rais

  1. H

    JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  2. JamiiForums Tanzania Live Rais Samia: Salaam za Mwaka Mpya

    Wanabodi Rais wa JMT, Samia Suluhu Hassan, yuko hewani live mubashara, kuhutubia taifa kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2026 https://www.youtube.com/live/nNvsNM8Esw8?si=PVpOlaVydbZ45elx Karibuni Na sababu leo ndio mwisho wa mwaka, hakuna ubaya na mimi nikiweka salaam zangu za...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za mwaka mpya wa 2026

    Katika mkesha wa mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba ya salamu za mwaka mpya wa 2026 kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet. Ifuatayo ni hotuba hiyo: Hamjambo! Wakati wa zamani umepita huku maisha yakifungua ukurasa mpya. Wakati mwaka mpya...
  4. JamiiForums Tanzania Swali kwa Rais Samia: Matamko Gani ya TEC yalivuka ukuta wa kikatiba unaopaswa kutenganisha mambo ya kidini na mambo ya kisiasa?

    Ludovick Joseph Lwezaura akitetea (1) kauli za Rais Samia dhidi ya matamko ya TEC, (2) barua ya mshtaka hewa dhidi ya Padre Kitima na (3) barua ya uzushi dhidi ya Askofu Riwaichi. Lwezaura amejitambulisha kwa waandishi wa habari kuwa ni mseminari aliyefika seminari kuu lakini akaukosa upadre...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aipongeza Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza

    Akitumia ukurasa wake wa X madam president ameandika Ninaipongeza timu yetu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu. Heshima hii kubwa kwetu ni matokeo ya maandalizi...
  6. JamiiForums Tanzania Haitatokea Rais shujaa kama Samia yupo imara katikati ya vita vikali vya uchumi duniani

    Unahitaji Rais bold kupambana katika nyakati hizi za vita kali za kiuchumi duniani ikiongozwa na ile vita ya UKRAINE. Serikali nyingi zimeangushwa kama after effect ya vita kali ya kugombea rasilimali huko UKRAINE. Ukiwa na jicho la kingwini basi huwezi kutambua ni namna gani vita inayoitwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Haya ni maajabu!! Rais anashinda ndani kama utumbo?!!

    Amejawa na hofu, na anamuona kila mtu ni adui kwake. Ametenda uovu mzito kiasi kwamba siyo tu anawaogopa watu, bali mpk leso yake inamtisha. Ni rahisi kumfitinisha hata na watoto wake. Kama mnabisha, mtumieni Wanu au Abdul SMS yenye maneno "tuletee hata leso yake". Ujumbe huu tu ukionekana...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Padri Kitima Anachuki Na Serikali, Anachuki Na Rais Samia Au Chuki Na Uislamu?!

    Anaandika Aloyse Nyanda Mtozi kupitia ukurasa wake wa Instagram: Je Fr Kitima anachuki na serikali au ana chuki na Rais Samia au anachuki na Uislamu? Jibu ni HAPANA ila ukweli ni kwamba Kitima mbali na kuwa ni mlezi wa wengi pia ni Mwalimu wa Human rights alifundisha vijana chuo Kikuu na...
  9. JamiiForums Tanzania Kikwete ndiye Rais bora zaidi tangu Tanganyika ipate uhuru

    Rais mstaafu wa awamu ya nne ndugu Jakaya Kikwete ndiye rais bora zaidi kwa hapa nchini kuliko marais wote waliopita na huyu aliyejipa urais kinguvu Kipindi cha Kikwete maisha yalikuwa poa sana na wengi walitoboa kipindi chake. Japo ufisadi ulikuwa mkubwa, watumishi hewa lakini pesa mtaani...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ràis kubali ulikosea, tubu omba msamaha

    Mea Culpa Mea culpa” originates from a prayer of confession in the Catholic Church, but it's now used in a more general sense to admit that something was your fault or to refer to a formal acknowledgment of wrongdoing Kubali ulikosea, tubu, omba msamaha " labda maisha yataendele". Nasema...
  11. JamiiForums Tanzania Mimi Ponjoro wa Kinondoni simtambui rais wala Serikali

    Kwakifupi nimekaa hapa nasubiri uchaguzi mkuu. Ujumbe: Ile digidigi itoke huko ilipojificha tule nyama.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Boxing day iende kwa Rais Samia Suluhu

