rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini siku Mjumbe Maalum wa Kumuwakilisha Rais Samia duniani ni Rais Mstaafu Kikwete na siyo Makamu Mipango au Premier Majaliwa?

    Wiki hii nzima alikuwa anazurula tu hapa Kampala Uganda na baadae akaenda Gulu na muda si mchache kaonekana huko nchini Ethiopia na kote anapeleka tu Ujumbe Maalum wa Rais Samia.
  2. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete awasilisha ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha ujumbe Maalum wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed. Ujumbe huo umewasilishwa Ikuku jijini Addis Ababa April 11, 2025. Mhe. Kikwete pia aliwasilisha Salamu za Rais Samia ambazo...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Gulamali: Tunamuomba Sana Rais Samia Amteue Tena Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Mbunge wa Jimbo la Manonga Mkoani Tabora Seif Khamis Gulamali ameitaka Serikali kutosita kuchukua mikopo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini Tanzania, akieleza kuwa deni la Taifa ambalo limetajwa kuwa ni Tsh. trilioni 97 bado ni himilivu na la chini kulinganisha na Mataifa...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Munde: Watakaosimamia Uchaguzi sio Wakurugenzi. Rais Samia amefanya 'Reforms' za kutosha kuelekea Uchaguzi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Munde Tambwe, ameipongeza Serikali ya awamu ya Sita kwa kusikiliza na kutekeleza maoni ya wananchi kuhusu reforms za uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunamshukuru rais Samia Kwa uongozi Bora vijana tumetajirika na wananchi tunafuraha na wewe

    Huyu ni rais Bora sana Africa nzima ndio maana oktoba nitaenda kumpigia kura sababu vijana Sasa tunapesa nyingi sababu ya uongozi Bora wa mama anaetujali raia wake 2025 tunaenda na mama Samia ingekua uwezo wangu ningempa miaka 50 mbele ya kuiongoza tunafuraha na mama tunakula Bata na mama...
  6. JamiiForums Tanzania Eti Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kweli kuwa nyuma ya uovu anaotendewa Tundu Lissu?

    Sitaki kuamini kwamba MamaSamia2025 yuko nyuma ya mpango wa hiki kinachoendelea. Ninafahamu kwamba MamaSamia2025 ni MTU mwenye dhamira safi licha ya kwamba watu walipotekwa alisema ni vijidrama na Mzee Kibao alipouawa na watu wanaodaiwa ni Polisi, akawapa Polisi haohao KAZI ya kujichunguza na...
  7. JamiiForums Tanzania Je, nikweli kwamba Rais Samia amemtuma mkurugenzi wa halmashauri ya Morogoro kuwaadhibu walimu watakaoshindwa kutoa hela ya mwenge?

    Mkurugenzi wa halmashauri ya Morogoro ndugu Jeshi Lipembe amesema kwamba ameagizwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwaadhibu walimu na watumishi wa sekta ya afya watakaoshindwa kutoa mchango wa mwenge (10,000/=) Aidha ameagiza walimu wakuu, wakuu wa shule, na viongozi katika idara ya afya...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia ahitimisha ziara yake ya kiserikali nchini Angola

    RAIS SAMIA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA KISERIKALI NCHINI ANGOLA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amehitimisha Ziara yake ya Kiserikali ya siku 3 nchini Angola. Mapema leo asubuhi, Rais Dkt. Samia alitembelea kiwanda cha kusafisha mafuta cha Luanda Oil...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuheshimika na kukubalika kwa Rais Samia mbele ya umma kutategemea pia na namna atakavyomtreat Lissu

    Kwa hivi sasa nchini hakuna mwanasiasa anayekubalika, kueleweka na kupendwa kama Lissu. Hii ni kwa sababu Lissu ni mkweli, anamaanisha mabadiliko, hana uchu wala tamaa ya vyeo na mali bali ana uchungu wa kweli wa Taifa hili. Katika blunders kubwa ambazo rais Samia alizifanya punde tu baada ya...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia, na pesa ya ukarabati Uwanja wa Taifa imepigwa we upo tu?

