rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ninadhani , asilimia kubwa ya wabaya ya mheshimiwa rais Samia wapo ndani ya chama kuliko wale walio nje ya chama

    Kwa yanayoendelea mpaka sasa, ninathubutu kusema kuna uwezekano mkubwa wanaomchukia SSH na kuona hatoshi hiyo nafasi ni wale walio ndani ya chama kuliko walio nje ya chama. Kuna ambao wamejitoa mhanga kuonesha waziwazi kwamba hatoshi, na kuna ambao wakiwa na yeye wanamuunga mkono ila akigeuka...
  2. JamiiForums Tanzania Alipoona Wananchi wanaponda Deni la Taifa 107 T, akaja na janja za Marekani na Ulaya hawafanyi vizuri Uchumi, Mara Mashariti huko nje yameongezeka!!

    Huyu Mama alikua anatuandaa kisaikolojia kuanzia mwaka 2026 tungeanza Kuishi kama Watumwa nchini kwetu. Kavuruga Mahusiano yote na Ulaya , Marekan , Safari za Ulaya Zimekata ghafla. Kwakujua alokua kaupanga kupitia Uchaguzi 2025 , alijua MIKOPO n MISAADA inaenda kusimama. Njia Pekee ikawa ni...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Upo uwezekano wa kuwa na mgogoro wa muungano iwapo lolote likitokea Rais samia asipo kuwa mgombea na Rais 2025

    Kumekuwepo na mjadala kwa muda mrefu dhidi ya muungano wetu Tanganyika na Zanzibar . Hivi karibuni ukiacha malalamiko ya upande wa Tanganyika kumekuwa na utulivu mkubwa. Sababu kuu ni kwa vile Rais wa jamhuri ni mzanzibar na ikumbukwe Zanzibar ndio ina ruhusa ya kupiga kura ya maoni ya...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania zingatieni mawaidha haya kutoka kwa Rais Samia

    Falsafa ya 4rs ndio iliyowapa fursa na nafasi ya wananchi wote kuungana tena na waTanazania wengine baada ya kujificha kwa mabeberu kwa kipindi kirefu kwa sababu na visingizio mbalimbali vya kisiasa. Kama sasa mmeshaota mapembe na mikia, ni vizuri kutambua kwamba sheria za kistaarabu za nchi...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Wana TK-Movement waahidi kusimama na Rais Samia uchaguzi mkuu 2025

    Wakuu ==== kwani nyie mnasemaje? Akizungumza na wanachama wa jukwaa la vijana na wanawake nchini ndg. Naseem Makombe Katibu wa vyuo na vyuo vikuu TK-ΜOWEMENT Naseem Makombe amewataka wana TK MOVEMENT kuumunga mkono Mh. Rais Dkt. Samia S. Hassan kutokana na kazi kubwa zinazoendelea kufanyika...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu Hassan ni Mgombea Halali Kikatiba na kihistoria

    Wanaukumbi. Mchakato wa Rais Samia kupitishwa kuwa mgombea pekee wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 ni wa kihalali kwa mujibu wa Katiba ya CCM, na umefuata historia na utaratibu wa chama uliodumu kwa miongo kadhaa. Wanachama wa CCM, viongozi wa chama, na wananchi kwa ujumla wanapaswa kuelewa kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Tuassume ni Awamu ya 6, amalizie Awamu ya Pili, Je Awamu ya Kwanza alichukua Fomu ya Urais? Alifanyiwa Vetting ya Urais?.Alipitia Mchakato wa Katiba?

    SAMIA ASIRUHUSIWE KABISA KUGOMBEA URAIS NA KAMA ANALAZIMISHA, MCHAKATO WA KIKATIBA UANZE WOTE UPYA. Awamu ,Awamu inapatikanaje ? Kwa wa Katiba Awamu inapatikana kupitia UCHAGUZI MKUU, Kwa Kiongozi kupigiwa Kura !!. Kiongozi gani anayepigiwa kura uchaguzi kuwania Urais?? Ni yule ambaye...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 huko Kizimkazi, Zanzibar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais Samia S Hassan,naomba umfree Lissu tafadhali

    Wabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hawa Hapa wanaotaka Kumyumbisha Rais Samia pamoja na kuigawa na kuleta vurugu ndani ya CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Mmewahi kujiuliza ni kwanini Rais Samia akiwa makamu wa Rais Alipangiwa ziara na kuendelea na ziara ndefu Mkoani Tanga mpaka siku anapewa taarifa za kifo cha Hayati Dkt Magufuli ili sasa yeye ndiye autangazie Umma wa Watanzania juu ya taarifa hiyo nzito ambayo haijawahi...
  11. JamiiForums Tanzania Ingekuwa John Pombe Magufuli anamaliza muda wake leo hii bado aliyemuamini Rais Samia