    Boxing day leo siku ya zawadi sisi wakristo wakatoliki wa huku Kilimanjaro tuna idedicate kwa gamer changer,kipenzi cha waTanzania,mpenda haki na mbeba maono kwa waTanzania Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutupambania sisi waTanzania hadi tone la mwisho ili kuifanya Tanzania kuwa big country in the...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sisi wakatoliki wa Rombo pure tupo tunamuombea Baraka na heri Rais wetu Samia

    Jana kwenye mkesha wa krismasi hapa kwetu wilayani Rombo tulikuwa bize na mkesha wa krismasi moja ya vitu ukiachana na mkesha huo wa krismasi tulikuwa tunamuombea Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan kusema ukweli Rais samia sisi huku wachaga wakatoliki pure Tunakupenda na tutaendelea...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea Tanzania

    Rais Samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea katika nchi hii huyu ndiyo mimi namuweka namba moja kiukweli kwa haya mambo ambayo amefanya kwa muda mchache sana mambo yameonekana kiukweli Rais Samia ameweza kuunganisha au kuleta umoja wa kitaifa kati ya waislamu na wakristo lakini pia ameweza kuleta...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaotumihiwa kuiba Bil mbil Tamesa wanafutwa kazi na kupelekwa Mahakamani. Angela Kiziga yupo Ikulu akimsadia rais Samia Kazi

    Watanzania wakiingia mitaani na kuandamana kuwa huu utawala haufaina utakiwa kuondolewa kwa nguvu za umma Wanatumia majeshi kuwamaliza. Mtu kama Angela Kiziga alifanya ufisadi ambao ni ni dharau na kebehi kwa walipa kodi. Lakini leo hii ni miongoni mwa WanaCCM ambao ambao wapo karibu na...
  16. JamiiForums Tanzania Tukitukana mnasema tuna matusi. Jitu limeiba 2.5b, tume ya Rais ilishachunguza ikampa ripoti, halafu Rais anakuita wazi

    Hivi kufungiwa kwa jizi lililokuwa linaiba nauliza za vivuko, linaiba Hela ya matengenezo, ya vivuko, kila siku linaelekeza vivuko vialubiwe Ili liombe malipo hewa Bado tuna liacha Muda wote tangu litumbuliwe limekaa nyumbani linamgegeda mkewe mpaka waziri mkuu mwigulu ulipoitwa na Raisi...
  17. JamiiForums Tanzania Watajeni wote waliotekwa au kuuawa Enzi Nyerere akiwa Rais

    Mara kadhaa nimekuwa nikisikia baadhi ya watu wakisema kuwa enzi za Mwalimu Nyerere akiwa Rais watu "wengi" Sana waliuawa au kupotezwa. Sasa kabla ya waliofanya kazi na Nyerere wote kufa, ni Bora watu wanaowafahamu waliouawa zama Julius Nyerere alipokuwa Rais wa nchi yetu, wawataje watu hao...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Anapaswa Kuwa Mtu Mwenye Maono Makubwa na Upeo Mkubwa Kiakili

    Samia Suluhu Hassan hana sifa hizo ndiyomaana anapambana kuua watu wenye upeo mkubwa wa akili wanaomwambia ukweli. "Ni hatari sana kuwa sahihi wakati serikali inakosea" Maxence Melo.
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Akibeba Mimba Itakuwaje?

    Je maamuzi yake yatatekelezwa hata kama ni matokeo ya mimba? Je ataacha madaraka kamili kwa makamu wake?
  20. JamiiForums Tanzania Nilipomuona Jaji Warioba amepiga picha na Rais MIKONO yake ikiwa nyuma ya makalio yake, nilitoa tafsiri, Je mlinielewa?

    Sina miaka mingi ya KUZALIWA, ila NIMEYAONA MENGI kidogo Je wewe msomaji ulisoma Uzi WA tafsiri yangu ya picha ya Samia na warioba, uku warioba akiwa ameweka MIKONO yake kwenye makalio yake? Kama uliusoma utaunganisha na mahojiano aliyoyafanya na Jamhuri tv, utabaini.yakuwa nilikuwa sawa sawia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…