hili?

    Watanzania ni wajuzi wa mambo ila sio wenye kuchukua maamuzi kwa haraka Watanzania ni wanyonge mno sera Yao ni mwenye nguvu mpishe na hii ndiyo sababu ya CCM na serikali kufanya watakavyo na hawajawahi kukwama. CCM katika kampein yake ya kujibakiza madarakani ikiwezekana hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…