rais

  1. JamiiForums Kauli ya Mo Dewji juu ya Rais Samia ni mtaji mkubwa kwa Tanzania

    Katika Qatar Economic Forum, moja kati ya wazungumzaji alikuwepo Mo Dewji, tajiri namba moja Tanzania na mbali ya hayo, ni moja kati ya hayo ni mtu ambaye amewekeza sana Tanzania na kutoa maelfu ya ajira kwa watanzania. Katika mazungumzo yake, alitoa kauli nzito sana na nzuri ambayo kama ni mtu...
  2. JamiiForums Faida ya ziara ya Rais Samia Suluhu nchini Oman

    Hati 4 za makubaliano zilizosainiwa baina ya Wizara za Tanzania na Oman 1. Ushirikiano katika masuala ya nishati ili kukuza taaluma na utaalamu 2. Ushirikiano katika Elimu ya Juu kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa wataalamu 3. Ushirikiano katika utalii kwa lengo la kuhamasisha uwekezaji na...
  3. M

    JamiiForums Sisi wengine Rais Samia sio mama yetu ni dada yetu

    Nilishangaa kijiweni kizee cha miaka 70+ kinasema mama sijui kafanyaje,nikasema huyu mzee ana bahati kuwa na mama umri huu kumbe alimaanisha Rais Samia. Pia Siku ile Sugu anatimiza miaka 30 ya muziki nikasikia Rais anasema we Sugu ni mwanangu, kiukweli Rais hawezi kumzaa Sugu. Sugu ana miaka...
  4. M

    JamiiForums Ikulu Dar: Kamati ya Uongozi ya ACT Wazalendo imefanya mazungumzo na Rais Samia

    Zitto kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika Kamati ya Uongozi Taifa ya ACT Wazalendo imekutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hatua zake za kukutana na viongozi wa Vyama mbalimbali vya siasa. Mazungumzo yetu yalihusu mabadiliko mbalimbali yanayokusudiwa nchini kwetu
  5. JamiiForums Je, Waziri Ndaki yupo tofuati na Rais kuhusu kusafirisha wanyama hai?

    Tukio linandelea Ikulu Kurugenzi ya Mawasiliano ikizungumzia mafanikio ya Rais kwenda Oman na mafanikio ya Royal Tour. Moja kati ya kitu ambacho Rais aliomba akiwa Oman ni Tanzania kuruhusiwa kusafirisha wanyama hai kwenda katika soko la Oman Leo, Ikulu Waziri Ndaki amesema tusijikite sana...
  6. M

    JamiiForums CHADEMA msilazimishe Mahakama kuingiliwa na Rais kisa mna husda na akina Mdee. Mahakama ni chombo huru

    Naona mnabwabwaja maneno hovyo kama vile mmekula chakula na kuvimbiwa. Mnabeua hovyo hovyo tu. Mnataka iweje? Rais aamuru Halima na wenzake wasiwe wabunge bila mahakama kufanya maamuzi? Kisa tu mnajua kuna huruma ilifanyika na akachomoka kesi la ugaidi? Maridhiano yenu na kulamba asali...
  7. J

    JamiiForums Mwaka mmoja wa Rais Samia na RC Kafulila ukusanyaji mapato Simiyu sasa ni mara tatu zaidi, maajabu ni Itilima kukusanya TZS 1.4BL

    Nilipokuja Simiyu kuanza kazi mwaka jana 2021 baada ya Rais Samia kuapishwa kuwa Rais wa JMT na kuniapisha kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu. Nilikuta halmashauri zina hali mbaya sana kwenye usimamizi wa mapato. Maswa ilikuwa imekusanya 39% ya lengo, leo imefika 120%. Mapato kwa miradi ya...
  8. S

    JamiiForums Rais Samia anafanya usanii wa demokrasia. Maridhiano ni janja tu ya kujisafisha kimataifa

    Nimefuatilia kauli na Matendo ya rais Samia nimejiridhisha kwamba siyo mpenda demokrasia kama anavyojinadi majukwaani. Amejigamba kwamba ana ngozi ngumu na kusema anaruhusu uhuru wa kusema, kukosoa na kujieleza. Kwa taarifa yako ndugu msomaji huyu mama hana ngozi ngumu kwa Mambo yasiyomuumiza...
  9. JamiiForums Umuhimu wa sensa kwa Rais Samia

    Kamisa wa sensa nchini, Anne Makinda amesema Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti, mwaka huu, itakapokamilika itaisaidia serikali na kumpa Rais Samia Suluhu Hassan picha halisi ya nchi anayoiongoza. Alisema hayo alipokuwa akizungumza na wakufunzi wa sensa wa ngazi ya taifa wanaoendelea...
  10. JamiiForums Mkurugenzi wa Halmashauri adaiwa kujiuzia Toyota Hilux mpya ya Halmashauri kwa Tsh Milioni 4

    Soma hapa:-
  11. JamiiForums Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maswali Mengi Majibu Machache

    Leo nimefuatilia mahojiano aliyoyafanya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman kupitia kipindi cha Clouds360 cha Clouds TV na nimbaki na maswali mengi kuliko majibu Othman Masoud Othman amewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kabla ya kung’olewa kwa kile kinachosemwa...
  12. JamiiForums Kwahiyo tusiilamu Serikali ila tumlaumu Rais Samia Suluhu Hassan au?

