rais

  1. Tetesi: Siku sio nyingi Askofu Gwajima atatangazwa kuwa ni MHAINI, Anatishia Usalama wa Rais Samia, Kupanga Njama Ovu!

    Katika ulimwengu wa siasa za Tanzania, jina la Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe na mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, limekuwa likizua mjadala mkali. Hivi karibuni, uvumi umeenea kwamba “muda sio mrefu” Gwajima atatangazwa kuwa mhaini anayetishia usalama wa Rais Samia Suluhu Hassan...
  2. PreGE2025 CCM Dodoma: Mkingeni Rais Samia dhidi ya mashambulizi mitandaoni

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma...
  3. Uamuzi wa Rais Kufungia Makanisa ni Tusi kwa Katiba, Unajisi kwa Demokrasia na Vita Dhidi ya Mungu Mwenyewe

    Ni jambo la kutisha na la kuumiza kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kutumia mamlaka ya ofisi ya juu kabisa ya utawala, akiamua kufungia nyumba za ibada kana kwamba ni maeneo ya kihalifu. Huu ni ushahidi wa wazi wa kuporomoka kwa heshima ya mamlaka ya dola, na zaidi ni dalili ya...
  4. Ikitokea Rais Samia akakemea kufungwa kanisa la Gwajima na kutengua uteuzi wa Bashungwa CCM hawatamsifia?

    GTs, Hebu fikiria tu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekemea vikali hatua ya kufungiwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima inayoongozwa na Askofu Josephat Gwajima, akieleza kuwa ni ukiukwaji wa haki ya kuabudu inayolindwa na Katiba. Hebu fikiria tu akizungumza haya...
  5. Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa: Ukiona jirani yako hayuko salama nawe pia hauko salama

    Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa, OFM Cap ametoa habari njema kwa Waamini wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania na wote wenye mapenzi mema kuwa afya ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC), Padri Charles Kitima imeimarika na sasa ameanza...
  6. F

    Rais Samia ashughulike na matatizo ya usalama wa wananchi na sio kushughulika na wanaofichua uovu. Sura ya Tanzania kimataifa imekuwa mbaya mno!

    Kinachoendelea ni kwa serikali na vyombo vyake kujaribu kuwaziba midomo wale wote wanaofichua vitendo viovu vya utekaji na upotevu wa wananchi. Lakini la ajabu ni kwamba badala ya serikali kutoa ushirikiano kwa watoa taarifa inaonekana serikali inajikiti zaidi kukana kuwepo kwa vitendo hivi na...
  7. I

    Mnyonge mnyongeeni, haki yake mpeni- kwa mafanikio haya, Rais Samia umetutendea haki wakulima

    Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda mrefu zilisikika kama kilio kisicho...
  8. Mnyonge mnyongeni - Kwa mafanikio haya, Rais Samia umetutendea haki wakulima

    Na, Kalamu ya Jenerali, Mbalali Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda...
  9. Rais Samia, Tafadhali Sikiliza Sauti ya Watu wa Mungu

    1. Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, tunakutambua kama kiongozi wa nchi yetu, mama wa taifa, na muendelezaji wa juhudi za maendeleo. Tunakupa heshima yako kama mkuu wa nchi. 🇹🇿 2. Lakini tunakuomba kwa unyenyekevu, usikilize kilio cha viongozi wa dini ambao kwa nyakati mbalimbali wamekuwa...
  10. K

    Rais Samia atakapotoka madaraka ataenda kuishi Oman na familia yake?

    Najalibu kutafakali kwa haya yanayotokea huyu Mama baada ya kustaafu sizani kama atabaki Tanzania kama marais wenzake waliomtangulia,namuona yeye na familia yake wakienda kuishi Oman huku nyuma akiwa ametuachia msala wa mavurugano mkubwa wa kivyama,kisiasa na kidini, Kama huko CCM hakuna wa...
  11. Waziri Kombo akutana kwa mazungumzo na Rais wa Kosovo

    Rais wa Jamhuri ya Kosovo, Mhe. Dkt. Vjosa Osmani Sadriu amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo alipomtembelea Ikulu jijini Prishtina, Kosovo tarehe 1 Juni 2025. Mazungumzo ya viongozi hao yalijikita katika...
  12. Mama Makinda na mh Sumaye kwenye tuzo ya heshima ya rais Samia.

