rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Rais Samia amefanya kazi kubwa kupambana na adui Maradhi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa katika kupambana na adui wa maradhi, moja ya maadui watatu wakuu waliotajwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, pamoja na ujinga na umasikini. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  2. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kuwapangia vituo Mabalozi 25 March, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kuwapangia vituo Mabalozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na upangiwa vituo Mabalozi ni kama ifuatavyo: i. Bi. Rachel...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Rais Samia ametuma timu ya wanasheria kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma timu ya wanasheria watakaokuwa Mkoani Arusha kwa siku kumi kuanzia Ijumaa Machi 28, 2025 kwaajili ya kusikiliza na kutatua migogoro ya kisheria kwa wananchi wa wilaya zote zinazounda Mkoa wa Arusha. Akimshukuru Rais Samia...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia akamilisha ujenzi wa Shule kubwa ya Wasichana Lugalo, Iringa – Mwanafunzi aahidi ufaulu wa Divisheni 1 pointi 3

    Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan amekamilisha ujenzi wa shule kubwa ya wasichana Lugalo Iringa. Timu ya waandishi wa habari wakiambatana na officialbabalevo washuhudia juhudi za serikali ya awamu ya sita inavyofanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya Elimu hakika katika...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki mkutano wa EAC na SADC kwa njia ya mtandao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya mtandao tarehe 24 Machi, 2025 Ikulu ndogo ya Mkanyageni...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: Ukitenda mema lazima utalipwa mema Rais Samia kafanya mema mengi Watanzania watamlipa mema

    === Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kutokana na kazi nzuri aliyoifanya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka minne, anastahili kulipwa mambo mazuri ikiwemo kudumisha amani na mshikamano. Wasira ameyaeleza hayo jana Karagwe...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Singida wafanya dua ya kumuombea Rais Samia

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kaiwada ameongoza maelfu ya vijana mkoani Singida katika dua ya kumuombea Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hata mwenendo wa Kiutendaji wa Msajili wa Vyama , unatosha tu kuungana na "NO REFORMS, NO ELECTION"

    Ule Mkutano ,Wajumbe walijua wanaenda kumchagua Makamo wa Chama tu . Ikapigwa chenga ambayo ikawaacha Wajumbe, kama lilivyo Bunge, kupiga makofi ,mayowe na mapambio mengi na kuwaondoa kwenye matumizi ya Akili ambayo yangewafanya wahoji. Akatokea Mchungaji Malissa, yeye akahoji , akaishia...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Sera Za Rais Samia zilivoua ajira kwa wazawa , uchumi unakufa , wachina watamalaki

    Economic chain kaiua makusudi kabisa. Mchina ni machinga kariakoo na mbaya zaidi wenye viwanda china wanazalisha na kuleta direct wao wenyewe, kikubwa Wana kampuni zao za clearing and forwarding , Wana meli zao za kusafirisha mizigo hapo Samia kafeli. Nenda migodini chungwa, same , Singida ...
  10. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumuombea kheri rais Samia ni uzalendo kwa nchi yetu- Kikwete

    Wosia huu umetolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete , Mbunge wa Chalinze na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu wakati akiwahotubia Wananchi waliojitokeza kuomba dua kuiombea Nchi na Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nyumbani kwake...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuuseme Ukweli, Rais Samia na CCM yake waliwadharau na kuwapuuza Watanzania wote kuhusu Demokrasia

    Rejea sheria mpya ya uchaguzi, Rais Samia, Serikali ya CCM na Bunge bandia la CCM, waliwadharau na kuwapuuza Watanzania wote. Vyama vya upinzani, taasisi za dini, chama cha wanasheria Tanganyika, watetezi wa haki, na asasi za kiraia, wote walishauri: 1. Kuwe na Tume Huru ya uchaguzi ambayo...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 MNEC Ndele Mwaselela: Hakuna wa kushindani na Rais Samia kwenye uchaguzi 2025

    Mjumbe wa halmashauri kuu ccm taifa (NEC) Ndele Mwaselela amewaambia wananchi wa mkoa wa kagera kuwa kazi nzuri za Dkt Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne katika sekta zote zimefanya wananchi wa nchi nzima Tanzania kumpenda na kumwamini Dkt Samia Suluhu, kila mahala tunapopita wana imani kubwa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Korogwe wazindua kilimo mbadala Tarafa ya Bungu kuunga mkono jitihada za Rais Samia

    Afisa Tarafa wa kata ya Bungu Wilayani Korogwe Ndugu Peter Kahindi amefanya uzinduzi wa kilimo mbadala spices yaani viungo, karafuu, iriki ,mdalasini Tangawizi na nk. Akizungumza na waandishi wa Habari Peter Kihindi katika uzinduzi huo amesema lengo la kuzindua kilimo hicho ni kuunga mkono...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia, asisubirie kulazimishwa kuchukua hatua. Mwitikio wa Umma wa 'No Reforms No Election' ni ujumbe tosha

    Rais Samia, CCM na Serikali yake, wasisubirie kulazimishwa kwa nguvu kuchukua hatua za kujirudi, yaani kuachana na sheria, mifumo na kanuni za kishetani katika kuendesha chaguzi. Inafahamika wazi kuwa mtu mshenzi au jambazi ambaye hulishibisha tumbo lake kwa ujambazi, si rahisi kwake kuacha...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia achangiwa zaidi ya Tsh. Billion 1.5 ili aweze kurejea tena madarakani

    Kwenye usiku wa Huba Huru Ghala Taasisi mbali mbali na Wafanyabiashara wameshiriki katika harambee maalum ya kumchangia Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, kuongeza bguvu katika uchaguzi mkuu ili aweze kurejea tena madarakani kuliongoza Taifa la Tanzania kwa miaka mingine mitano. Kupata matukio na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa dini Arusha wamuombea Dua, Mrisho Gambo na Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Mashaka Gambo amefuturisha viongozi wa Dini ya Kiislam, Yatima na Wajane zaidi ya 1,000 siku ya Jumamosi ya Tarehe 22 March 2025 Jijini Arusha. Kwenye hafla hiyo viongozi wa Dini wamemuombea DUA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Victoria Mwanziva: Lindi tumepokea TSh. bilioni 82 tangu Rais Samia aingie madarakani za miradi mbalimbali ya maendeleo

    Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Bi. Victoria Mwanziva, amesema toka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DKT. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani Halmashauri ya Manispaa ya Lindi wamepokea zaidi ya shilingi bilioni 82 za miradi mbalimbali ya maendeleo Pia, Soma: DC Lindi Victoria Mwanziva...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Abubakar Kunenge: Rais Samia ametuletea maisha mazuri

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge ameshiriki katika dua maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo ilifanyika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Babati Wafanya Matembezi Kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu kwa Utekelezaji wa Miradi Mikubwa ya Kimkakati

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mjini Babati umefanya matembezi maalum katika viunga vya mji huo, wakimpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati na mingine katika kila kata, wilaya, na mkoa ndani ya kipindi cha miaka minne ya uongozi...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh wa Mkoa wa Mbeya, ampongeza Rais Samia kuimarisha Demokrasia na kuleta matumaini ya uchaguzi huru na wa haki, 2025

    Sheikh wa Mkoa wa Mbeya, Msafiri Ayasi Njalambah, amesisitiza kuwa amani na utulivu ni fahari ya Jiji la Mbeya na msingi wa maendeleo endelevu. Sheikh Njalambah amepongeza juhudi za Serikali ya Tanzania katika kujenga jamii yenye umoja na mshikamano, akisema kuwa Serikali imekuwa mstari wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…