rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini Dkt Rhimo Simeon Nyansaho anaaminiwa sana na Rais Samia? Kunanini nyuma ya pazia

    Wakuu habari? Kumekuwa na minong’ono mingi mitaani na vijiweni kuhusu jina linaloendelea kuonekana kwenye teuzi mbalimbali za serikali – Dkt. Nyansaho. Wengi wanajiuliza: Ni nani huyu Dkt. anayemvutia Rais Samia mara kwa mara? Kwanini kila nafasi nyeti ya kimkakati anakuwemo? Baadhi ya...
  2. B

    PreGE2025 CCM na Serikali majibu yenu yako wapi kwenye orodha ya Watanzania waliotekwa iliyotolewa na TLS?

    Serikali na CCM mmepaparuka huko na kusema taarifa ya Gwajima ina walakini, inalenga kuleta chuki kwa serikali, kwamba inabidi serikali iseme upande wake. Orodha ya Gwajima ndio hiyo orodha ya TLS iliyokuwa na watu 80 waliotekwa/kupotea toka mwaka 2016 mpaka Agosti 2024, kama angechukua na watu...
  3. Basilla amwambia Rais Samia “Kuvujisha Siri ni utovu mkubwa wa maadili ila kufanya yanayovujishwa ni ukosefu mkubwa zaidi”

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi na Miss Tanzania wa Mwaka 1998 amezungumzia mambo kadhaa kuhusu kauli za WanaCCM wenzake, msome hapa… Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa heshima na taadhima na upendo mkuu kwako ❤🇹🇿 Kuvujisha Siri ni utovu mkubwa wa maadili,na...
  4. L

    PreGE2025 Kuna uwezekano Askofu Gwajima anamchafua Rais Samia kuelekea Uchaguzi na akitumika na wale watu waliotaka asiwe Rais

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa Kuwaambieni na kuwakumbusheni Ya Kuwa Pamoja na Katiba yetu kuwa wazi na kunyooka kabisa juu ya nini kinapaswa kufanyika pale Rais aliyepo madarakani anapofariki Dunia, Yaani Makamu wa Rais Kuapishwa na kuchukua Madaraka ya Urais kuongoza Nchi. Lakini ni...
  5. M

    Rais Samia amepoteza kanda ya ziwa- Gwajima apigilia msumari

    Katika nchi yetu, ukiona umepoteza ushwishi kanda ya ziwa ujue una hali ngumu sana ya kisiasa. Kwa sasa dalili zote za kisiasa zinaonyesha kuwa Samia amepoteza uungwaji mkono wa kanda ya ziwa. 1. Press conference ya Gwajima imeizimua kanda ya ziwa. Katika mitandao ya kijamii nimefuatilia watu...
  6. PreGE2025 Jerry Muro: Gwajima umevua nafasi ya Ubunge, ushindane na Rais. Hata kama Rais wetu ni wa hovyo kiasi gani, ni lazima tumtii

    Wakuu, "Tunajua Rais naye kuna saa anahemewa. Lakini mzee, sisi tuko kwa ajili ya kumlinda Rais wetu. Hebu kaa sawasawa. Sitaki kukujibu kwa sababu nitakukosea adabu. Naogopa kushindana na wewe, najua mashindano yako. Najua unapenda mashindano. Najua umeshahindana na watu wengi huko ulipotoka...
  7. PreGE2025 Dkt. Biteko: Milango ya Rais Samia iko wazi, anataka Tanzania moja ya watu wanaopendana na kushirikiana

    "Niwahakikishie kuwa milango ya Mhe. Rais Samia iko wazi, anataka Tanzania moja ya watu wanaopendana na kushirikiana ili kuifikisha nchi mbele kimaendeleo,” amesema Dkt. Biteko Ametaja jitihada za Rais Samia kwaajili ya kuleta amani, umoja na ushirikiano nchini kuwa ni pamoja na mikutano yake...
  8. Rais Samia hahujumiwi. Angekuwa anahujumiwa angekuwa mstari wa mbeli kukemea maovu na utekaji hadharani

    Rais wala hahujumiwi kuhusu utekaji na maovu. Haya matendo anayalea na upo uwezekano kuwa watu wake wa karibi wanaguswa kwenye matukio. Rais Samia angekuwa anatoka hadharani kukemea mambo haya na kuchukua hatua vilivyo basi tungesema anahujumiwa. Lakini hasemi wala hakemei na watu wanafanyiwa...
  9. Wazee wetu wa CCM tunaomba mumfuate na kumsihi rais atoe kauli ya kukabidhi kijiti kwa mwingine ili taifa lipone

    Tunampenda ila itoshe kusema ahsante . Kuwa kiongozi nikuwa sauti ya Mungu , naona sauti ya umungu kwake nikama imekaushwa na vilio vya kila pembe ya Tanzania. Sisi kama wanaccm kunawakati huwa tunajilazimisha tu tuwe na vichwa ngumu pale tunapowaona wapinzani wakilia ,ila ukweli hata nasi...
  10. Rais Samia: "na kama wanataka kuchukua nje wachukue lakini kwanza tufaidike ndani ya nchi" Nani kaelewa hii kauli?

