Kabuni amesema anmshukuru sana rais samia kwani amekuwa mfariji mkuu wa Taifa wakati anafungua bunge kwa kulilia maisha ya watanzania ambao wamefiki "Bila hatia"
Pamoja na kumsifia Mwigulu akisema ni mara tatu hii anamsikia akiongea kilio cha maisha ya watanzania walioondoka "ambao hawana...
Samia alipata nafasi ya kuonesha maono yake na watanzania na dunia ili muamini na kushangilia, lakini kutokana na kile ninachokiita "uwezo mdogo" alishindwa kujenga misingi ya kukubalika.
Samia angeweza kuwashinda wakina lissu, kwanini lissu akubalike lakini samia asikubalike, hapana samia...
Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia
Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi
1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani
2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha
3. Taasisi na wahisani wa kimataifa...
Kama katiba yetu ingekuwa hairuhusu makamu wa rais kuchukua madaraka baada ya kifo cha rais, tusingekuwa kwenye balaa hili linalotusumbua sasa hadi kupoteza maisha ya watu wetu wasio na hatia. Wala tusingekuwa na rais pandikizi ambaye hatukumchagua. Tusingekuwa na utawala usiojua unachopaswa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu leo Novemba 22, 2025 amewatunuku kamisheni maofisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.
Rais Samia amewatunuku maofisa hao katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (TMA) kilichopo Monduli mkoani Arusha. Ambapo maofisa hao ni...
Alipokuwa kuwa anafanya ziara za kunadi ilani ya chama chenu . Nasema ziara maana zilikuwa sio kampeni mlimdanganya na kula pesa za chama chenu bure.
Mlisomba watu kwa malori, matrekta , mabasi na semitela ili kujaza watu kwenye ziara zake. Lakini kumbe watu hawamtaki.
Nasema kuwa mna dhambi...
Katika hotuba zote za hivi jaribuni, Samia Suluhu Hassan,ambaye ni Rais aliyechaguliwa kwenye Uchaguzi uliogubikwa na sintofahamu nyingi, na kutokea MAUAJI makubwa ya Watanzania ameonekana kutoa kauli za kujierka pembeni katika makosa makubwa yaliyotokea.
Kama mtuhumiwa namba moja wa ukiukwaji...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa na ziara ya Kikazi ya siku mbili Mkoani Arusha kuanzia Novemba 21-22, 2025, akitarajiwa kuwa Mgeni rasmi kwenye sherehe za kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ kwenye Chuo cha...
Yaani wenzako wanasema mchezo huu hauko fair mabadiliko yafanyike, Mwamuzi, Linesmen, Wasimamizi na wadau wote wameteuliwa na timu mojawapo, Unakataa, Unawaua na kutumia Nguvu kubwa kuwadhibiti, Baada ya ushindi wa Damu unarudi kuuliza shida iko wapi? Are you serious? Shida ni wewe! Waliofanya...
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tume ya uchunguzi ya Jaji Chande ndiyo itakayoleta ajenda ya tume ya Maridhiano.
Pia Soma: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025
Leo Novemba 20, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani katika uzinduzi wa tume huru ya uchunguzi wa vurugu za uvunjifu wa amani uliojitokeza siku ya uchaguzi mku Oktoba 29, 2025 ameeleza kuwa walioingia barabarani na kudai haki walikuwa wamelipwa na NGO za ndani na za...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 20, 2025 akizindua Tume Huru ya Kufanya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjiifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, Ikulu Chamwino, Dodoma, ametoa ufafanuzi kuwa Mamlaka ya kuunda tume hiyo...
Nchi hii, pamoja na mapungufu mengi, hatujawahi kuwa na ugomvi au uhasama wa kidini. Ndiyo maana kuna watu utasikia anaitwa Abel Abdalah, wengine utamsikia akiitwa Petro mume wake Khadija, au Abdallah mumewe Rozaria. Nilipoenda kumtembelea rafiki yangu bruda Peramiho, nilishuhudia shekhe...
Kumbe adabu inaweza kuletwa kabisa,
Nitafutie nyuzi Tano (5) au Press Za watu wa 5 machawa tofauti tofauti ambazo wamezungumza hivi karibuni after kile kitimu timu cha Mo29 halaf nionyeshe kama wanaita tena lile jina la Mama, Mama, Mama.
Jana tu Masheikh wamesema sana ila Title iliyokua...
Ni dhahiri watanzania kwa sasa ni yatima ni wapweke hawana msaizidizi wa kuwasemea wala kuwasaidia ni bora tujipambanie wenyewe maana sisi ndio wakazi wa nchi hii ni yetu hii wengine hao wanajiandalia makazi nje ya nchi hivyo hata wakiharibu hawajali
19 November 2025
Lusaka, Zambia
Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi awasili Zambia
Kushiriki utiaji saini wa makubaliano ya ufufuaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania – Zambia (TAZARA)
Makamu wa Rais wa Tanzania, John Nchimbi, amewasili nchini Zambia kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
Vyombo vya...
Kuna watu wamejaliwa kipaji Cha utambuzi kwa kutumia jicho la tatu katika kufahamu nia na dhumuni la mtu wakati anapozungumza au anapotenda na kipaji hiki mara nyingi unakuwa ni uwezo wa ndani alionao mtu na mara nyingine mwenye uwezo wa namna hii anapoyasema ya namna hii anaonekana ni kichaa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 amesema kuwa Uchaguzi wa Rais Samia ni matusi kwa watanzania akilinganisha na chaguzi zilizopita 2015 kati ya Hayati Rais John Pombe Magufuli na Hayati edward Lowassa na chaguzi ya 2020...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 ameituhumu Serikali iliyopo madarakani ya Rais Samia kuwa ndio iliyo ratibu na kuasisi Mauaji, utekaji na ubakaji kwa matukio yaliyotokea na yanayotokea nchini