rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    PreGE2025 CHAKAMWATA yasema Rais Samia ameyagusa maslahi yao

    Katibu Mkuu wa Chama Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA),Mwalimu Meshack Kapange, amempongeza Rais Samia kwa kuongeza mshahara, jambo ambalo litaleta nafuu ya maisha kwa wafanyakazi nchini.
  2. L

    Rais Samia atunukiwa Tuzo ya 'Mother of the Nation' na Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Sheikh Mohamed Bin Zayed

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anaendelea kuchanja Mbuga katika Mioyo ya Walimwengu. Anaendelea kuteka na kugusa mioyo ya watu, anaendelea kuifanya Dunia kuendelea kumjadili na kujifunza kutoka kwake uongozi bora , uchapakazi, uzalendo na uhodari katika kuinua na kuboresha Maisha ya watu...
  3. PreGE2025 Rais Samia: Kalamu zetu zinalinda nchi yetu sawa na jeshi linavyolinda mipaka ya nchi yetu. Namuona Murilo anasikiliza kwa makini

    Rais Samia Suluhu amesema Mwaka huu ni mwaka wa jambo kubwa, nchi yetu inakwenda kwenye uchagazi mkuu niwaombe mtumie kalamu zenu kuhamasisha umoja, amani na mshikamano nchini. Ameyasema hayo leo kwenye usiku wa tuzo za Samia Kalamu Awards mwaka 2025. Soma Pia: Rais Samia akishiriki Hafla ya...
  4. PreGE2025 Tuzo za Samia Kalamu Awards Superdome Mawaziri washindana kutoa zawadi kwa washindi, mmoja apewa boti ya milioni 50

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo May 05,2025 ameongoza Wadau mbalimbali kwenye ugawaji wa Tuzo za umahiri kwa Waandishi wa Habari na Vyombo vya Habari Tanzania, zilizoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania...
  5. PreGE2025 Rais Samia apimwe kwa kazi zake

    Siamini katika kuvunja katiba, vyovyote iwavyo ningependa uchaguzi ufanyike mwaka huu, kukiwa na ushiriki wa vyama vyote na CHADEMA kikiwepo. Kama sauti yangu ingekuwa inasikika ningemshauri Rais, serikali iachane na kuisakama CHADEMA, binafsi naona matumizi ya mkono wa dola dhidi ya CHADEMA na...
  6. PreGE2025 Spika Dr.Tulia: Rais Samia anafanya vizuri kuliko wanaume

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kufanya vizuri zaidi ya baadhi ya Viongozi wa kiume akieleza kuwa mafanikio yake ni ushahidi wa uwezo mkubwa wa Wanawake katika uongozi. Dkt. Tulia...
  7. Wafanyakazi mwaka huu hamkuwa na matatizo hadi mkaamua kumfanyia Kampeni Rais Samia?

    Wakuu, Katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), yaliyofanyika kitaifa mwaka huu mkoani Singida, ujumbe uliobebwa na mabango ya wafanyakazi kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO) umenisikitisha sana kama mdau...
  8. PreGE2025 Rais Samia ampa TSh 20 milioni Askofu wa jimbo jipya la Bagamoyo

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
  9. W

    PreGE2025 Prosper Tesha: Wachimbaji madini tumekubaliana kura zetu zote ni kwa Rais Samia

    Wachimbaji wa madini nchini wamejitokeza kwa nguvu kuunga mkono juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuboresha sekta ya madini, huku wakiahidi kumpigia kura kwa kishindo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Mwenyekiti wa Madini ya Vito Prosper Tesha ameyasema hayo hivi karibuni...
  10. W

    PreGE2025 Wana CCM Ruangwa wamuahidi Rais Samia mitano tena

    Wakijibu mbele ya waziri mkuu wajumbe wa mabaraza ya jumuiya za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ruangwa Mei 3, 2025 wamesema hawamdai Rais samia na badala yake wamuahidi mitano tena. Waziri Majaliwa baada ya ahadi hiyo amesema atampigia Rais Samia ili kumfikishia salamu hizo.
  11. PreGE2025 Waziri Mkuu Majaliwa: Rais Samia hapaswi kupata shida sisi tukiwepo

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa Wananchi wa Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi na Watanzania kwa ujumla kuendeleza kauli ya kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa awamu nyingine ya uongozi, akisisitiza kuwa kauli ya "Mitano Tena kwa Dkt. Samia" inapaswa kutoka...
  12. K

    Kishindo Cha 4R za Rais Samia, mgogoro baina ya Tanzania na Malawi umemalizika kwa maridhiano.