    Waziri mkuu mstaafu mh Fredrick Truwaye Sumaye na spika mstaafu mama Anne Makinda ni miongoni mwa vigogo wa nchi hii waliohudhiria utowaji wa tuzo ya heshima kwa mh rais Samia Suluhu Hassan toka kwa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Katika picha anaonekana mh Sumaye na mh Makinda...
  13. PreGE2025 Kwanini Bunge linatoa Tuzo kwa Rais kupitia jina la CCM? Hili ni jambo la hatari kwa Katiba yetu

    “Simba hana haja ya kujitangaza. Ukisikia mwituni kimya kingi, ujue ama amecheua au yuko katika mawindo.” Methali hii ya Kiswahili imenikumbusha taarifa ya tarehe 1 Juni 2025 iliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikitoa pongezi kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupokea Tuzo Maalum...
  14. Rais Samia anasemwa kwa haki kabisa kutokana na mwenendo wa uongozi wake. Sijui kwanini anaona anaonewa? Mimi simuelewi kwanini aone hivyo

    Rais Samia aambiwe tu ukweli kuwa anaweza kubadilika na akaongoza vizuri tu kwa kufuata uelekeo mzuri. Tumwambie kuwa uelekeo alipo ni kama sisi watu wa Tanganyika tunaona hatupendi. Tumwambie tu hata kama ataendelea kuchukia sisi tuendelee kumwambia tu. 1. Kwanini amefungia mtandao wa Twitter...
  15. L

    CCM yatoa pongezi kwa Rais Samia kwa kupewa tuzo na Bunge

    Ndugu zangu Watanzania, Chama cha Mapinduzi CCM,chama kiongozi Barani Afrika,chama kilichobeba matumaini ya watanzania,chama kinachoaminika ,kupendwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania kimempongeza Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia...
  16. Nikiwa Rais wa Tanzania miji mikubwa na midogo itapigwa paving

    Mji wa Florence Italy ndo mji wa kwanza kupiga mji mzima paving mwaka 1339, leo hii ukitembelea nchi zilizoendelea ni nadra sana kukuta miji yao inavumbi, kama wao wameweza na sisi Tanzania tunaweza Miji kama seoul, Beijing, Tokyo ni mikubwa sana, inawatu wengi dar cha mtoto ila ukiambiwa...
  17. Unakumbuka Mkurugenzi wa CRDB Bank aliposema wamefungua tawi Chato kwa kuwa utafiti umefanywa na Rais Magufuli?

    Rais John Magufuli akielezwa jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk Charles Kimei baada ya kufungua tawi jipya la benki hiyo lililopo Chato Mkoani Geita. Kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaji, March 9, 2018. Picha na Othman Michuzi. SEHEMU YA STORI YA MWANANCHI...
  18. Kama ningekuwa Rais haya ndo mambo ambayo ningefanya kwa watanzania

    If I could be a president. Ninge-ruhusu wagombea binafsi . Hapa Tanzania kuna watu wengi wenye akili Sana hawataki kujiingiza katika siasa kwakuwa siasa zetu zimejaa uongo mwingi na fitina majungu na michezo michafu. Kutokuwepo kwa wagombea binafsi ni hasara kwa Taifa . Tunaishia kupata...
  19. N

    IGP Camilius Wambura amepoa sana, Rais mweke CP Awadh Juma Haji

    Huyu IGP wa sasa Camilius Wambura mbona hata kuongea Kiswahili hawezi, ni mtanzania kweli. IGP anatakiwa mtu kama Awadh Juma Haji au Jumanne Muliro, lazima awe very strong, anayeelewa mambo ya siasa na propaganda zake. Hizi propaganda za utekaji tungekuwa na IGP strong zingeshamalizwa. IGP...
  20. M

    Je! Rais Samia anapambana peke yake ndani ya CCM? Kitendo cha yeye kutoa hukumu kama M/kiti juu ya Gwajima, hakuashirii jambo hili?

    Kitendo cha Rais Samia kulibeba suala la Gwajima yeye kama yeye bila ya kuwa sehemu ya agenda kamili ya mkutano mkuu wa ccm wa juzi na na jana, kuna leta maswali mengi juu ya uungwaji mkono ndani ya chama chake Kwa kiswahili kisicho sawa, hapa mwenyekiti alitumia kiti chake kumhukumu Gwajima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…