Wallace Karia, ambaye amehudumu kama Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa vipindi kadhaa, amekuwa akitajwa mara kwa mara kama kiongozi aliyeshindwa kuleta mabadiliko makubwa katika soka la Tanzania. Kuna sababu kadhaa ambazo zinamfanya kuonekana hastahili kuendelea kushikilia...
Yanga kama mbabe wa mpira wa Tanzania imedhamiria Kwa dhati kusafisha pale TFF na bodi ya ligi, Sasa nguvu time imehamia Kwa Wallace Karia
CEO wa Yanga Andre Mtine ameandika barua kwenda kamati ya uchaguzi TFF kumwekea pingamizi Wallace Karia
Yanga wameitaka kamati ya uchaguzi TFF kumwondosha...
Shija Richard ambae ni mtia nia ya Kugombea nafasi ya Urais wa shirikisho la soka nchini TFF, amesema amerudisha fomu yake ya Urais wa TFF bila ya kupata Endorsement hata moja.
Richard Shija ambae aliwahi kuja mjumbe wa kamati ya Utendaji Yanga SC amesema wakati anapambana kupata Endorsement...
Habari JF , nadhani soka letu la Bongo limetoka mbali sana lakini binafsi naona katika uongozi wa Karia tumepiga hatua sana hasa katika mambo yafuatayo :-
1.Ligi imepanda viwango na umaarufu , hili limepelekea timu kuongezeka katika ushiriki kimataifa .
2.Timu zinadhamika , wadhamini...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia amesema Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) wanampenda Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassani kutokana na juhudi zake za kuwekeza katika michezo ikiwemo mpira wa miguu.
Karia ametoa kauli hiyo jijini Arusha wakati...
🎙ENG. HERSI KUHUSU KARIA 👇
🗣"Nikuhakikishie sisi kama wadau wa soka tutaendelea kukuunga mkono Rais wa TFF Wallace Karia na Kamati ya utendaji, nipongeze wazo zuri ambalo kaka angu Mangungu amelitoa na mimi naliunga mkono kwa asilimia 100%, sisi wajumbe wa mkutano mkuu tumelipitisha."- Eng...
Ukurasa wake rasmi wa Facebook: ":Huyu Karia ni WA hivyo kabisa na hafai kuwepo TFF, kukiri kwako tayari unaonyesha udhaifi mkubwa sana kwa nafasi uliyonayo. Hata kama unawadai Yanga SI ungewaeleza kwanza kabla ya kuwakata na kwakuwa TFF inafanya KAZI Kwa maandishi ulipaswa kuwaandikia barua...
Rais wa TFF Wallace Karia wa kipindi cha Rais Magufuli ni tofauti kabisa na Wallace Karia wa kipindi cha Rais Samia, au ndiyo anakula kwa urefu wa kamba?
Wallace Karia wa kipindi cha Rais Magufuli alikuwa mnyenyekevu ,anayekemea rushwa na alisimamia kwelikweli nidhamu na ligi ya Tanzania...
Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace Karia baada ya kumaliza kikao na Waziri wa Michezo Prof Paramagamba Kabudi kuhusiana na sakata la derby ya Kariakoo hakuongea na waandishi zaidi ya kusema "Siongei na Mtu"
Bado haijajulikana hasa ni nini kimeamuliwa katika kikao hicho kwani...
Wakuu
Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake
Eng. Hersi ana sifa na uzoefu mkubwa katika uongozi wa soka, hasa kupitia nafasi yake ndani ya Yanga SC, tangu amechukua nafasi hiyo kubwa katika ngazi ya...
Rais wa TFF Wallace Karia...."Yanga SC waendelee tu na Sinema zao juu ya Mechi yao Kuhairishwa"
Rais wa TFF Injini Hesri Said..."Yani mwana Yanga SC mmoja katoka zake kula Mihogo alafu anataka Nijiuzuru"
Kila Siku tukiwa tunasema hapa kuwa huenda huko Yanga SC kukawa na Wendawazimu wengi tu...
Wanayanga mpito wanaopitia, Inadhihirisha mambo makuu mawili
1.Siku zote akili kubwa haiwezi kuongozwa na akili ndogo. Jaribu kuangalia hata hadhi, heshima, hekima na busara za kiuongozi kati ya rais hawa wawili, TFF na Young africans sc, utapata jibu.
2.Kwa sasa Yanga anafanyiwa hujuma na...
Aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara amemchana Rais wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF), Wallace Karia kwa kauli zake kuhusu sakata la Dabi ya Kariakoo (Simba na Yanga) kuahirishwa.
Pia, Soma: Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa
Video: Bongo5
Wakuu
Nani kalikoroga huko, Rais hapendezwi kabisa!
==
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, leo Disemba 7,2024, katika mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwamba yeyote anayeona udhamini wa ligi kuu una dosari, apeleke ushahidi TFF. Alikosoa kelele na...
Ikikupendeza na utapendeza na wengine, mchezo wa soka ni FURAHA na kuwa FAIR.
TUMESHUHUDIA nchi ikiwa katika sherehe za uhuru Mh Rais hutoa misamaha kwa WAFUNGWA. Hawa wanakuwa wamefanya makosa na wanapata Misamaha .
Kama Taifa la soka Tanzania timu zetu SIMBA NA YANGA kwa mara ya kwanza toka...
Timu ya Taifa ipo na imeshachaguliwa ila kwa sasa tumeificha ikiendelea na Mazoezi dhidi ya Niger Jumapili ijayo na hatutakitaja kwa sasa" amesema Rais wa TFF Wallace Karia.
Chanzo: Sports Headquarters EFM leo
Mwenyezi Mungu anisamehe na Members hapa JamiiForums mnisamehe ila kwa Kauli za Rais...
Salaam ndugu zangu,
Nimekutana na video fupi ikionesha Rais wa TFF Wallace Karia akisema kwamba itakuwa si vizuri kwa Yanga kwenda na ndege ya Rais baada ya kupoteza mchezo.
Je, kuna ukweli wowote wa juu ya hili? Tusaidieni kumhoji
Picha1: Sehemu ya Tweet inayomlaumu Rais Karia kwa kauli...
Hivi karibuni sakata la kufungiwa kwa Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Sande Manara "Bugati" limeshika kasi katika tasnia ya michezo nchini, lakini mtiriko wa matukio ya kuichafua tasnia ya soka kutoka kwa Shirikisho la Soka Nchini (TFF) na Rais wake, Wallace Karia umeongezeka kwa kasi.
Hebu...
Angetile Osiah (Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa) umekuwa na tabia za Kipuuzi na Kishamba mno hasa za kupenda Kujitokeza kutolea Ufafanuzi wa Hukumu na Sheria za TFF na Kamati za Maadili hasa pale ikiwa inaihusu Klabu ya Yanga.
Angetile Osiah (Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa) kama kweli una...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.