rais

  1. R

    JamiiForums Tanzania Maelfu wamuunga mkono mpinzani wa Rais Paul Biya wa Cameroon

    Maelfu ya watu wamekusanyika katika jiji la Maroua, kaskazini mwa Cameroon, kumuunga mkono mgombea wa upinzani Issa Tchiroma Bakary, siku chache kabla ya uchaguzi wa urais utakaofanyika Oktoba 12, 2025 Hii inajiri wakati Rais Paul Biya , mwenye umri wa miaka 92, anatafuta kuendeleza utawala...
  2. JamiiForums Tanzania MUGABE: Mfungwa aliyekuwa Rais msomi kuliko marais wote duniani

    Inaelezwa kuwa alikuwa ndiye Rais aliyekuwa na elimu kubwa kuwazidi Marais wote duniani alikuwa ni Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Mugabe alizaliwa 21 February 1924 kule Kutama, Southern Rhodesia (Zimbabwe) miezi michache baada ya Southern Rhodesia kuwa koloni la Uingereza. Watu wake...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa Malawi aliyechaguliwa hatomaliza miaka yake mitano

    Uchaguzi wa Malawi uliofanyika na Malawi kupata Rais wa kuongoza nchi ya Malawi. Rais wa Malawi aliyechaguliwa hatomaliza miaka yake mitano ijayo ataondoshwa. Huu ni uhakika wa 100% ataondoshwa baada ya muda mfupi na serikali nzima itavunjwa huu sio utabiri ni uhakika wa 100%.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Madaktari waunga maandamano ya Gen Z Madagascar, Rais aitisha mazungumzo baada ya kupewa muda wa saa 48 na Waandamanaji kuitikisa nchi nzima

    Waandamanaji waliendelea kujitokeza mitaani nchini Madagascar Oktoba 7, 2025, siku moja baada ya Rais Andry Rajoelina kumteua waziri mkuu mpya Jenerali wa Jeshi, katika juhudi za kupunguza mzozo unaoendelea. Katika mji mkuu Antananarivo, hasira zimeenea hadi sekta ya afya, ambapo mamia ya...
  5. JamiiForums Tanzania Duniani kote, hakuna Rais aliyewahi kuongoza salama Jeshi lililogawanyika. Na Jeshi ni askari wa chini wenye uchungu na nchi yao na Wananchi

    Kwa wana CCM wote Kwa machawa wote Kwa Bi Samia na familia yake Ujumbe kwenu leo ni huu. Na Jeshi ni askari wa vyeo vya chini. Askari wanaojua na kuelewa vizuri maana ya Kiapo cha Kuwalinda Wananchi na kulifia Taifa.
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli watu wameuchukia utawala wa rais Samia kiasi cha kuombea mapinduzi?

    Watu wengi wanaamini kuwa yule ni Kapteni wa JWTZ. Alichokisema kwa ujumla ndio malalamiko ya watu kila siku mitaani. Ufisadi, famiilia za wanaCCM wachache kuiba na kutafuna mali za umma. Je, ni kweli watanzania wanahitaji mapinduzi ya kijeshi?
  7. JamiiForums Tanzania Tunisia: Mtu mmoja ahukumiwa kifo kwa kuchapisha maneno ya kumkosoa rais Facebook

    Raia mmoja wa Tunisia, Saber Chouchane (56), amehukumiwa adhabu ya kifo kwa kosa la kuchapisha kwenye mtandao wa Facebook, maneno yanayodaiwa kumkashifu Rais Kais Saied na kudhalilisha vyombo vya usalama. Hukumu hiyo ilitolewa jana Oktoba 3, 2025 na imekuwa gumzo nchini humo. Mawakili wa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Rai kwa Abdul, mtoto wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu

    Ndugu wajumbe. Nimekaa nikifikiria namna mambo yanavyoenda, nikafikia hitimisho kwamba Mtu pekee kwa sasa anayeweza kuikoa hii nchi na kumuokoa Mh. Rais Mama yetu Samia Suluhu Hassan ni Mtoto wake aitwaye Abdul. Hivyo nimemwandikia Rai Mh Abdul, aliye karibu naye tafadhali naomba amfikishie rai...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akoshwa Na Mapokezi Ya Maelfu ya Wana Manyara. Aahidi Kuwatumikia Kwa Uaminifu na Weledi wa Hali ya Juu.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amekoshwa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete Anampotosha Samia: Wakati Wake Alisimamia Demokrasia, Ajira na Kuepusha Mauaji

