rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Evance Kamenge: Rais Samia anaweza kugombea na mtu yeyote bila ya usaidizi wa chombo chochote na akashinda uchaguzi

    Vijana wanaotafutaga teuzi bhana huwa wana miyeyusho sana Tlaatlaah njoo umchukue kaka ako === Mchambuzi wa Siasa na Uchumi Evance Kamenge akifanya mahojiano na kituo cha Star Tv kwenye kipindi cha medani za siaza kinachoongozwa na Edwin Odemba, ameeleza kuwa Rais samia kwa mambo aliyoyafanya...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Ulanga: Rais Samia ni tajiri sitoacha kumuomba, tutamlipa kwa kura nyingi 2025

    Mbunge wa Jimbo la Ulanga Salim Alaudin Hasham ameeleza yale yote yaliotekelezwa na Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan na kusema pamoja na yote bado hatoacha Kumuomba fedha Rais Samia Kwa ajili ya kutekeleza miradi iliobaki. Salim Alaudin aneyasema hayo mara baada...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashe: Rais Samia kuzindua Benki ya Ushirika Tanzania Aprili 28, Ikianza na mtaji bil. 55, matawi manne

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema Rais Samia anatarajiwa kuzindua rasmi Benki ya Ushirika Tanzania tarehe 28 Aprili 2025. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi katika kongamano la wafugaji litakalofanyika mkoani Simiyu

    Wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la wafugaji nchini litakalofanyika kitaifa mkoani Simiyu mwezi ujao. Mwenyekiti wa Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT), Mrida Mshota, alisema kongamano hilo, litafanyika kuanzia Mei 15 hadi 18, mwaka huu katika...
  5. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia azidi kutrend kimataifa kutokana na suala la Lissu, afananishwa na kina Museveni na Kagame

    Salaam, Rais Samia anazidi kutrend kimataifa, suala la Lissu limezidi kutrend na kumuweka kwenye spot Rais Samia. Sasa anaanza kufafanishwa na kina Museveni na Kagame. Kwenye hiyo video wanakwambia alisifiwa kweli alipoenda kumtembelea Lissu lakini kinachotokea sasa ni kama mtu mwingine kabisa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia toa maagizo kwa NIDA wawapigie watu simu wawaletee vitambulisho kwenye halimashauri walizopo!!

    Nasikitishwa na hii tabia ya nida kutaka kufuta vitambulisho ambavyo havijachukuliwa unakuta mtu alijiandikisha Tarime halafu yupo Dar kitambulisho kinachapwa Dar halafu kinapelekwa tarime wakati mhusika yupo dar!! Yaani nichukue laki2 kufatilia kitambulisho kweli kichekesho!! Hivi nida ni...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndumbaro anaposema Samia Legal Aid siyo bure ni kwamba wote tumelipiwa na Rais anamaanisha hizo hela zinatoka mfukoni mwake ama?

    Akizungumza katika Uzinduzi wa msaada wa Kisheria wa mama Samia, waziri wa katiba na sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa kampeni hiyo inaonekana ni bure na inatolewa bure kwa wananchi lakini ki uhalisia huduma hiyo imelipiwa na Rais Samia.
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndumbaro: Samia Legal Aid siyo bure ni kwamba wote mmelipiwa na Rais Samia

  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasomi Vyuo Vikuu waapa kumchagua Rais Samia kwenye Uchaguzi Mkuu 2025

    Wasomi wa vyuo vikuu na vyuo vya kati nchini wameeleza dhamira yao ya kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kwa ajili ya kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais. Wamesisitiza kuwa kwa umoja wao, hawatapigia kura chama au vyama visivyo na malengo mahsusi au dira ya kuiongoza na...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani Mariam Makasi: Kazi ya Rais Samia yaturahisishia kazi ya kuomba Kura Uchaguzi Mkuu

    Diwani viti maalumu Kutoka Wilaya ya Mpwapwa Mariam Makasi Amesema Kuelekea uchaguzi Mkuu Kwa aliofanya Rais Samia katika Nchi imetengeneza njia nzuri ya kuwafanya wao kutohangaika kutafuta kura Kwa wananchi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama anataka heshima yake irudi ni lazima yule Samia wa 2021-2022 ambaye aliweka mbele nchi kuliko ubinafsi

