rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ruhusu watu wanywe bia 24/7 ukuze uchumi

    Mama, kabla ya 2015 watu walikuwa wanakunywa bia masaa yote. Pombe ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya mapato vya nchi yetu pendwa. Pombe inanywewa wakati wote, wakati wa misiba na wakati wa harusi, wakati wa furaha na wakati wa huzuni. Pombe ni kiburudisho baada ya kazi. Kuna kazi mbalimbali...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amevipa vijiji kipaumbele katika utekelezaji wa miradi ya umeme

    Serikali ya Rais Samia Suluhu inatekeleza miradi mikubwa mitatu ya kupeleka umeme zaidi vijijini miradi ambayo itagusa sekta ya kilimo, afya, maji, viwanda vidogo na madini. Ukamilishaji wa miradi hii ni December mwaka huu
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameamua kuwasikiliza Simba suala la utalii kupitia michezo

    Hivi majuzi kulikuwa na mjadala mkubwa uliohusiana na uamuzi wa Simba kuvaa jezi za "Visit Tanzania" na wakati huo huo Yanga kukataa kuvaa nembo hiyo badala yake wakaingia mkataba na kampuni ya Haier. Huu mjadala ulijikita zaidi katika kuuliza ni maslahi gani Simba wanapata kwa kutangaza nchi...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kazi hadi nahemewa

    Watanzania wanapaswa kuendelea kumuunga mkono Rais Samia Suluhu, kwani amekuwa akifanya kazi kubwa ya kutekeleza Dira ya Nchi ya maendeleo kwa watu wa matabaka yote nchini. Aliwahi kusema "Tanzania inajengwa kama nyumba, kila awamu inaongeza tofali, ikiingia awamu nyingine ukiona tofali...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tunarudi kwenye enzi za mabosi wa Mashirika ya Umma kujaza watu wa makabila yao. Tiketi aliyotoa Rais inaenda kupiga mchujo wa kikabila kwenye ajira

    Niseme tu Mama ameshauriwa vibaya katika hili la leo kuruhusu mabosi wa kila shirika kuajiri badala ya kuwa na utaratibu uliopo wa chombo kimoja kusimamia ajira za mashirika yote. Ikumbukwe wazo la chombo kimoja kusimamia ajira lilikuja baada ya upendeleo uliokuwepo wa wazi wazi katika ajira...
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya TAMISEMI ni “Empire" ya vigogo. Mfumo wa kujuana umeota mizizi

    Unashangaa mwalimu wa Voda fasta amekuwa Afisa Elimu. Haya ni maajabu na uabunuasi. Unamuacha mwalimu mwenye sifa zake za muda mrefu unamchukua Voda fasta? Mwl amewekwa kama daraja bovu wakubwa wapite na watu(ndg) zao hii sio sawa. Ukifuatilia utagundua maafisa Elimu na vitengo vyao hawana "A"...
  7. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

    Kuna tetesi nasikia kuwa mdude Chadema amekamatwa muda huu anaelekea kwa RCO! Mdude chadema sumu ya nyigu ---- Polisi Mkoani Mbeya wamemchukua @mdudechadematz Muda huu Akiwa Soko la Kabwe, Askari walimpigia Simu Kama Raia wakihitaji Kununua Vitabu vyake, baada ya Kukutana nao wamemkamata...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa hili la kuruhusu Mashirika ya Umma kuajiri nakupa pongezi sana

    “Kuna mashirika ambayo wenyewe wangehitaji ajira za harakaharaka lakini unaambiwa subiri Tume ya Utumishi ikae, subiri sijui utumishi ifanyeje mwaka mzima taasisi kwa mfano TRA inataka watu wakakusanye mapato mwaka mzima watu hawajapatikana, vivyo hivyo TANESCO, REA wanataka watu utumishi paka...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunatarajia kuzalisha MW 5,000 mwaka 2025

    Leo katika hafla ya utiaji saini mikataba yenye thamani ya shilingi Trilioni 1.9 ya kuongeza usambazaji wa umeme kwa wananchi na maeneo ya kimkakati. Waziri wa Nishati January Makamba alisema Serikali inamkakati wa kuongeza uzalishaji umeme "Tunaposema tunazalisha umeme wa Megawati 1,700 na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere kujaribiwa mwakani