  11. PreGE2025 Tunamhujumu Rais wetu kwa faida ya nani?

    Waliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahojiwe kwa zaidi ya masaa 72 . Yeah, hii ni hujma. Haiwezekani Rais wangu ninaemjua kwa uzalendo wake leo asimame na kuchukizwa na aliyevujisha mafaili ya ubadhirifu badala ya kuwapongeza kwa...
  12. Rais William Ruto (Kenya) Amjibu Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania) baada ya kutoa kauli ya kuwabagaza na kuwadharau Wakenya..

    https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg https://youtu.be/LI58lCwODxQ?si=3O5x8UYnDDmWtSL7 #Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya...
  13. PreGE2025 Mussa Zungu: Rais Samia amejivua mamlaka ya kupendekeza Mwenyekiti wa Tume, amewarudisha Wapinzani wote waliokimbia Nchi

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu akiongea na wananchi wa Dar es Salaam katika Hagla ya uzinduzi wa soko la Nyama choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti jijini hapo amesema: "Rais Samia amejivua mamlaka ya kupendekeza Mwenyekiti wa Tume, hayo...
  14. PreGE2025 Walemavu wamchangia fedha Rais Samia na kuahidi kumpa Kura zote Oktoba

    Wakuu! Drama za Uchaguzi zinaendelea...Series hii ni ya Watu wenye Ulemavu Katila Hafla ya uzinduzi wa soko la Nyama Choma la Kumbilamoto wananchi wenye ulemavu wamemchangia Fedha Rais Samia Suluhu Hassan na kumuahidi kumpa kura zote katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
  15. PreGE2025 Rais Samia ataka Tanzania ianze kuzalisha umeme wa Uranium, asema rasilimali hiyo itumike kuinufaisha nchi kabla ya kuuzwa nje

    Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Lazaro Jacob Twange, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO, akimtaka kuiongoza taasisi hiyo nyeti kwa weledi, uzalendo, na ufanisi mkubwa. Akimwelekeza rasmi kuanza majukumu, Rais Samia amesema TANESCO ni taasisi ya kimkakati inayohusiana moja kwa moja na...
  16. Rais Samia: Watumishi wa Umma wanakosa uzalendo, unateua mtu anakwenda kupiga picha nyaraka za siri na kusambaza

    Rais Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi wateule ikiwemo wa Tume ya Maadili leo Mei 24, amewataka kusimamia maadili kwa watumishi wa umma kwa nguvu na uadilifu. "Sisi viongozi ni watu na wanadamu, kuna miiko tumewekewa. Ukitufanyia tathmini leo unaweza ukatukuta asilimia 30 tu kweli...
  17. Kwa maneno ya Rais Samia nyaraka zilizovuja mtandaoni kuhusu tuhuma za Ufisadi ni za kweli

    Akiwaapisha Viongozi mbalimbali leo, Rais Samia ameelezea kushuka kwa maadili ya Viongozi wa Umma na Watumishi hadi kufikia nyaraka za Serikali kupigiwa picha na Watumishi na kurushwa kwenye Mitandao ya Kijamii. Kwa maneno haya aliyotamka Rais leo hii, ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma nzito za...
  18. Je, Wasaidizi wa Rais Samia Ni Washauri au Wasifiaji Tu?"

    Katika historia ya nchi yetu, viongozi wengi wa juu wamekuwa wakitegemea sana ushauri wa watu wa karibu — wasaidizi wao wa kisiasa, wataalamu, na washauri wa kila aina. Ushauri huu unapaswa kuwa dira ya kiongozi kuelekea kwenye maamuzi bora kwa taifa. Lakini swali kubwa linabaki: Je, wasaidizi...
  19. Rais Samia: Umeme ni Usalama wa Taifa, TANESCO isimamie vema; watumishi wa umma wazingatie maadili na uzalendo

    Rais Samia akiwaapisha viongozi wateule Ikulu Mei 24, 2024 https://www.youtube.com/live/oLtxqqshl1k?si=wTKjKGUbd7HEcD2Y Maagizo kwa Lazaro Jacob Twange Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) "Nimekupeleka kwenye Shirika ambalo ni security ya nchi yetu na hii ni baada ya...
  20. Rais Samia "umetuangusha sisi Wana wake"

    Haya maneno yanasemwa na mwanamke mmoja ambae ni rafiki mkubwa sana wa mke wangu tukiwa sebuleni mama huyo pia ni mtu mkubwa ngazi ya halmashauri. Kwakweli haikutegemewa Samia amfunike magufuli kwa maovu. Sasa tusubiri je nayeye ataiba kura amfunike magufuli? Mama unasalitiwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…