    Raisi Samia mwaka 2021-2022 alikuwa na nguvu na aliteka Tanzania alikuwa ana alikwa kwenye mataifa makubwa sana lakini kuanzia 2023 Raisi Samia amekuwa dhaifu na kuonekana ni Raisi wa kuendeshwa na vigogo wa CCM na amekuwa kama vile ni Raisi wa Chama na sio Raisi wa nchi. Tukubali na tukatae huo...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 GEITA, Mwenyekiti UVCCM: Kabla ya kuwapa nafasi hawa waongo tukayaseme mafanikio ya Rais Samia

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita Manjale Magambo amewaasa Viongozi wa Chama na Serikali kuendelea kuyasemea mazuri ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwemo ujenzi wa miradi mbalimbali inayoendelea Mkoani Geita. Hayo ameyasema wilayani Bukombe wakati...
  13. JamiiForums Tanzania Wabunge wamuelekeza CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Ina Ufisadi Mkubwa

    Bunge lataka CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu Wabunge akiwemo kibajaji, amedai muda hautoshi. Ripoti ya CAG ipelekwe Bungeni Mwenzi Novemba baada ya Uchaguzi Mkuu. Amedia kama ikipelekwa bunge hili kuelekea Uchaguzi Mkuu, itapunguza kura za...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi Wastaafu, Mfateni Rais Samia na Msaidieni Kuituliza Nchi. Mambo Yamekuwa mambo huko ulimwenguni

    Katika kipindi hiki nyeti cha historia ya taifa letu, ni jambo la busara na uzalendo kwa viongozi wetu wastaafu—kama Jaji Joseph Warioba, Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, na wengine waliolitumikia taifa kwa hekima na busara—kujitokeza na kumsihi Rais Samia Suluhu Hassan kuchukua hatua za...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia azungumza na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa Ikulu

    Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Aprili, 2025. Rais Dkt. Samia pamoja na viongozi hao wamejadili...
  16. JamiiForums Tanzania Kocha Ruben Amorim asema anajua Rais Samia ni shabiki wa Man United

    Kocha wa Manchester United ya England, Ruben Amorim atuma salamu kwa niaba ya wachezaji wa timu hiyo kwa Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Jezi hii iliyosainiwa na wachezaji wa Man United, tayari imeshatua nchini Tanzania na kukabidhiwa kwa Rais Samia. Aliyeikabidhi jezi hiyo kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kocha mstaafu wa Man United, Alex Ferguson atuma ujumbe kwa Rais Samia

    Kocha wa Mstaafu wa Klabu ya Manchester United ya Uingereza, Sir Alex Ferguson atuma salamu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Soma Pia: Rais Samia akutana na Mmiliki wa Klabu ya Manchester United, Sir Jim Ratcliffe, Ikulu ya Dar leo Aprili 11, 2025
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Mmiliki wa Klabu ya Manchester United, Sir Jim Ratcliffe, Ikulu ya Dar leo Aprili 11, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mmiliki wa Klabu ya Mpira wa Miguu ya Manchester United ya Uingereza Sir Jim Ratcliffe, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Aprili, 2025. Katika mazungumzo yao Rais Dkt. Samia amemshukuru Sir Jim...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Manchester United Club Tajiri Duniani Atua Ikulu na Kumuahidi Rais Samia kuitangaza Tanzania Dunia Nzima kukuza Utalii

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu. Na kwa kuwa ni chaguo la Mungu ,Taifa linaendelea kupata Neema na baraka kila uchao . Siyo jambo dogo wala la kawaida kwa club kubwa na tajiri Duniani na yenye...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tusimlaumu Rais Samia pekee viongozi wa vyombo vya usalama Tanzania hawana Uzalendo

    Tusimlaumu Raisi Samia pekee viongozi wa vyombo vya usalama TZ hawana Uzalendo Polisi na usalama kuiba kura wakati wameapa kulinda sheria huo ni uzalendo wa aina gani? Polisi na usalama kula ruswa huo ni uzalendo wa aina gani? Polisi na usalama kutumika kisiasa badala ya kuweka maslahi ya nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…