rais

  1. P

    JamiiForums Tanzania Hili nalo la nssf rais litazame upya

    Sheria ya Mafao ya kukosa ajira (Unemployment benefits) kwa sasa mwanachama anapata 33.3% ya msharaha wake. Ambayo yanalipwa kwa miezi sita tu. Baada ya hapo mfuko unakuchoka na kukuacha upambane na hali ngumu ya maisha. Ukizingatia ugumu wa kupata ajira ilivyo, napendekeza yafuatayo: 1. Mifuko...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isingetumia njia ya Mombasa hadi Kisumu kisha Ziwa Victoria kusafirisha boti badala ya njia ya Barabara kutoka Mtwara mpaka Mwanza??

    Anayeweza kunisaidia kufafanua bot inayosafirishwa kupita mikoa zaidi ya 4 kwa siku 30 kwanini lisingesafiri kwa maji kutoka Mtwara mpaka Mombasa Kenya kisha, wasafirishe mpaka bandari ya Kisumu kisha iingie kwenye maji yenyewe mpaka Mwanza? Wataalam walitumia tathimini gani kuona njia...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu; Leah Ulaya, Maganga Walivyogomea uteuzi wa Rais kisa CWT

    Mwezi Septemba, 2023 Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alimteua aliyekuwa Rais wa chama cha walimu Leah Ulaya kuwa mkuu wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, hata hivyo Leah aligomea uteuzi huo wa Rais hakwenda kituo cha kazi alichoteuliwa. Sambamba na uteuzi huo Rais pia alimteua aliyekuwa wa...
  4. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa umma hawako makini vya kutosha wanamwaibisha Rais Samia

    Ni mara nyingi kuna nyaraka zinazunguka mtandaoni za kiserikali, zingine barua zingine amri n.k unahisi kabisa wafanyakazi waliopewa nyadhifa kubwa huwa wanafanya kazi bila umakini wa kutosha na kwa sababu hiyo wanaaibisha serikali na Rais aonekane hayuko makini vya kutosha. kuna barua nyingi...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Suleiman Ikomba achaguliwa kuwa Rais mpya Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimemaliza kimepata rais mpya, Suleiman Ikomba, aliyeibuka mshindi kwa kupata kura 608 dhidi ya kura 260 alizopata aliyekuwa rais wa awamu iliyopita, Leah Ulaya. Kura moja iliharibika, na kufanya jumla ya kura zilizopigwa kufikia 869. Uchaguzi huo umefanyika jana...
  6. JamiiForums Tanzania Kama uchaguzi Oktoba 2025 ukipelekwa 2027 , kipi bora Reforms za uchaguzi au Rais Mama Samia atupe katiba Mpya ?

    Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla. Binafsi naamini kama Mama akikubali kwamba kwa sasa tunahitaji mabadiliko kwanini katika hii miaka miwili tukatafuta katiba Mpya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia manung'uniko dhidi ya Jeshi la Polisi yamezidi kwa sasa tangu Tanganyika iwepo Duniani

    Nina uhakika wa Mungu unajua fika kuwa jeshi la polisi linalalamikiwa sana kuliko miaka yote tangu Tanganyika iwepo duniani. Mauji ya wananchi, kuonea wananchi and many many other atrocities committed by polisi, bado makubwa yanayotokea mikononi mwa polisi. POLICE BRUTALITY IS AT ITS PEAK...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Manung'uniko yalikuwepo ya Jeshi la polisi yamepungua sana

    Wakuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema manung'uniko yalikuwepo kuhusu Jeshi la polisi kwa sasa yamepungua sana. Rais Samia ameyasema hayo katika Sherehe ya kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi katika...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mwamposa: Namshukuru Rais Samia

    Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwezesha kujenga kanisa lake eneo la Kawe Dar es Salaam, huku akimpongeza kwa kuendeleza miradi ya maendeleo iliyoachwa na Hayati Rais John Magufuli. Soma pia: RC Chalamila asema Rais Samia ameruhusu...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Serikali ikiendelea kuwa na wajinga wajinga huko juu,tutaingia kwenye hoja ya Rais wa waislam na rais wa wakristo

