rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Makala ya Tanzania itaongeza utalii

    Nimeshiriki kuandaa makala ya Tanzania itakayorushwa katika kipindi maarufu Duniani cha Royal Tour. Ni matarajio yangu kuwa makala hii itasaidia kuitangaza vizuri nchi yetu, kuinua utalii, kuvutia wafanyabiashara na wawekezaji na kuondoa upotoshaji wa makusudi kuhusu Tanzania.
  2. JamiiForums Tanzania Afghanistan: Rais wa zamani Ashraf Ghani aomba msamaha kwa kukimbia nchi

    Rais wa zamani wa Afghanistan Ashraf Ghani ameomba msamaha kwa watu wa Afghanistan baada ya kukimbilia katika nchi za Falme za Kiarabu. "Kuondoka Kabul ulikuwa uamuzi mgumu zaidi maishani mwangu," amesema, akiongeza kuwa anajuta kwamba "hakuweza kumaliza hilo kwa njia tofauti." Bwana Ghani...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa kwa Living With Michael Jackson Royal Tour ya Rais Samia yaweza kuwa na lengo baya kwa Tanzania

    Kwa mliofuatilia uandaaji na hatimaye kuoneshwa kwa makala maarufu ya Living With Michael Jackson mtakubaliana nami namna mwandishi mashuhuri Martin Bashiri alivyomrubuni, Mfalme wa Pop Duniani, Hayati Michael Jackson, kushiriki kwenye uandaaji wa makala kwa kumhakikishia kuwa makala hiyo...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Juhudi za Rais Xi kuhusu ushirikiano kwenye mapambano dhidi ya COVID-19 zazaa matunda

    Wiki chache zilizopita zimeshuhudia ongezeko la usambazaji wa chanjo za covid-19, hasa kwa nchi zinazoendelea. Foleni ndefu za watu wanaojipanga kupewa chanjo zinaendelea katika vituo vingi vya afya. Nchi za kipato cha chini, hasa kutoka barani Afrika, kwa miezi kadhaa zimekuwa katika hali ya...
  5. JamiiForums Tanzania Wimbo wa kumkashifu Rais Biden unavuma mno Marekani

    Wamarekani washamchoka huyu mzee 😂 😂 atafutiwe tu kitanda alale wimbo huu umebanwa sana kutojulikana ila kwa jinsi biden alivyochokwa, video inaenda views milioni licha ya kuimbwa na msanii mchanga Hapa ni baadhi ya wamarekani wakiimba kwa hisia kali
  6. N

    JamiiForums Tanzania Rais hajui kuzungumza na wananchi, ziara za njiani zisitishwe

    Naongea ukweli kutoka moyoni CCM mtanisamehe, Rais wetu hajui kuzungumza na raia barabarani, ni vyema ziara ya njiani zikanseliwe. Rais hatatui changamoto unasimama njiani unaanza kuwaambia kurekodi filamu na tozo hiyo haisadii, wala sisi hatukusimamishi ili utwambie mambo ya filamu, sisi...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia sasa unaturudisha kwenye tawala za machifu kweli, au ndo njia ya umaarufu wa kisiasa?

    Anachokifanya Rais Samia ni kuharibu amani ya nchi hii. Tumeishi bila ukabila lakini polepole tunarudishwa kwenye mtafaruku bila sababu. Tunalazimisha kutambua machifu bila sababu. Yaani viongozi wa kiukoo, kikabila Watu hawa wanastahili kuachiwa kabisa nje ya mfumo kama ambavyo imekuwa miaka...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Makamu wa Rais Philipo Mpango mtuongoze milele hapa Tanzania

    Rais Wetu Samia Makamu Philipo Mpango mtuongoze Milele hapa Tanzania Hiki ni kibwagizo cha wimbo wa kikundi cha ngoma na uimbaji cha Buyegu , kwenye tamasha la Utamaduni Mwanza. Kimenipa maswali mengi. 1. Kuna ujumbe tunaandaliwa kisaikolojia? 2. Wandaanji wa wimbo hawajui wanacho imba ama...
  9. JamiiForums Tanzania Magu, Mwanza: Rais Samia ashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania, atawazwa kuwa Chifu wa Machifu

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Septemba 8, 2021 atashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania lililoandaliwa na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) katika Viwanja vya Redcross - Magu, mkoani Mwanza. UPDATES - Katika Viwanja vya Redcross - Magu tukio linaendelea huku Machifu...
  10. JamiiForums Tanzania Ni jambo la kushangaza kwa Mkurugenzi aliyeiba mabati kuendelea kuwa ofisini hadi muda huu

    Mkurugenzi wa halmashauri ya gairo, bw Asajile Mwambambala aliyehusika katika wizi wa mabati zaidi ya 1100 mwaka huu mwezi wa saba alipaswa awe nje ya ofisi hadi muda huu. kwani kwa mujibu wa kanuni za maadili ya utumishi wa umma ni kosa kwa mtumishi yeyote wa serikali kujihusisha na wizi au...
  11. JamiiForums Tanzania Rais anatumia kodi zetu vibaya, Royal Tour yake haina faida ni Ufujaji wa pesa za Maskini

    Rais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu. Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo...
  12. JamiiForums Tanzania Tusimuachie Rais Samia jukumu la kuinua uchumi wa nchi, tushirikiane..