    "Wananchi waache kuwa na lawama kwa sababu serikali yao iko makini sana katika kufanya tathmini ni aina gani ya mkopo iingie nchi yetu na ina tija gani kwa maslahi ya Taifa letu,"- Naibu Waziri wa Fedha Hamad Chande. Chanzo: EastAfricaTV Kama kuna mwaka ambao Tanzania ( Taifa ) letu hili...
  13. JamiiForums Rais Samia amesema majibu ya Baraza la Wawakilishi yalimfanya aingie kwenye Siasa. Anayajua majibu ya mawaziri wake Bunge la JMT!

    Rais Samia amesema pamoja na kupewa ushauri na mama Anna Mkapa kuingia kwenye siasa, sababu iliyomfanya kuwania nafasi kwenye baraza la wawakilishi Zanzibar ambapo ndio safari yake ya kisiasa ilipoanzia ni kukerwa na majibu yaliyokuwa yanatolewa kwenye baraza hilo. Najiuliza anayajua majibu...
  14. JamiiForums Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote, Juni 27, 2022

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Sherehe ya Miaka 25 tangu kuanzishwa kwa Mfuko wa Fursa sawa kwa wote (Silver Jubilee of Equal Opportunities for All Trust Fund - EOTF ) katika Ukumbi wa JNICC - Dar es Salaam leo tarehe 27 Juni, 2022. Rais Samia ameanza kuzungumza, ameanza kwa...
  15. JamiiForums Rais Putin kufanya ziara ya nje ya Urusi kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa vita

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin anatarajiwa kufanya ziara katika nchi mbili ndogo za wiki hii, hiyo inatarajiwa kuwa ziara ya kwanza ya kiongozi huyo tangu kuibuka kwa vita ya Urusi dhidi ya Ukraine, Februari 24, 2022. Ziara hiyo inatarajiwa kuwa katika mataifa ya Tajikistan na Turkmenistan kisha...
  16. JamiiForums Kama Rais Samia akiamua kumchagua CDF mwanamke, nani anafaa?

    Inawezekana Rais kumchagua CDF mwanamke? Nani anafaa? Wapo wanawake gani kule ambao sasa hivi wana cheo? Ngome inaweza kumruhusu Rais amchague CDF mwanamke?
  17. JamiiForums Rais Samia this will haunt you for the rest of your life

    Kuwahamisha wamasai toka ardhi yao ya kurithi inaweza kuwa amri rahisi kabisa uliyowahi kuitoa ila jambo hili limeumiza wengi na litakuhusu kwa kipindi chako chote. Napenda nikuambie kwamba hili hukufanya sawa. Umekosea.
  18. JamiiForums Prof Shivji: Barua kwa Rais; Ardhi mali ya nani?

    Kwa heshima na taadhima pokea barua yangu nikikutumia kwa nia njema na katika kutekeleza wajibu wangu kama mwananchi na mwanazuoni kwa mujibu wa Ibara 26 ya Katiba “kuhakikisha hifadhi ya Katiba na sheria za nchi.” Awali ya yote nakutakia maisha marefu yenye afya njema na furaha tele ili...
  19. JamiiForums Kwahiyo kuna Serikali isiyokuwa na Rais? Serikali inaweza Kukopa bila idhini ya Rais? Hopeless Phd Holder wa Awamu ya Sita

    Wala usiumize kichwa kutaka kujua limekopwa lini, kwa sababu anayekopa si Rais, inakopeshwa serikali, mikopo yote ya nchi yetu haikopeshwi kwa awamu, kuna nchi ambazo zinakopa kwa awamu, lakini kabla hujamaliza awamu yako uwe umeshalipa".Waziri Nchemba. Chanzo: ITV Tanzania Yaani...
  20. JamiiForums Rais wa zamani wa Angola Dos Santos yupo mahututi hospitali

    Rais wa zamani wa Angola, Jose Eduardo Dos Santos yuko katika hali mahututi hospitalini Jijini Barcelona Nchini Hispania, licha ya kuwa ugonjwa unaomsumbua haujawekwa wazi. Dos Santos, 79, aliyekuwa madarani mwaka 1979-2017, amekuwa katika matibabu tangu 2019, inaelezwa kuwa afya yake imezidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…