rais

  1. N

    JamiiForums Tanzania Juhudi hizi za Rais Samia katika kilimo ni neema kwetu

    Je wajua? 60% ya watanzania wameajiriwa katika sekta ya kilimo. UMWAGILIAJI Kuanzia msimu ujao wa kilimo, Serikali chini ya Rais Samia kuwajengea Wakulima wa zao la chai wa mikoa yote mabwawa makubwa ili waanze kulima zao hilo kwa njia ya umwagiliaji ili kuongeza tija na uzalishaji.Tanzania ina...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali: Agosti 23, 2022 ni siku ya mapumziko

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameridhia Agosti 23, 2022 kuwa siku ya mapumziko. Lengo ni kufanikisha zoezi la sensa linalotarajiwa kuanza siku hiyo kwa kuwapokea makarani wa sensa na kutoa maelezo sahihi. Hivi karibuni Kamisaa...
  3. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Upinzani kuwasilisha ombi la kutokuwa na imani na Rais Ramaphosa

    Vyama vya Upinzani nchini humo vimesema kuwa vitawasilisha ombi la kutokuwa na imani na Rais Cyril Ramaphosa kutokana na tuhuma za Utekaji Nyara na Utakatishaji Fedha. Madai hayo yametolewa na Mkuu wa zamani wa Ujasusi Arthur Fraser, ambaye amedai kuwa Rais alificha takriban Tsh. Bilioni 9.3...
  4. JamiiForums Tanzania Zambia: Rais Hakainde Hichilema awataka Watumishi wa Serikali wanaotaka VX wajinunulie kwa pesa zao

    Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewataka Watumishi wa Serikali wanaotaka wapewe magari ya kifahari aina ya Toyota Land Cruiser VX kwa ajili ya kuyatumia kwenye kazi wasahau hilo na kama wanaona yana umuhimu sana basi wajinunulie wao lakini sio kwa pesa za Serikali. Hichilema amehoji “Kwanini...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali iwaangalie Walimu wanaojitolea iwasaidie hata kwa chochote

    Kuna Walimu wanamiaka miwili wengine zaidi wanajitolea kwenye shule za umma, wamepewa mpaka vipindi kabisa na wanafanya kazi hawana tofauti na waajiriwa.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Shaka atumia Kijiwe cha Kahawa Tabora kuelezea Mwelekeo wa Rais katika Kilimo

    SHAKA ATUMIA KIJIWE CHA KAHAWA TABORA KUELEZA MWELEKEO WA RAIS KATIKA KILIMO KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa, (NEC) ya CCM, tikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ametembelea kijiwe cha Kahawa Lumumba kilichopo Tabora Mjini na kunywa kahawa na wananchi na kutumia fursa hiyo kuelezea hatua...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ulinzi wa Ruto wabadilishwa baada ya kuchaguliwa kuwa Rais Mteule

    Kitengo cha ulinzi kinachomlinda Rais Mteule wa Kenya, Dkt. William Ruto kimeimarishwa tangu alipotangazwa kuwa mshindi katika Uchaguzi Mkuu wa Urais, Agosti 15, 2022. Kitengo cha Ulinzi cha General Service Unit (GSU) kimeweka walinzi katika nyumba ya Ruto iliyopo Jijini Nairobi na nyingine ya...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanzo wa uasi wa Mlima Kenya dhidi ya Rais Kenyatta

    Rais Uhuru Kenyatta alipowasihi wafuasi wake wa Mlima Kenya mwaka wa 2013 kumkumbatia William Ruto kama mrithi wake anayetarajiwa, alikuwa ameweka agano bila kujua hangeweza kulivunja. Wakaazi wa Mlima Kenya walikuwa wamedhamiria sana kumuona Dk Ruto akichukua mamlaka mwaka wa 2022 hivi kwamba...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Mkutano wa 42 wa Wakuu wa Nchi wa SADC (DRC) leo Agosti 17, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa 42 wa Wakuu wa Nchi wa SADC Nchini DRC leo tarehe 17 Agosti, 2022.
  10. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais akikabidhi magari katika Mradi wa Kukuza Utalii (REGROW), Agosti 17, 2022

