rais

  1. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara baada ya kuhutubia hafla ya uapisho iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah ni Rais wa...
  2. Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake

    Wakuu Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake Eng. Hersi ana sifa na uzoefu mkubwa katika uongozi wa soka, hasa kupitia nafasi yake ndani ya Yanga SC, tangu amechukua nafasi hiyo kubwa katika ngazi ya...
  3. Mnahangaika sana na Speculations zenu ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi ama kumbadilisha au kumtumbua Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba

    Na sababu Kubwa ninaijua Mimi na nadhani hata hapa JamiiForums nilishawahi kuisema. Fanyeni Kazi msipoteze muda.
  4. Kwahili la kodi bila kutishana na bado maendeleo yanaonekana, Rais Samia sekta binafsi tunakupongeza

    Rais Samia mimi binafsi mfanya biashara kutoka sekta binafsi nakupongeza sana hasa katika ukusanyaji wa kodi bila kutumia mabavu. Tunakumbuka tulikotoka. TRA walikuwa miungu watu. Tena zilikuwepo TASK FORCE ambazo zilikuwa zina terrorize wafanya biashara. Akaunti hela zinachotwa bila kibali cha...
  5. Naomba kujua faida ambayo Upuuzi wa Mwijaku kutamba Mitandaoni huku akionyesha Dola Feki kila mara

    Najua hawezi Kuguswa kwakuwa tayari anatumika na Myemeni, ila endeleeni tu Kulea huo Upuuzi wake mtanikumbuka!!!!
  6. Rais Trump ashuhudia maandalizi makubwa ya kumpokea Masihi, nchini Israeli !!

    Ndugu zangu, habari ya mjini ndio hii. Kiongozi mwenye mamlaka makubwa ya kidini nchini Israeli ametamka wazi mbele ya Rais Trump kuwa Waisraeli wanajiandaa kujenga hekalu la tatu, kubwa, mjini Yerusalemu. Ujenzi wa hekalu la tatu ni hatua muhimu sana kwa Waisraeli katika maandalizi ya kumpokea...
  7. Wana Yanga SC mnaomlaumu Rais wa TFF Wallace Karia kwa Kauli yake nawaombeni mnipe tofauti ya Kauli yake hiyo na ile ya Rais wenu Injinia Hersi Said

    Rais wa TFF Wallace Karia...."Yanga SC waendelee tu na Sinema zao juu ya Mechi yao Kuhairishwa" Rais wa TFF Injini Hesri Said..."Yani mwana Yanga SC mmoja katoka zake kula Mihogo alafu anataka Nijiuzuru" Kila Siku tukiwa tunasema hapa kuwa huenda huko Yanga SC kukawa na Wendawazimu wengi tu...
  8. U

    Nimebubujikwa na machozi ya shangwe mwanafunzi Esther akimshukuru Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa kwenye elimu utakaowasaidia kutimiza ndoto zao

    Wadau hamjamboni nyote? Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa ziarani mkoani Tanga hususani wilaya za Muheza na Mkinga alikutana na mwanafunzi wa sekondari ya magila aendaye kwa jina la Esther aliyemshukuru kwa kufanya uwekezaji mkubwa sekta ya elimu. Wadau nimeguswa sana na tukio hili na...
  9. ACT Wazalendo: Tunamtaka Rais Mwinyi, kuunda Tume huru kuchunguza matukio ya Mauaji ya Raia

    Tunamtaka Rais Mwinyi, kuunda Tume huru kuchunguza matukio ya Mauwaji ya Raia) ACT Wazalendo tunalaani vikali tukio la mauaji ya kinyama dhidi ya Ndugu Juma Ame Ngwali, mwenye umri wa miaka 58, mkazi wa Kijiji cha Ndooni, Shehia ya Uweleni, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Marehemu...
  10. Anaandika Makamu wa Rais wa Yanga

    “Unaweza kuendesha Watu ila huwezi kuwaendesha wakati wote, unaweza kuburuza watu ila huwezi kuwaburuza wakati wote, unaweza kuwaongopea watu ila huwezi kuwaongopea wakati wote, kuwa makini na maji yaliyotulia, yana kina kirefu sana”. Arafat Haji kupitia ukurasa wake wa Instagram …………..
  11. M

