rais wa zanzibar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Agent-47

    Kwanini Rais wa Zanzibar hayupo kwenye list ya ICC?

    Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar, rais wa Zanzibar ndiye amir jeshi mkuu wa vyombo vya usalama Zanzibar. Ndiye mwenye mamlaka kwa vyombo hivi. Ndio maana vyombo vinampigia Mwinyi mizinga na siyo Samia. Kwa maana hiyo, rais wa Zanzibar ndiye aliyetoa order ya vyombo vya Zanzibar, KMKM kuja bara...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi atangaza baraza jipya la Mawaziri. Wizara zikiongezeka kutoka 18 hadi 20

    Rais wa Zanzibar, Dokta Hussein Ali Mwinyi, leo ametangaza Baraza jipya la Mawaziri lenye sura ya mabadiliko na uwiano wa kisiasa, akiongeza idadi ya wizara hizo kutoka 18 hadi 20. Katika orodha ya walioteuliwa, wizara nyeti kama Fedha na Mipango sasa itaongozwa na Dokta Juma Maliki Akil...
  3. Just Pray

    PostGE2025 Rais Dkt. Mwinyi amteua Hemed Abdulla kuwa makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua tena Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kuwa MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR. Uteuzi huo unaanza tarehe 06 Novemba, 2025. Mheshimiwa Makamu wa Pili wa Rais ataapishwa...
  4. Waufukweni

    KUMBUKIZI | Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi: Nampenda anayenikosoa zaidi. Wanaosifia wanamaslahi binafsi

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, nampenda anayenikosoa zaidi. Wanaosifia wanamaslahi binafsi.
  5. L

    Hamad Masauni atakuwa Rais wa Zanzibar baada ya Dkt Husseni Mwinyi kumaliza muda wake 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeota Na kuonyeshwa Ndotoni ya Kuwa Mheshimiwa Hamad Masauni ndiye atakaye Pokea Kijiti cha Urais Kutoka kwa Mheshimiwa Dkt Husseni Mwinyi atakapokuwa anamaliza muda wake Mwaka 2030. Ambapo nililetewa kikaratasi na kufunguliwa kisha kuonekana Jina la Hamad Masauni...
  6. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar: Ni aibu mwanamke kuteswa chini ya utawala wa Rais mwanamke

    Mwenyekiti wa @ACTwazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ndugu Othman Masoud Othman (OMO) amesema kuwa “Kama tunataka mageuzi katika nchi hii hatuwezi kukaa kitako tukafunga mikono tukasema kwamba mageuzi yatakuja, hawako huko watu kwenda Mahakamani tu kwenda kusikiliza...
  7. Mganguzi

    Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

    Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
  8. Ojuolegbha

    Mke wa Rais wa Zanzibar akutana na Mke wa Rais wa Msumbiji Zanzibar

    Mke wa Rais wa Zanzibar akutana na Mke wa Rais wa Msumbiji Zanzibar Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya ZANZIBAR MAISHA BORA FOUNDATION (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi, amekutana na kuzungumza na Mke wa Rais wa Msumbiji, Mama Gueta Selemane Chapo, aliyetembelea...
  9. REJESHO HURU

    Sikukuu ilikuwa April 21, Mh Rais akatoa agizo kuwa mishahara ilipwe kuanzia April 14 2023 na ikawezekana vipi Pasaka mwaka huu, wamelipwa?

    Mwaka 2023 uko Zanzibar Mh Rais alitoa agizo mishahara ilipwe kuanzia April 14 Ili sikuu ya Eid watu wawe na pesa na kuweza furahia sikuu kwani sikuu ilikuwa April 21, 2023 na ikawezekana wakalipwa Je mwaka huu pasaka inadondokea tarehe 20 je wamelipwa
  10. Just Pray

    Mkamu wa pili wa rais wa Zanzibar awahimiza wananchi kufanya mazoezi

    Mkamu wa pili wa rais wa Zanzibar Hemed Seleiman Abdulla amewahima wananchi mbalimbali kuhakikisha wanafanya mazoezi kila mara. Hemed Ameyasema hayo katika Uzinduzi wa matembezi ya upimaji wa afya pamoja na ugawaji wa miwani bure Yalioanza kiembe samaki na Kumalizikia katika viwanja vya maisara...
  11. Hismastersvoice

