rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ametenda haki katika uteuzi wa wagombea Ubunge

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na jemedari wetu kipenzi cha Watanzania, Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan — mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini, na nuru ya wanyonge. Ameonyesha kujawa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wadau wa Sekta Binafsi wapewe nafasi ya kununua vichwa vya Treni na Mabehewa ili Reli itumike kikamilifu

    Rais Samia akiwa katika ziara Mkoa wa Pwani ameshiriki uzinduzi rasmi wa safari za mizigo za reli ya SGR, Uzinduzi wa kituo cha kimataifa Logistic cha Kwala na uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala amewataka Viongozi kuendelea kuhamasisha wadau wa sekta binafsi wa ndani na nje ya nchi kuchangamkia...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia kulivunja Bunge rasmi Agosti 3, 2025

    Rais Samia Suluhu Hassan, ametangaza kulivunja rasmi Bunge Agosti 3, 2025, ili kutoa nafasi kwa uteuzi wa wagombea wa Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu. Taarifa hiyo imetolewa leo, ikiwa ni utekelezaji wa Ibara ya 90(2)(a) ya Katiba ya Tanzania, inayompa Rais mamlaka ya...
  4. JamiiForums Tanzania RAIS SAMIA: MRADI WA MKUJU KUIWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA URANI DUNIANI

    RAIS SAMIA: MRADI WA MKUJU KUIWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA URANI DUNIANI ✅️ Azindua Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Urani Namtumbo- Ruvuma ✅️ Asema Tanzania kuwa miongoni mwa nchi 10 zinazozalisha Urani kwa wingi duniani. ✅️ Mradi kuzalisha tani laki 3 za Urani kwa mwaka ✅️ Serikali...
  5. JamiiForums Tanzania Kagera: Rais Samia awajengea wahaya vyuo 5 vikubwa vya VETA kikiwemo cha Burugo alichotumia TZS20bn Sasa pamoja na kupenda kingereza na Ufundi watajua

    Chini ya Rais Samia Vyuo vipya 5 vya VETA vyajengwa mkoani Kagera kikiwemo cha Burugo kilichogharimu zaidi ya TZS20bn. Rais Samia amepeleka shillingi Billioni 128 mkoani Kagera kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu, bilioni 4.1 kujenga shule mpya ya bweni kwa wasichana. Katika kipindi cha...
  6. JamiiForums Tanzania Chini ya Rais Samia Pato la Mkoa wa Kigoma ni zaidi ya Bajeti ya majirani zetu wa Burundi sasa Kila mwanakigoma anapato la TZS2,400,000 kwa mwaka

    Chini ya Rais Samia Pato la Mkoa wa Kigoma ni juu ya Bajeti ya nchi ya Burundi, Pato la mtu mmoja mmoja lafikia milioni 2.4. Chini ya Rais Samia hali ya Uchumi ya Mkoa imeendelea kuimarika ambapo pato la Mkoa limeongezeka kutoka shilingi Trilioni 4.1 mwaka 2020 hadi shilingi Trilioni 5.6 mwaka...
  7. JamiiForums Tanzania Sasa Kigoma Kabingo Kasulu hadi Burundi ni lami tu lakini ni baada ya Rais Samia kutoa TZS800bn

    https://youtu.be/MQdQ5Sh0Yzw?si=ltQZuh2mTXdjErYc Kuna mambo tunaweza kubishana au kubishania ila sio kazi kubwa alizofanya Rais Samia ndani ya Miaka 4. Rais Samia kwa Ushirikiano na AfDB wanajenga Barabara yenye urefu wa kilometa 305 kutoka Kabingo–Kasulu–Manyovu hadi Burundi kwa thamni ya...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu, tumia tu TV kunadi sera zako kuliko kutumia mabilioni kufanya kampeni. CCM haina mpinzani yeyote! Mpinzani yuko jela!

    Tayari mpaka Sasa tundu lissu akiwa jela na chadema ikiwa off kwa kubanwa mbavu Kila Kona na mahakama hakuna Tena matumaini ya chadema kuingia uchaguzini mwaka huu!!! Kwa maana hiyo ccm itaingia kupambana na hashimu rungwe pamoja na yule dada wa act, mpaka hapo ccm imemaliza uchaguzi...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia anakubalika kwa 70% kuliko hata Trump!