    Hakika falsafa ya 4R ni msingi wa amani na mshikamano wa kiuchumi si TU kwa Tanzania bali baina ya nchi na nchi na Leo katika kusheherekea matokeo ya 4R ni kwamba mgogoro wa usafirishaji na zuio la mazao baina ya Tanzania na Malawi umemalizika kwa njia ya maridhiano. Hakika vitendo vina nguvu na...
  13. Wewe mwanaJamiiForums unayekubaliana na sera za Rais Samia kuhusu haki za binadamu unajidanganya

    Rais Samia ndiye kiongozi wa ajabu tumewahi kushuhudia na mbaya sana, mbaya sana ni mwanamke. Ndiye kiongozi ambaye mtu anapotea au kuuawa kwa mazingira tatanishi ya kisiasa kisha anakuja na kusema ni vijidrama. Mambo ya kinyama kusema kweli. Ndiye Rais ambaye kiongozi wa kidini kashambuliwa...
  14. Yule anayetoa pole mtu akipata madhila kwenye kurasa za Rais Samia kaenda likizo kwenye tukio la Kitima?

    Wakuu, Ni swali tu nauliza maana kama sijaelewa hivi👀 Tumekuwa tukiona watu mbalimbali maarufu na hata kundi la watu wakipata madhila Rais Samia kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii hutoa pole, na kwengine huenda mbali hata kutoa mkono wa pole, na kwa wengine hufika kabisaaa, kama...
  15. Wafanyakazi wamshukuru Rais Samia kwa kupandisha mshahara 'tataenda kufanya kazi kwa bidii'

    Baadhi ya Wafanyakazi nchini wametoa pongezi na shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuthibitisha tena kuwa anawajali watumishi wa umma. Katika kilele cha sherehe za Mei Mosi 2025 zilizofanyika uwanja wa Bombadia mkoani Singida, Rais Samia...
  16. PreGE2025 Mbunge Viti Maalum, Alice aomba dharura ya pongezi ili Bunge limpongeze Rais Samia kuongeza mshahara!

    Ndio maana hata viti maalum vinapigwa vita, maana wakipewa 99% wanakuwa manyumbu, kuongea ujinga mradi waendelee kubaki kwenye viti hivyo. Mkitaka kujua nani ni manyumbu bungeni angalia tu hao wote waliosimama hapo. Na spika eti amepokea, na kupongeza kwa niaba ya bunge!🤦‍♀️🤦‍♀️ Afu wananchi...
  17. Z

    Ni ujumbe wa kanisa Katoliki kwa Rais Samia na serikali yake?

    Baba Padre anasema hii itume kama inavyotoka. Video inajitosheleza kabisa.
  18. L

    Rais Samia ni Jemedari Aliyejitoa na kujitolea Utumishi wake Kwa Watanzania Bila Kujibakisha.

    Ndugu zangu Watanzania, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema juu ya Mama huyu anayefanya kazi ya kitume , kazi ya Sadaka ,kazi ya kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kubadilisha maisha ya watanzania na kuleta matumaini kwa watu. Huyu Mama yetu Mpendwa amejitoa na kujitolea Maisha yake...
  19. Rais Samia fukuza kazi mkuu wa polisi...

    Yeye Muliro na genge lake anadhania anakufanyia favour kuteka na kutesa wapinzani kumbe anakuweka distant na wananchi... Ni mjinga ambae anapaswa kutolewa kabla hajafanya more damage.
  20. S

    Nimetafakari sana yanayoendelea nchini, na kufikia uamuzi kuwa ni bora Rais Samia aidha akubali kuahirisha uchaguzi tubadili kanuni au asigombee

    Nimekuwa nimtafakari sana, na huko nyuma niliona hili likija, na hata nikaandika usi humu JF, kwamba msimamo wa Rais Samia na CCM kuhusu kubadili kanuni za uchaguzi unaligawanya taifa na hali zitazidi kuwa mbaya. Wenye akili walinielewa. Bado nina ushauri kwa Rais Samia, kwamba ni bora...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…