rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Museveni awaomba rasmi msamaha Waganda. Bado nyie CCM!

    Huyu mzee atakuwa ameona siku zake za kuishi sio nyingi sana duniani. Atakuwa amejua atakapoondoka watakaobaki watakuwa kwenye hali mbaya sana. Jana kwenye ibada maalum yeye na mke wake wamesoma speech maalum ya kuwaomba radhi Waganda kwa madhira waliyowafanyia na Chama chao. Rai yangu kwa CCM...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Mfano Ghafla bin Vuu akatokea Rais ambaye si Mwanachadema wala si Mwanaccm, huko mbeleni itakuwaje?

    Wiki kadhaa nilisoma historia za Marais kadhaa wa Afrika baada ya kujiuliza maswali mengi kwanini Baadhi ya Marais waliopata Nafasi baada ya kupigania haki, uhuru na maendeleo kwa muda mrefu hadi leo wengi wao hawajatoka madarakani. Nikakumbuka nchi za magharibi mwa Afrika na hata afrika ya...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Jerry Muro aropoka na kusema Rais ni wa ovyo

    Baada ya Gwaji boy kutupa jiwe gizani kupitia mkutano wake na waandishi wa habari , ambapo hoja zake zilienda moja kwa moja katika kuhoji uwajibikaji wa taasisi ya Raisi kufuatia kuongezeka kwa matukio ya utekaji , uteswaji na hata unyanyasaji wa kijinsia wa raia wa Tanzania na hata wale...
  4. JamiiForums Tanzania Donald Trump amwambia Rais wa Urusi, Vladimir Putin kuwa anacheza na moto

    "Kitu ambacho Vladimir Putin hajui ni kuwa kama sio mimi mambo mengi mabaya yangekuwa yameitokea Urusi, namaanisha MAMBO MABAYA. Anacheza na moto! Donald J. Trump Rais wa Marekani Mei 27, 2025 ======== "What Vladimir Putin doesn’t realize is that if it weren’t for me, lots of really bad...
  5. JamiiForums Tanzania Mh. Rais wetu mpendwa, akae na waandamizi wa ulinzi na usalama waje na tamko!

    Asalam aleykum!, Kwa uoni wangu hafifu, ningeliomba waandamizi na kamati zote za kiusalama, kuyajadili madhaifu yote yanayolalamikiwa na hatimaye kuja na suluhisho moja, namna jinsi watakavyojipanga kuhakikisha madhaifu yote, yanashughulikiwa kwa ukaribu pamoja na ulinzi kuimarishwa zaidi, huku...
  6. JamiiForums Tanzania Nimeitazama video ya Maria Sarungi akizungumza huko Oslo, Norway Kazungumza vizuri tu ila alichofanya sio kitu cha kipekee

    Nimeitazama video ya Maria Sarungi akizungumza huko Oslo, Norway. Kazungumza vizuri tu. Ila, sitokuwa kama wengine na kuanza kummwagia sifa tele na kana kwamba alichokifanya ni cha kipekee sana. Watanzania wengi wamezoea vitu vilivyo chini ya viwango na ndo maana akijitokeza mmoja na kufanya...
  7. JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu, twaomba uyafungue macho ya rais wetu

    Kwa wasomaji wa historia ya uprotestant watakuwa wanakumbuka dua maarufu; "Lord, open the King of England's eyes" ya William Tyndale, aliyoiomba akiwa anachomwa moto October 1536 kwa kosa la kutafsiri Biblia kwa lugha ya kingereza. Kwa faida ya wasiofahamu, mpaka karne ya 16, dini pekee katika...
  8. JamiiForums Tanzania Tabia ambazo ntazipiga marufuku nikiwa Rais wa Tanzania

    Hizo tabia ni kama zifuatazo ambazo zitapigwa marufuku Vigoma Baikoko Vigodoro Hashtag za ajabu ajabu mfano tunaendeleza tabia mbaya Malaya kujianika barabarani Gesti na bar kujengwa bila utaratibu
  9. JamiiForums Tanzania Basilla amwambia Rais Samia “Kuvujisha Siri ni utovu mkubwa wa maadili ila kufanya yanayovujishwa ni ukosefu mkubwa zaidi”

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi na Miss Tanzania wa Mwaka 1998 amezungumzia mambo kadhaa kuhusu kauli za WanaCCM wenzake, msome hapa… Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa heshima na taadhima na upendo mkuu kwako ❤🇹🇿 Kuvujisha Siri ni utovu mkubwa wa maadili,na...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi kapotosha, hakuna chombo cha habari kimefungiwa kwa kumkosoa Rais

    1. VYOMBO VYA HABARI VILIVYOFUNGWA Katika mkutano wa Oslo Forum, Maria Sarungi ametoa madai ya kupotosha kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini, akieleza kuwa kuna vyombo vingi vya habari vimefungwa na Rais Samia ili kujitengenezea njia rahisi ya ushindi wa Mwezi Octoba. Hakuna chombo cha...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi kubwa 3 za Mbunge wa Tanzania.