    Radio One Sterio, habari za Rais wa Zanzibar ni za Zanzibar

    Radio One Sterio mnapotusomea habari za rais wa Zanzibar haziwezi kuwa ni habari za kitaifa, hizo ni habari za taifa la Zanzibar lenye serikali yake na katiba yake. Siku hizi kumezuka mtindo wa kuifanya serikali ya Zanzibar kuwa ni ya muungano! Na huu mtindo unafanywa na viongozi wa serikali ya...
  12. Roving Journalist

    Rais Samia akifungua Shule ya Sekondari Bumbwini Misufini Zanzibar Januari 8, 2025

    Siku ya leo Januari 8, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025 wakati wa shamrashamra za kuelekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Katika hotuba yake Rais Samia aligusia...
  13. Roving Journalist

    PreGE2025 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman atangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT

    https://www.youtube.com/live/SNFqdxgQ_R4 Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo, Ndg. Othman Masoud Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ametangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo.
  14. The Sunk Cost Fallacy 2

    Naye Rais Mwinyi wa Zanzibar Atunukiwa PhD ya Heshima Katika Uongozi Unaoacha Alama na Chuo Kikuu Cha Zanzibar (SUZA)

    Hongera Rais Mwinyi unastahili tuzo hii ya Uongozi Unaoacha Alama. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Zanzibar. Chuo Kikuu cha Zanzibar kimemtunuku Shahada hiyo ikiwa ni kutambua na kuthamini...
  15. S

    PreGE2025 Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara?

    Tatizo Tanzania na mara nyingi Afrika kwa ujumla, tumezoea kufanya mambo kwa mazoea au kwa matarajio kwamba kama leo tumekula basi hata kesho tutakula tu. Ndio maana wengi wetu mambo ya kuandika wosia hatutaki. Hatutaki kufikiri mambo mbele kiasi hicho, au kudhani tukifa leo au kesho kutakuwa ni...
  16. K

    Hivi Mtanganyika anaweza kwenda kuwa Rais wa Zanzibar?

    Naomba nipate ufafanuzi wa kisheria hivi mtu kutoka Tanzania bara yaani Mtanganyika anaweza kwenda kugombea urais Zanzibar?
  17. S

    Rais Samia, kiprotokali ni sahihi kumtaja Rais wa Zanzibar kabla ya Waziri Mkuu wa Tanzania?

    Akitambua uwepo wa viongozi na waalikwa katika Mkutano wa wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara, Rais Samia kaanza kwa kutambua uwepo wa Makamu wa Rais kisha Rais wa Zanzibar na baada ya hapo ndio akamataja Waziri Mkuu wa Tanzania, Bwana Kassimu Majaliwa na kisha akaendelea kutaja wageni wengine...
  18. Mturutumbi255

    Je, kwanini Rais wa Zanzibar alikuwepo katika Kikao cha Baraza la Mawaziri? Fahamu uhalali wake Kikatiba

    Jana, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alikutana na Baraza la Mawaziri na kushirikiana nao katika mazungumzo ya kitaifa. Kilichowashangaza wengi ni uwepo wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Hussein Mwinyi, katika kikao hiki. Je, kwanini Rais wa Zanzibar alikuwepo katika...
  19. A

    DOKEZO Barua ya wazi kwa Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi

    Leo tarehe 11, July 2024. Umealikwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya siku ya kupambana na rushwa Afrika. Hongera Dr. Hussein Mwinyi, kwa nia yako thabiti ya kuzuia na kupambana na rushwa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla, licha ya wasaidizi wako wachache wanaokuangusha. lengo la barua hii...
  20. V

    Mtanganyika ukibahatika ukawa Rais wa Zanzibar utakuwa mzalendo?

    Ikitokea ukahabatika ukibahatika ukawa Rais wa visiwani Zanzibar Je, utasimamia nchi kizalendo au utafanya kupiga deal uwe bilionea tu Au ukiacha kuwa Rais Zanzibar Ukibahatika kwenda somalia ukaingia kwenye mfumo wa siasa ukibahatika kuwa waziri Je, utakuwa mzalendo?
Back
Top Bottom