rais

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Tumepeleka fedha nchi nzima kwa ajili ya miradi ya serikali

    “Kwa mfano leo hapa Bariadi kuna miradi sita ya kufungua na yote ni kwa sababu serikali ilikuwa na fedha, tumetawanya fedha za kufanya miradi hiyo. Ni makusanyo ya ndani. Miradi yote tumejenga wenyewe isipokuwa mmoja ndio wa mtu binafsi niliokwenda kuufungua asubuhi leo. Lakini mitano yote ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa yasimama Rais Samia; Awasili Jijini Mwanza na kupokelewa na Maelfu ya Wananchi Wenye Nyuso za Tabasamu na furaha akielekea Mkoani Simiyu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Amewasili Mkoani Mwanza...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa Cyprus asema ametumwa aongee na Netanyahu

    Nasemaje nasemaje Israel msisklize nyau yeyote na kama mkiacha kupiga kisa mumeskliza yeyote anayetumwa hakika sitawasamehe, naacha ushabiki wangu na kutamani mpigwe tu, hii ngoma ilikua imekaa vizuri hadi sipati usingizi naangaza tu macho kweny vyombo vya habari kila mkipiga nahisi kilele...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sio dhambi Serikali Kushirikiana na Mahakama

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemshukuru na kumpongeza Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mstaafu Prof. Ibrahim Hamis Juma, kwa kazi nzuri aliyoifanya ya kukuza ushirikiano wa Mahakama na mihimili mingine ya Dola ikiwemo Serikali na Bungeni ambapo Rais Samia amesema sio dhambi kwa...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Nani unamtabiri kuwa Rais mpya wa TFF katika uchaguzi wa mwezi wa nane ?

    Uchaguzi uliopita Karia aliweza kutwaa kiti cha urais kwa mara ya pili kwa kuengua wapinzani wote kisha yeye mwenyewe kubaki kugombea. kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Karia kashamaliza muda wake wa mihula miwili, hawezi kugombea tena. Je ni nani atakuwa Rais mpya ?
  6. JamiiForums Tanzania Mnaotaka U Rais shirikisho la Riadha Tanzania, Uchaguzi ni Agosti 16 2025.

    Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi wa shirikisho la riadha Tanzania ~RT Bw. Leornard Thadeo ametangaza uchaguzi wa rais na wajumbe kufanyika tarehe 16:08:2025 katika hoteli ya Aden Palace, Jijini Mwanza. Aidha ametaja nafasi zinazogombewa ni rais wa shirikisho Nafasi (1) , makamu wa rais wa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma na kuzungumza na wananchi Juni 14, 2025

    Rais Samia akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025. https://www.youtube.com/live/TgN_32Yqzlo?si=JWFkm-rF1pIErqq9 ==== Rais Samia ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa Dodoma yenye urefu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais wa Tanzania nitaruhusu Uraia pacha kwa sababu una faida kubwa sana

    Kama kisemavyo kichwa cha habari ntaruhusu uraia pacha sababu unafaida nyingi mfano Uta-facilitate technology transfer Utaongeza wigo wa skilled labour kwenye critical sector Utaongengeza na kuchochea uwekezaji Utatupandisha kwenye michezo sababu kuna diaspora wengi wako tayari kuchezea timu...
  9. JamiiForums Tanzania Ulega: Rais Samia umeituliza nchi sakata la Dabi ya Kariakoo

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kusuluhisha mvutano uliokuwepo kati ya klabu za Yanga na Simba kuhusu ratiba ya mchezo wao, imeleta utulivu mkubwa kwa Taifa na mashabiki wa soka nchini. Akizungumza leo Jumamosi, Juni 14, 2025, wakati...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Maswa: Maswali Yaibuka Kuhusu Kipaumbele cha Miradi

    Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitarajiwa kutua wilayani Maswa kwa ziara ya kihistoria, sintofahamu imeibuka miongoni mwa wananchi na wadau wa maendeleo juu ya maamuzi ya ratiba ya shughuli atakazozindua. Katika ratiba rasmi, Rais Samia amepangiwa kuzindua...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya

    Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya. Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya! Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nimebubujikwa na machozi ya Raha kusikia kuwa Mwamba Netanyau atazungumza na Rais Trump baadaye Leo

    Wadau hamjamboni nyote/. Hakiki ni Raha kubwa kwangu kujua kuwa Mwamba wa ukweli Benjamin Netanyau yuhai kabisa. Yes indeed he's very much alive. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu is set to speak to US President Donald Trump later today, according to an Israeli official. Netanyahu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zambia: Familia ya Hayati Lungu yasema aliacha maelekezo Rais Hichilema asihudhurie msiba wala kusogea popote ulipo mwili wake

    Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu, ambaye alifariki wiki iliyopita akiwa nchini Afrika Kusini, imedai kuwa marehemu aliacha maelekezo mahsusi akitaka Rais wa sasa, Hakainde Hichilema, asijihusishe kwa namna yoyote na shughuli za msiba wake wala kuwa karibu na mwili wake. Kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Huu ni MSIBA kuona deni la TAIFA linaongezeka huku uhalisia wa maisha ya mtanzania, miundombinu, huduma zikizidi kuwa duni

    Poleni Sana Watanzania. Mpo kwenye MSIBA mkubwa. Huu ni MSIBA kuona deni la TAIFA linaongezeka huku uhalisia wa maisha ya mtanzania, miundombinu, huduma zikizidi kuwa duni. Ila VIONGOZI wa CCM ni wana hela hadi wanaumwa hela, I tell you my fellow …. HELA zinapigwa kupitia miradi and all...
  15. JamiiForums Tanzania Ni mawaziri gani ambaye ugeshauri rais awatumbue?

    Kama Rais ssh angekuwa anapokea malalamiko na ushauri wetu na kuvofanyia kazi haraka na vilivyo, ni mawaziri gani ungetaka na kushauri watumbuliwe haraka? Nianze na 'Dr' Mwigulu Nchemba Naomba uweke wako hapa, maybe Rais anaweza kusoma au kufikishiwa unumbe.
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia una hii Taarifa muhimu ya Umoja wa Ulaya (EU) kuzuia Ndege za ATCL kutua Ulaya yote kutokana na kutokuwa salama kwa Abiria na mbovu?

    Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na kutokuwa salama kabisa kwa Abiria na badala yake yuko busy kutishia Watanzania wanaoandika Mitandaoni NO...
  17. JamiiForums Tanzania Familia ya Juma Maganga yamlilia Rais Samia awasaidie ndugu yao atolewe Jela Sudan Kusini

    Familia ya Mtanzania Juma Maganga, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 13 nchini Sudan Kusini kwa kosa la kumgonga mwanajeshi hadi kufariki, imeelezea hofu yao juu ya hatma ya ndugu yao huyo endapo watashindwa kulipa fidia ya milioni 30 kama ilivyoamriwa na mahakama ya huko. Licha ya adhabu hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Gazeti la "The Wall Street Journal " la New York la tarehe 11/06/2025 limesema Rais Samia anatumia Madaraka yake vibaya

    Gazeti la "The Wall Street Journal " la New York la tarehe 11/06/2025 limesema Rais Samia anatumia Madaraka yake vibaya. Britanicca
  19. JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga Hersi Said aitelekeza timu yake katikati ya mgogoro mkubwa

    Kawaida, kiongozi wa taasisi au hata wa nchi inapotokea kuna mgogoro mkubwa unaohitaji uangalizi wako wa karibu na haraka, unaacha unachofanya unarudi kuokoa jahazi. Tumeshuhudia marais hata wa Marekani wanasitisha ziara zao na kurudi kusimamia jambo la dharura hadi litakapokaa sawa. Cha...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Rais nakuomba utumie busara na hekima Yako

    Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin). Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…