    1. Kumsifia Rais. 2. Kuitetea Serikali, na ya mwisho ni, 3. Kujipanga kurudi tena bungeni ili kutekeleza no. 1 & 2. Hawana kazi nyingine zaidi ya hizo, mbwembwe zote mnazoziona zipo kwenye cycle hiyo. Usipotekeleza no. 1, hurudi bungeni. Straight RED card. Usipotekeleza no. 2 huwezi...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Bunge limechoka kujificha, sasa ni wazi kuwa si chombo wakilishi cha wananchi bali cha kumuwakilisha Rais

    Kwa mijadala ya Jana bungeni, hakika Bunge limekata mizizi yake ya kuwa chombo cha kuwawakilisha wananchi Kwa mujibu wa katiba ya nchi Bali rasmi sasa ni CHOMBO cha kulinda na kuwakilisha taasisi ya Urais. Ajenda kuu iliyopo sasa uwe unataka ama hutaki, iwe unaizungumzia moja Kwa moja ama...
  13. JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa DRC atua Goma

    Joseph Kabila aliyekuwa Rais wa DRC amezungumza kwa video na akamuita Rais wa sasa wa DRC Dictator. Kabila amezungumza baada ya Bunge la DRC kumuondolea kinga ya kutokushitakiwa. Mamlaka za DRC zinataka kumshitaki kabila kwa makosa ya Uhaini na uhalifu wa kivita akihusishwa na M23. Serikali ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mh rais huyu Razaro Twenge wa TANESCO sisi watu wa kiruvya kisarawe tumemkosea nini tangu jana hakuna umeme.

    Mh Rais Samia suluhu Hasan nakupa hongera kwa kusimamia utekelezaji wa ilani hasa suala la upatikanaji wa umeme wa uhakika ila kuna tatizo pia . Tangu huyu DG mpya aingie ofisini na kuapa sisi wakati wa kiruvya, kisarawe, kwa omar,kwa sumaye ,makulunge hadi kwa masista hatuna umeme tangu...
  15. JamiiForums Tanzania Tumechoka na hivi visa vya watu kutekwa na kupotezwa. Kwa mfano, aliyerekodi msafara na kuchoma picha ya Rais alikuwa na tishio gani kwa usalama?

    Yaan Picha, thamani ya Picha ya MTU Inakua juu ya UHAI wa MTU??. Yaan Video, video ya magari ya Msafara ,inakua na thamani kushinda Uhai??. Sasa tumechoka, watanzania wanasimamia na wote wenye kuitetea Haki. Rais Samia na wengineo wote. Tumechoka! Yaan Kwa mfano, alochoma picha ya Rais...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: "na kama wanataka kuchukua nje wachukue lakini kwanza tufaidike ndani ya nchi" Nani kaelewa hii kauli?

  17. JamiiForums Tanzania Rais William Ruto (Kenya) Amjibu Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania) baada ya kutoa kauli ya kuwabagaza na kuwadharau Wakenya..

    https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg https://youtu.be/LI58lCwODxQ?si=3O5x8UYnDDmWtSL7 #Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Nampenda Rais wangu mana huwa anaongea ukweli. Hatakagi kuongea fix ili kuwafurahisha watu kama mtangulizi wake.

    Samia is real an icon of this particular country and world at large. She speaks her mind truthfully with no lies to make people happy even if they are not happy During the magufuli's regime the government was run on fixes and proxies such that no one was allowed to query even though there...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ataka Tanzania ianze kuzalisha umeme wa Uranium, asema rasilimali hiyo itumike kuinufaisha nchi kabla ya kuuzwa nje

    Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Lazaro Jacob Twange, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO, akimtaka kuiongoza taasisi hiyo nyeti kwa weledi, uzalendo, na ufanisi mkubwa. Akimwelekeza rasmi kuanza majukumu, Rais Samia amesema TANESCO ni taasisi ya kimkakati inayohusiana moja kwa moja na...
  20. JamiiForums Tanzania Mkopo wa bilioni 2.85 chama cha walimu ziliafikiwa chini ya rais Leah Ulaya, walimu tumeshtuka, box la kura litaamua

    Ndugu wanachama, walimu wenzetu na mashabiki wa kweli wa maendeleo ya CWT, Wakati mwingine kimya si busara! Sasa tusikie na sisi tusikike. Ni muhimu kusema ukweli huu bila kupepesa maneno. Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia matumbo yasiyoshiba yakizusha kelele zisizo na msingi dhidi ya uongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…