    Hakuna mwanasiasa mpya ndani ya CCM Ambaye angeweza kuaminiwa na kukabidhiwa kijiti iwapo hayati Magufuli angekuwa anamalizia muda wake leo hii. Kama yupo basi Magufuli kwa uwazi kabisa angemteua kama mgombea mwenza kipindi kile. Itakumbukwa pia Mtu wa pili aliyetajwa kuaminiwa na Magufuli ni...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia jitokeze hadharani useme lolote ama tukuone tu na roho zetu zitulie

    Maana kwa tulichojifunza mwaka 2021 kelele za mtandaoni zinaweza kugeuka na kuwa ukweli, na hatuamini tena kauli rasmi za wasemaji wa chama au serikali wanapozikanusha Baada ya kikao cha CCM kushindwa kufanyika kama ratiba ya awali ilivyopanga tunasikia kelele nyingi mtandaoni kuwa hutaweza...
  13. JamiiForums Tanzania RECORD MAJAJI WANAWAKE: Kati ya majaji 83 aliowateua Rais Samia tangu aingie madarakani mwaka 2021 Asilimia 41% au 35 ni wanawake ilikufikia 50|50

    Katika azma ya kuifanya Tanzania kinara wa kupunguza pengo la uwiano wa kijinsia kuelekea dira 2050, Rais Smia ameteua ya Majaji 35 wanawake 41%. Uwiano wa kijinsia ni moja ya shabaha ya msingi inayopewa kipaumbele mahususi na Dira2050 ambapo Tanzania inalenga kuwa kinara barani Afrika na...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia amejenga jumla ya VETA mpya 94 na 29 alizozikuta amezikarabati

    Rais Samia amejenga vyuo vya VETA 94 na amekarabati vyuo 29 Wanafunzi 440,000 wanaendelea na masomo kama msingi wa Dira2050. Serikali ya Rais Samia imekamilisha ujenzi wa vyuo 29 vya mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimeanza kutoa mafunzo, kuendelea na ujenzi wa vyuo 65 na kukarabati vyuo 29 vya...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Muda wowote Nitaeleza kwa kina juu ya wote wanaotaka Kumyumbisha Rais Samia na kuleta Vurugu na kuigawa CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Kaeni mkao wa kula ,kaeni mkao wa kufunguliwa akili na macho,kaeni mkao wa kufumbuliwa vitendawili na mabano ,kaeni mkao wa kuonyeshwa ya sirini na gizani ,kaeni mkao wa kujua ajenda ya kakikundi kanakotaka kujipachika jina la uzalendo kutimiza ajenda zake ovu na zenye...
  16. JamiiForums Tanzania Adui nambari moja wa Samia Suluhu ni Sukuma gang, sio Tundu Lissu

    TAL anatetea maslahi ya Tanganyika. Ameanza hizo harakati tangu enzi za mzee Benjamin Mkapa mpaka sasa. Sukuma gang wanatetea maslahi yao na matumbo yao Sukuma gang sio kabila bali wafuasi wote wa jiwe bila kujali makabila au asili yao
  17. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Special Thread Kumbukizi: TBT za kauli za wanasiasa zilizobamba na kuzua gumzo kwenye medani za kisiasa

    Wakuu mpo vizuri? Kuna kauli nyingi zimewahi kutolewa kitambo na wanasiasa katika nyakati mbalimbali ambazo baadhi zimekuwa zikijirudia lakini pia nyingine zimetekelezwa kama walivyoziongea hata kama baadhi au wengi wetu yuliona ni za kipuuzi. Tutumie uzi huu kutupia kauli hizo, tukiwa na...
  18. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Upinzani ndani ya CCM tatizo ni mfumo dume!

    Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya tano—wakijaribu kuvaa joho la uanaharakati na kuunyooshea kidole utawala wa sasa. Alianza Job Ndugai kwa kauli zenye miguno ya malalamiko. Akafuata Askofu Josephat Gwajima...
  19. M

    JamiiForums Tanzania H Polepole: Serikali ni kama nyumba isiyo na mwenyewe

    Balozi msitaafu Humphrey Polepole amewaomba watanzania wasimuhukumu kwa kushindwa kutoa matokeo mazuri kwenye kazi yake ya Ubalozi wa Tanzania nchini Malawi na baadae nchini Cuba kwa sababu alikuwa hapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa watendaji wa Serikali ya Rais Samia kwani wengi...
  20. JamiiForums Tanzania TASAF inatumia Tshs Bilioni 900 kuhudumiwa watu milioni 5

    Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Katika kupambana kuwatoa wananchi wanaoishi katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…