    Wanasemaga mchawi hatoki mbali au mchawi ni nduguyo Yaani Mstaafu wetu ndo amshauri Samia mambo ya ajabu kama haya 1. Wakati wa Kikwete Democrasia ila hai Leo anamshauri mwenzake apeleke wabunge wa Chama kimoja tu bungeni 2. Wakati wa Kikwete hapa kuwa na mauaji kama kipindi hiki. Watu...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa TAS Mollel: Tunaomba Rais Samia aongezewe muda

    Mwenyekiti wa Chama cha Watu wenye Ualbino Tanzania (TAS), Godson Mollel, amemsifu mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa namna alivyowajali watu wenye ulemavu katika kipindi cha karibu miaka mitano akiwa madarakani...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Sijaona maandamano ila nimemwona mwanaume mmoja amekuwa Rais

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Imekuwa ni kitu ya kujiridia sana sana mara kwa mara katika maono, nimekuwa nikiona kiongoz mpya nchini Tanzania Leo nimeona mwanaume mmoja ndo amekuwa rais na baada ya huyo kuwa rais sikuona tena maandamano SAYUNI BOY
  13. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwa nini Rais Samia hakupata mafunzo ya jkt kama walivyopata watu wa umri wake?

    Nimekua nikipitia profile ya Rais Samia mara kwa mara lkn hakuna sehemu nimewahi kuona kuwa Rais Samia aliwahi kupitia jkt kama ambavyo watu wa rika lake walifanya mfano Magufuli,Majaliwa na wengine wengi. Ilikuaje huyu mtu yeye akakwepa kwenda jkt halafu leo tumuite ni mzalendo na mpambanaji?
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Colombia, Gustavo Petro atoa wito Umoja wa Mataifa kuondolewa Marekani

    Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amekosoa vikali Marekani baada ya kufutiwa viza kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya vita vya Gaza. Gustavo alionekana mjini Newyork akiungana na waandamaji kupinga mauaji yanayofanywa na Israeli ,Pia amenukuliwa akikosoa Marekani na Israeli kwenye ushirika wao...
  15. JamiiForums Tanzania TBT: Dakika 20 za Rais Magufuli kwenye uzinduzi wa mradi wa mwendokasi

    https://youtu.be/WbWMoTr_I-U?feature=shared
  16. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa Malawi akubali kushindwa kabla ya matokeo rasmi kutangazwa

    Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, ameweka historia baada ya kukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa urais saa chache tu kabla ya Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo rasmi. Akihutubia taifa Septemba 24, 2025 Chakwera alisema: “Ni haki nikubali matokeo haya kwa heshima ya maamuzi ya wananchi na kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Alifeli akiwa makamu amefeli akiwa Rais bila aibu anataka kurudi tena

    Kuna kiongozi wa nchi moja alifeli sana kipindi akiwa makamu baada ya kuupata mithili ya tunda dodo lililoanguka chini mchangani, wala hakuwa na sifa wala vigezo isipokuwa tu gender balance na 'visiwani balance' sasa alifeli vibaya, kama zali akaula tena, sasa amenogewa na kujiona uwezo anao...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Je convoy ya Rais katika kampeni zake ina sanifu maisha ya mpiga kura?

    Wana jamvi Jana nimeona convoy ya mgombea urais tiketi ya CCM aisee ni kufuru tupu zaidi ya matoyota 500.Wakati wakazi kimara wanataabika na mwendo kasi kama wanyama .Hata mazao kama mihogo uwa ina pangwa vizuri kwenye gari..Ni Aibu
  19. JamiiForums Tanzania Napendekeza taifa litumie bendera kama taswira yake badala ya rais tena wengine mafisadi na machawa

    Ni mara nyingi nasikia watu wakisema eti rais ni alama na taswira ya nchi. Hii si haki wala sawa. Kwanini tusitumie bendera au nembo yetu wengine wachafu kiroho na kimwil Je wewe unaonaje na kusemaje? Nafikiri kimya kimya.
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Tamko La Rais Wa TLS Juu Ya Kitendo Cha Polisi Kuzunguka Ofisi Za TLS

    Wakili Mwabukusi ambaye pia ni Rais wa TLS (Chama cha Wanasheria Tanganyika), akizungumza na Wakili TV leo, amesema TLS inachukulia suala la polisi kuzunguka katika ofisi zao kwa uzito mkubwa sana. Amesisitiza pia kuwa TLS si wahalifu bali ni chombo cha kisheria kinachotekeleza majukumu yake kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…