    Wanabodi Watch TBC live Akizungumza katika kipindi cha MIZANI, Stephen Wasira amesema alitembea kanda zote za Tanzania kupima joto la siasa. Aidha amesema kwa utafiti wa AfroBarometer uliofanyika mwaka 2024 umeonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 70% wakati Rais wa Marekani, Donald Trump...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Madini ya Urani ni hazina ya Taifa, tuitumie kwa busara

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema uzinduzi wa kiwanda cha majaribio cha uchenjuaji wa madini ya urani kilichopo Namtumbo mkoani Ruvuma, ni hatua muhimu na ya kihistoria katika safari ya taifa kuelekea uchumi wa kisasa unaotegemea maarifa na rasilimali za...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aendelea kugawa Bahasha za Maokoto, Msaga Sumu aokota huko Namtumbo

    Wakuu! Bahasha zinatembea, beat likipigwa! :oops: Rais samia ameendelea na "desturi" ya kugawa bahasha za Maokoto kwa Wasanii kila wanapotumbuiza kwenye shughuli zake na leo Msaga Sumu hakusalimika, kapokea zake huko Namtumbo wakati wa uzinduzi wa Kiwanda cha majaribio cha uchenjuaji wa madini...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Yumkini kesi hii ni kati ya Lissu na Rais Samia

    Mbona kesi hii inaendelea kupigwa tarehe tu kila siku bila kikomo? Mbona Mahakama haitaki kuipeleka kesi hii panapohusika haswa, yaani Mahakama Kuu? Kwanini Mahakama Kuu inakuwa na kigugumizi na kushindwa kutoa uamuzi mara moja hadi mtuhumiwa mwenyewe anaomba kesi iende mbele kwenye Mahakama...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia awasili Ruvuma kuelekea Wilaya ya Namtumbo kwa Uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Uwanja wa Ndege wa Songea, mkoani Ruvuma tayari kwa safari ya kuelekea Wilayani Namtumbo kwa ajili ya Uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited, tarehe 30 Julai...
  14. JamiiForums Tanzania Huenda waha wa Kigoma wakamshukuru Rais Samia kwa miaka mingi ijayo hii SGR ya kutoka Tabora hadi Kigoma ni nani angeijenga kwa pesa nyingi namna hii

    https://youtu.be/CR33rwJsPKg?si=q0zQsyQ7wFv3SY8h Mnafahamu, Rais Samia anajenga mradi wa SGR kutoka Tabora hadi Kigoma kilometa 506 kwa TZS5.1Trilioni sawa na $2.2bn Mtaku,buka mradi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma ni sehemu ya awamu ya sita ya ujenzi wa reli ya Standard Gauge...
  15. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 EFM si mjiite tu ECCM? Mnampongeza Rais Samia utafikiri nyie ndio wajumbe!

    Eti mnapongeza Mwenyekiti kwa kutoa majina:BearLaugh::BearLaugh: Kama nani? Wajumbe mliokuwa mnayasubiri kwa hamu ili mkachinje wagombea kwenye kura? Hiki kituo kibadilishwe tu jina ili watanzania wawe wanajue kuwa mpo kwaajili ya kutoa habari za chama, mambo mengine wakatafute kwenye vyanzo...
  16. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Naomba Kujua: Hivi Rais Samia ameshawahi Kugombea ubunge na kuchaguliwa , ni wapi na Lini?

    Kwa wale wajuvi wa Siasa na Historia kiujumla, naomba kufahamu kuhusu Majimbo aliyowahi kugombea Rais Samia, na ilikuwa ni mwaka Gani, pia je aligombea kupitia Chama Gani Nafahamu Rais Samia Amehudumu kama Waziri katika awamu mbali mbali za Uchaguzi. Pia Naomba kujua pia uzoefu uliojitokeza...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Tahliso Tunamuunga mkono Rais Samia haimaanishi kuwa Taasisi inaiunga Mkono CCM

    Naibu Kamishna wa Katiba, Sheria na Utawala Bora wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini Tahliso Bw. Aron Mzelela Seni amewaambia waandishi wa habari leo Jumatatu Julai 28, 2025 kuwa Jumuiya hiyo inamuunga mkono Dkt. Samia Suluhu Hassan kama Rais wa Tanzania katika shughuli za maendeleo...
  18. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Rais Samia asema uchaguzi mkuu Oktoba atagombea pamoja na Wagombea wa vyama vingine isipokuwa Tundu Lissu

  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Camanda wa mama: Rais Samia akabidhiwe na kuiongoza dunia nzima 2025-2030

    Camanda wa mama atamani Rais Samia aiongoze dunia nzima,Yaani awe rais wa dunia ili dunia ipate maendeleo ya haraka kama ilivyopata Tanzania ktk kipindi chake cha uongozi
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hawa watu 4,5OO waliopata ajira kipindi cha Rais Samia baada ya kuufanyia Mkoa wa Arusha mabadiliko makubwa ya kiuchumi wasiache kumshukuru sana

    Rais Samia amejenga Viwanda vipya zaidi ya 1,000 Vikitarajiwa Kuchangia TZS40bn hadi TZS60bn ya Pato lote la Mkoa wa Arusha na kuajiri walalahoi 4,500. Mkoa wa Arusha umeendelea kuwa miongoni mwa vinara wa maendeleo ya sekta ya viwanda nchini, kufuatia utekelezaji wa sera thabiti za viwanda na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…