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ameshuhudia utiaji saini wa mikataba ya kuimarisha Gridi ya Taifa na usambazaji wa umeme Vijijini iliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Februari, 2023. Kwenye hotuba yake Rais Samia anasema wakati anakabidhiwa madaraka jambo lililokua linamuumiza kichwa ni...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wakati nakabidhiwa nchi, Bwawa la Nyerere na SGR viliniumiza kichwa

    Rais Samia amesema wakati anakabidhiwa dhamana ya kuongoza nchi, mradi wa bwawa la Nyerere na SGR vilimuumiza kichwa kwa pesa zilizokuwa zinahitajika lakini sasa anazo pesa mpaka za kuifikisha Kigoma. Pia Rais Samia ameahidi umeme kutoka bwawani mapema mwakani. "Kila nikiangalia mapesa...
  12. JamiiForums Tanzania Huko tuendako kila Rais nchini Tanzania atakuwa ni "Daktari" atake asitake

    Ndio mwelekeo wa Taifa letu. Nyerere, Mwinyi na Mkapa ndio marais pekee watakaobaki bila kupenda kuwa addressed kama Dr. Njaa ni kali sana na unga hautoshi kila mtu anapambana kujipendekeza.
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa miradi mahsusi ya umeme. Vijiji vyote Bara kufikiwa umeme mwishoni mwa 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishudia Utiaji Saini wa Mikataba ya Utekelezaji wa Miradi Mahsusi ya Umeme leo tarehe 14 Februari, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini REA, Hassan Said anazungumza Mikataba 14 ya Wakala wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mahakama yakamata Nyumba na Yacht, mali za Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea

    Nyumba 2 na Jahazi (Super Yacht) 1, mali za Teodoro Nguema Obiang zimewekwa chini ya Ulinzi kwa agizo la Mahakama baada ya Mfanyabiashara Daniel Janse Van Rensburg kudai Kiongozi huyo alimkamata kinyume cha Sheria na kumtesa. Mfanyabiashara huyo anataka kulipwa fidia ya Tsh. Bilioni 5.1...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ondoa hiki kikokotoo kinawaumiza wastaafu

    Mheshimiwa Rais. Nakuandikia waraka maalum juu ya hali ya mfanyakazi, hususan anayestaafu. Nataka nikueleze kuwa, hiki kikotowo ulichokiweka hakina masilahi kwa mfanyakazi anayestaafu. Kiufupi ni dhuluma ya wazi. Hali ya maisha imekuwa ngumu, gharama za maisha zinazidi kupanda. Kiufupi , hii...
  16. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Rais Samia, tuondolee huyu RC Amos Makalla mkoa wa Dar es Salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla, amesema wahalifu wanaodaiwa kuwa Panyarodi waliovamia maeneo ya Bunju sio wakazi wa mkoa huo, kwani kazi ya kuwashughulikia wahalifu hao ilishaimaliza. Wahalifu hao wakiwa kundi la watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya wanane, walifika kwenye mtaa makazi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango mkoa w Kagera

    Makala haya yanahusu ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango alioifanya Mkoa wa Kagera. Makamu wa Rais alifungua Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Nyumba NHC, alitembelea Shamba la Miti Rubare, maporomoko ya maji ya Kyamunene alishiriki Ibada...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali inaanda mpango wa kuwakopesha vijana wa vyuo vikuu pale wanapohitimu masomo ili kuwasaidia katika kujiajiri

    Serikali ya awamu ya sita ya Rais Samia inaanda mpango wa kuwakopesha vijana wa vyuo vikuu pale wanapohitimu masomo ili kuwasaidia katika kujiajiri.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia imekiheshimisha kilimo na wakulima

    Ndugu zangu watanzania, Rais Samia Ambaye kwa Sasa anatajwa Kama kiongozi aliyeituliza Jumuiya ya Afrika mashariki,Na ambaye wananchi wa Jumuiya na ukanda huu wanatamani nchi zote za Jumuiya ziungane na kumchangua mama Samia kuwa Rais wa shirikisho, Ni Rais ambaye amekuwa wa kuigwa na viongozi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ni viashiria gani (social Indicators) ambavyo vinaonesha kuwa mtawala fulani nchi imemshinda?

    Naomba mnipe indicators ambazo mtu anaweza kuzitumia kuonesha kuwa Rais fulani/mtawala fulani/serikali fulani imeshindwa kutawala....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…