    Shida ni Siasa- Aliyekuwa M.kiti wa Simba amethibitisha Rais Samia ndio aliekeza Mechi ya derb 20/21 isogezwe saa moja

    Kabla Mods hamjakimbilia Kuushusha Uzi naomba msome kwanza , muangalie na Source ya habari Hii , naweka Link. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba msimu wa mwaka 2020/2021 , Bwana Muhina Kaduguda ametoa siri ambayo haijawahi kuongelewa popote, Kaduguda amesema dhahiri kuwa wakati huo yuko mwenyekiti wa...
  12. Kulikoni Rais wa nchi kukaa kimya katika siku ya kumbukizi ya kifo Cha mtangulizi wake ? Kuna jambo halipo sawa! Magufuli pumzika kwa amani

    Mpaka sasa hakuna page yoyote ya rais iliyoposti chochote kuhusu kumbukizi ya mtangulizi wake john pombe magufuli ! Sio waziri mkuu Wala makamu wa rais aliyethubutu kuzungumza chochote ! Labda tunajaribu kuifubaza siku hii muhimu ni yenye kumbukumbu ya kutisha kuwahi kuipata nchi yetu !na kwa...
  13. Haji Manara amtaka Rais wa Yanga, Eng. Hersi kuitisha Kikao kujadili kauli ya Rais Karia

    Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara amezungumzia sakata la mechi ya dabi ya Kariakoo pamoja na kauli ya Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuhusu ombi la Yanga SC la kutaka Bodi ya Ligi ijiuzulu. Soma: Manara amchana Rais wa TFF, Wallance Karia...
  14. D

    Siku ya kumbukumbu ya kifo cha Mkapa ni lini? Mana huyu kwangu ndo alikuwa rais bora na siyo huyu

    Mkapa alianzisha vitu vingi kama 1. TRA .2. NSSF 3. Bodi ya mikopo Nk
  15. Tathimini: Uzinduzi wa Sera Mpya ya Taifa ya Ardhi na Dhamira ya Rais Samia

    Utangulizi Mnamo Machi 17, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995, Toleo la 2023, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center, jijini Dodoma. Uzinduzi huu unaashiria hatua muhimu katika...
  16. Siku akija Rais wa TFF mwenye affiliation na Yanga tutakumbuka haya na tusilaumiane

    Wanayanga mpito wanaopitia, Inadhihirisha mambo makuu mawili 1.Siku zote akili kubwa haiwezi kuongozwa na akili ndogo. Jaribu kuangalia hata hadhi, heshima, hekima na busara za kiuongozi kati ya rais hawa wawili, TFF na Young africans sc, utapata jibu. 2.Kwa sasa Yanga anafanyiwa hujuma na...
  17. Manara amchana Rais wa TFF, Wallance Karia, adai anakiburi cha madaraka ya kulevya

    Aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara amemchana Rais wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF), Wallace Karia kwa kauli zake kuhusu sakata la Dabi ya Kariakoo (Simba na Yanga) kuahirishwa. Pia, Soma: Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa Video: Bongo5
  18. Magufuli ndio Rais ambaye hakuacha legacy yoyote

    Katika kumbukizi ya miaka 4 Toka aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 Hayati Magufuli atutoke Magufuli ni Rais ambaye hakuacha Legacy yoyote hapa nchini na badala yake alituachia mzigo ambao Rais Samia anapambana kusawazisha mambo 1. Aliharibu upande wa diplomasia Magufuli ndo aliwaita wawekezaji...
  19. JE MAGUFULI<=>kama<=> NYERERE( Njoo tumuunde Rais kwa mfano wetu)

    Kutokana na mitazamo tofauti ya wananchi juu ya wenyenchi, kila awamu ya uongozi ukihudumu. Mimi binafsi natambua umuhimu wa kila awamu kwa nafasi yake, ila awamu ya I & V ni za viwango. Kuna kufanya vizuri na kuna kuweka viwango(set standards) unakua mfano kwa wakufuatao./igwa Kwa mtazamo...
  20. Mhe. Rais umewezaje kuruhusu toleo jipya la noti ya TSh. 10,000/= ili mtu mmoja atimize ndoto yake!

    Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…