    Kama tu pesa za ujenzi na ukarabati wa uwanja wa taifa zimeliwa anaweza kitu gani Samia kusimamia? Kama hapa ambapo ni kilometer 10 tu kutoka magogoni pesa zinaliwa je pesa za miradi uko kigoma na katavi zitafanywaje? Aise nimelia baada ya kuiona pitch ya uwanja wa benjamini Mkapa ...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Agnesta Lambert: Mwaka huu wa 2025 mambo yanakwenda kuwa mazuri kwa Rais Samia

    Agnesta Lambert ambaye ni Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) amesema kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria itasimama kidete na kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia liyozinduliwa leo Aprili 8, 2025 mkoani Tanga. Akiwasilisha salamu za kamati hiyo Agnesta amesema kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Mollel: Hatuna deni na Rais Samia, kuna watu wameweka mpira kwapani. Hata mimi ningekuwa Lissu ningeweka mpira kwapani

    Wakuu, "Tulipoimba ule wimbo pale hatuna tena Deni, na Rais Samia Suluhu Hassan, Mimi ningekuwa mwandishi wa habari, habari yote leo ingekuwa kwenye Taarifa ya Habari, tukicheza kama tulivyokuwa tukicheza, na ikipita ile miradi ambayo imeonyeshwa hapa, mwisho tukawa tumemaliza habari yote...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea makumbusho ya Muasisi wa Taifa la Angola, Agostinho Neto

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza na Muasisi wa Taifa la Angola, Hayati António Agostinho Neto katika eneo la Public Square Jijini Luanda, tarehe 08 Aprili, 2025. Rais Dkt. Samia amepokelewa kwa heshima ya kijeshi...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia apandisha dau 'Goli la Mama' kwa Simba SC, kila Goli TSh. milioni 10 kwa mchezo wa CAF

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amelipa thamani goli la Mama analolitoa kwa timu za Tanzania zinazoshiriki michuano ya CAF ambapo kwa sasa Nchi yetu inawakilishwa na Simba Sc pekee kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Akithibitisha ongezeko la thamani hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyopiga simu kwa Kadogosa baada ya kupewa tuzo ya 'Mwanamke Kinara'

    Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa tuzo ya jumla ya uongozi ya mwanamke kinara jijini Mwanza huku akishukuru na kuahidi kuendelea kufanya kazi kwa masilahi ya Taifa. Tuzo hiyo ilitolewa usiku Aprili 5, 2025 mkoani Mwanza na taasisi ya Mwanamke kinara iliyoandaa tuzo za wanawake waliofanya...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Waziri wa Mambo ya nje wa Angola kujadili maandalizi ya ziara rasmi ya Kitaifa ya Rais Samia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Angola, Mhe. Tete António, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
  17. L

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Samia amuombea kura za Ukurugenzi wa WHO Mohammedi Janabi

    Ndugu zangu Watanzania, Nashindwa niandike nini ,nashindwa niseme nini ,nashindwa nieleze vipi juu ya uwezo mkubwa wa kiakili alionao na aliojaliwa kuwa nao Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Rais Samia ni Mpango wa Mungu,ni chaguo la Mungu na kapewa akili nyingi na...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, awasili jijini Luanda Angola kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa 4 De Fevereiro, jijini Luanda, leo Aprili 7, 2025 kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu nchini Angola. Ziara hiyo imefanyika kwa mwaliko wa Rais wa Angola, João Manuel Gonçalves...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Doyo Hassan: Rais Samia amefanya kazi nzuri sana, lakini mimi nitagombea Urais dhidi yake kwani ni haki ya kikatiba

    Kupitia kipindi cha One on One with Doyo Hassan Doyo, Mgombea Urais wa Tanzania 2025 kupitia chama cha NLD amesema ingawa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kazi nzuri sana katika uongozi wake lakini yeye atagombea Urais dhidi yake kwani ni haki yake kikatiba. Soma Pia: Hassan Doyo achukua Fomu...
  20. JamiiForums Tanzania Lissu shikilia hapo, Hoja ya Waziri Mchengerwa kua Mkwe wa Rais Samia, alafu eti ndio Waziri anayesimamia uchaguzi?

    Watanzania wengi wa Vijijin na mijin walikua hawajui ukweli huo kua WAZIRI WA TAMISEM , Mh Mchengerwa Kaoa Mtoto wa Rais Samia. Waziri Mchengerwa ndio Waziri mwenye kusimamia Uchaguzi Mkuu unaojumuisha Vyama vingi vya Siasa. Haya ni maajabu, ni maajabu Duniani kote ambapo utakuta Waziri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…