    Makamu wa Rais ameshiriki wa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Magari maalum yatakayotumika katika kuboresha Miundombinu ya Utalii yaliotolewa na Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) Mikumi mkoani Morogoro, leo Agosti 17, 2022
  11. JamiiForums Tanzania Rais Joe Biden asaini Mswada wa Bilioni 700$ kuboresha Afya, Kodi na Tabia Nchi

    Rais wa Marekani Joe Biden ametia saini mswada wa Dola Bilioni 700 ambao unalenga kupambana na Mabadiliko ya #TabiaNchi na gharama za #Afya huku akipandisha kodi kwa matajiri. Sheria hiyo inajumuisha utekelezaji wa ahadi za miaka kadhaa za Bunge ili kupunguza Bei ya Dawa zinazoagizwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa Marekani akutwa na COVID-19

    Ikulu ya Marekani imesema Jill Biden, Mke wa Rais wa Marekani Jill Biden amepimwa na kukutwa na maambukizi ya COVID-19. Taarifa ya Elizabeth Alexander, Mkurugenzi wa Mawasiliano kutoka ofisi ya Mke wa Rais imesema Jill Biden anakabiliwa na home kidogo na ameanza kutumia dawa ya Paxlovid...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Ajali za barabarani zimezidi kupoteza Maisha ya Watanzania. Hatua madhubuti zichukuliwe kudhibiti

    Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan naomba kukuomba uchukue hatua madhubuti na za makusudi katika kudhibiti ajali za barabarani hapa nchini kwani zimekuwa zikigharimu Maisha ya watanzania. Leo Mbeya, Sengerema , juzi juzi hapa watoto wa shule huko Mtwara...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Chebukati anafaa kuwa Rais wa Kenya

    Dr. Chibukati kwa namna ya uongozi alioonyesha IEBC anastahili kuongoza taifa kubwa zaidi kiuchumi Afrika Mashariki. Ikiwezekana uchaguzi wa marudio awemo ili iwe rahisi kutangaza kwa uwazi bila tashwishwi! SWALI: Familia yake inaishi nchi gani kwa sasa?
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa Usalama warejeshwa nyumbani kwa Rais Mteule Ruto

    Mwaka mmoja baada ya Maafisa wa Idara ya Usalama kuondolewa kwenye makazi ya aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto na nafasi yake kuchukuliwa na Maafisa wa Polisi wa Utawala, leo wamerejeshwa rasmi. Kwa mujibu wa sheria ya ulinzi wa viongozi, Rais Mteule William Ruto anapewa ulinzi wa maafisa 200...
  16. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwa Rais Mteule Ruto na Hayati Rais Magufuli, kwa Mungu kila kitu kinawezekana

    Ninajua machache juu ya Rais Mteule Ruto juu ya Imani yake kwa Mungu lakini kwa uchache huo yatosha kusema Ruto NI muumini wa Mungu wa kweli Kama alivyokuwa Hayati Magufuli. Nakumbuka Hayati Magufuli aliwahi kukiri ni Mkapa ndie aliyemshawishi kugombea Urais na Magufuli alipoonesha kutaka...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kilimo biashara, dhana ya kimapinduzi ya Rais Samia yenye tija kubwa

    Serikali kupitia Benki ya kilimo Tanzania Agricultural Development Bank (TADB) imeweza kuwa mdau mkubwa kuwezesha mabenki kutoa mikopo kwa wakulima kutoka Benki mbili zinazotoa mikopo kwa wakulima hivi sasa kufikia 14. BAJETI YA KILIMO Serikali imeweza kuongeza bajeti ya huduma za Ugani kutoka...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mifugo kubishana hadharani na Rais ni utovu wa nidhamu

    Tumeshuhudia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki akipinga hadharani maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyeagiza vitalu vya NARCO vifutwe na kupewa vijana wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo SUA ili kutengeza fursa za ajira kupitia ufugaji Mambo ambayo Waziri alipaswa kuyafanya ni mawili...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tutumie sarafu za mtandaoni Cryptocurrency au Tutumie sarafu moja ya jumuiya ya Afrika Mashariki?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la Benki Kuu ya Tanzania jijini Mwanza, aliitaka Tanzania kujiandaa na matumizi ya sarafu za mtandaoni au Cryptocurrency. Ambapo alitoa wito kwa Benki kuu ni vema waanze kufanya kazi za maendeleo...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia aondoka Nchini kwenda DR Congo leo Agosti 16, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Dar es Salaam wakati akielekea Jamhuri ya Kidemokraisa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…