    Wadau wa Biashara na Uchumi, Nchi yetu inapitia kwenye hatua za makusudi za kuinua uchumi ulioathiriwa vibaya na corona. Tunatoa wito kwa kila mdau wa sekta yoyote, asimuachie jukumu hili kiongozi wa nchi pekee. Sisi tumeamua kuangalia upande wa sekta yetu ya usafirishaji. Tumeona namna...
  13. JamiiForums Tanzania Cheo kimoja kati ya Waziri Mkuu au Makamu wa Rais kifutwe

    Habari wandugu. Ukifuatilia nchi nyingi utaona kuwa zina mmoja, Waziri Mkuu au Makamu wa Rais na si wote. Na nchi nyingi zenye mawaziri wakuu ni zile za kifalme, wakati Jamhuri nyingi zina Makamu wa Rais. Na zingine zikiongozwa na waziri mkuu pekee, Rais akiwa ni ceremonial tu. Na hata...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mimi naona Rais Samia anadanganywa kuhusu takwimu za waliochanjwa!

    Kupitia ziara aliyoifanya Mh Raisi ya kutembelea mkoa wa Pwani hususani (W) ya Bagamoyo Baada ya kupewa nafasi ya kusalimia wananchi na kusema mahitaji ya Wana Bagamoyo, Mh Mbunge wa Jimbo hilo la Bagamoyo, Takwimu alizotoa Mh mbunge wa Bagamoyo bwana Mkenge ni za kupikwa, kwamba, (W) ya...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango?

    Ni muda kidogo huyu Makamu wetu wa Rais Dr. Philip Isdor Mpango hajasikika! Huyu ni Mchumi japo mimi binafsi sina imani na aina ya uchumi anaosimamia ( uchumi wa kijamaa). Inavyoonekana huyu Makamu wetu wa Rais Dr.Mpango ana mchango mkubwa sana katika kupatikana kwa mchumi mwingine katika...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia, The Royal Tour isiache maeneo haya...

    Amani iwe nawe Mama yangu! Kwanza napenda kukupongeza kwa hii creativity kubwa uliyokuja nayo ya kushiriki na kuiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia kupitia program maarufu ya “The Royal Tour” Program hii kwa ufahamu wangu imezinyanyua nchi nyingi sana katika sekta ya Utalii na Uwekezaji Mf...
  17. JamiiForums Tanzania Rais huwa hatangazi Utalii

    Kwa mara ya kwanza Dunia inaenda kushuhudia mkuu wa nchi, Rais akitangaza utalii. Rais anapoamua kutangaza utalii maana yake ni kwamba hilo Taifa analoongoza ni Taifa mfu, ni Taifa lililokufa, ni taifa jipya kabisa chini ya jua na halina raslimali zozote na wala kitu chochote, sasa inabidi atoke...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa mabilioni ya fedha sekta ya anga, elimu, mradi wa SGR na bwawa la kufua umeme la mwalimu Nyerere

    RAIS SAMIA ATOA MABILIONI YA FEDHA SEKTA YA ANGA, ELIMU, MRADI WA SGR NA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MWALIMU NYERERE. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan aendelea na utekelezaji wa ufunguaji na ukuzaji wa uchumi wa Tanzania kwa kutekekeleza miradi ya kimkakati kwa kasi...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Kilimanjaro kwa ajili ya kurekodi kipindi maalumu cha Royal Tour

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kuendelea kurekodi kipindi maarufu ya Royal Tour leo tarehe 05 Septemba, 2021.
  20. JamiiForums Tanzania Mbowe hawezi kushinda hii kesi. Rais Samia amsamehe bure

    Hii kesi ni kesi ambayo wanataka kujadili mambo madogo tu ambayo hayana umuhimu wowote kwa taifa. Ikumbukwe alikuwepo Magufuli ambaye alikuwa mpole sana kwa raia wanyonge lakini mkali sana kwa mafisadi, mkali sana kwa wapinzani. Tumeona mambo ya ovyo yaliyokuwa yanawafika wapinzani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…