    Naona mpambano unako elekea huu na vile kuna wajinga wapo huko juu na wana upofu wa maono tutatengeneza taifa la marais wa kidini maana kila upande naona unalia na shida zake.
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kashaingia kwenye 18 za Mfumo wa Udini. Hachomoki

    Huu mtego alitegwa akategeka. Sasa kajaa. Yeye alijua anamkomoa Gwajima. Ila mahubiri ya Jumapili ya leo yoye yameongelea Makanisa kukosa uhuru. Wanazungumzia Kanisani kuna Kipaimara, Meza ya Bwana, Harusi, nk. Wakristo wenzao wa kanisa la ufufuo na uzima wamekosa haki hiyo ya kuabudu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunaomba VPN unayotumia kuingia mtandao wa X

    Mh. Rais wetu shikamoo Mama. Nimejaribu kuingia twitter au X kukutetea dhidi ya hawa wanao comment no Reforms No Election lakini nimeshindwa sababu imefungiwa Tanzania. Nina dhamira ya kwenda kupambana na hao Kenge, Wapuuzi na Walevi. Ombi langu kwako Mama nisaidie kupata VPN unayotumia nami...
  13. JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia hajawahi kukanusha Maneno yake ya Oktoba 17 2020 Pale Chunya,Ni Mwendawazimu Pekee ndiye atakayepoteza muda wake kwenda kupiga kura

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Akiwa Makamu wa Rais,Samia Suluhu Hassan alinikuliwa akitamka maneno ya Kejeli,dhihaka na dharau Kwa wapiga kura wa Chunya Mkoa wa Mbeya ! "Msipigie kura chama kingine,kwasababu hata mkipiga kura kwingine CCM inaenda kuunda serikali,CCM watashinda...
  14. JamiiForums Tanzania Kanisa la KKKT Makete lamzawadia Rais Samia Tuzo ya Amani na Umoja

    Katika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais Samia. Tuzo hiyo imekabidhiwa rasmi leo Juni 7, 2025, katika Wilaya ya Makete, mkoani Njombe, na...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wacharuka na comment za 'No Reforms, No Election' kwenye page za Viongozi na Taasisi za Umma ikiwemo post ya Eid ya Rais Samia

    Wakuu! Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii. Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Leo Rais Samia yupo msikitini akitumia haki yake ya kuabudu, ila kuna watu wamenyimwa haki ya kuabudu

    Inaskitisha sana, Rais wetu leo anatumia haki yake ya kikatiba ya kuabudu, yupo msikitini katika maadhimisho ya EID, Lakini kuna watu zaidi ya elfu 20 ambao wamewanyimwa haki hiyo ya kikatiba ya kumwabudu Mungu kwa kufungiwa kanisa. pengine najiuliza, au ilionekana kinachoendelea kule ni...
  17. JamiiForums Tanzania Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!

    Wanabodi leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake, ndiyo maana polisi awakumkamata nikaguswa!na kuamua kuzungumzia tena hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!The Power of Karma-...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Mwigulu mchemba nani boss wa mwenzake?

    Nashindwa kuelewa Rais samia anamuogopa Mwigulu mchemba,au wako pamoja katika mision zao au ni nyingi sana, maana ukimsikiliza Mpina jinsi anavyolalamika kuhusu huyu waziri wa fedha halafu Rais kakaa kimya hachukui hatu yoyote ile tofauti na reaction iliyoichukua baada ya Gwajima kuliongelea...
  19. JamiiForums Tanzania Video: Afrika inahitaji Rais kama huyu

  20. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi Mama mzazi wa Rais wa Mamlaka ya Palestina, Mahmoud Abbas, ni Myahudi

    Wadau hamjamboni nyote? Ndiyo maana rafiki wa Mayahudi Ni tetesi mwenye taarifa kamili aje atujuze. Tazama taswira yake
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…