rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Balozi Nchimbi asema yupo tayari na timamu kupokea maelekezo ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Mgombea mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amebainisha kuwa yupo tayari na timamu kuzitafuta kura za ushindi za Chama Cha Mapinduzi CCM kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2025, akiahidi pia kufanya kazi kwa bidii...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampiku Hayati Magufuli kwenye kila sekta

    Dar es salaam, Agosti 2025 – Akihutubia Taifa kwenye uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oct 29. 2025, Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imefanikisha mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii katika kipindi cha miaka minne iliyopita. Rais Samia alisema kuwa Bajeti ya Serikali...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Serikali itaajiri wahudumu wa afya 5000 ndani ya siku 100

    Dkt. Samia Suluhu Hassan mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema Serikali itaajiri wahudumu wa afya 5000 ndani ya siku 100 ili kuboresha utoaji wa huduma za afya nchini. Dkt. Samia amesema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia Suluhu: CCM kugharamia kwa asilimia 100 matibabu ya watu wasiokuwa na uwezo

    Rais Samia Suluhu amesema ya kwamba CCM ikipata ridhaa ya kuchaguliwa na wananchi kuendelea kuiongoza serikali, basi ndani ya siku 100 za mwanzo za uongozi wa serikali ya Rais Samia Suluhu, matibabu ya watu wasio na uwezo hasa kwenye magonjwa yasiyoambukiza kama sukari, figo, presha, saratani na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Tumefanya makubwa kuhakikisha taifa linarejea kwenye utulivu

    "Siwezi kusema kwamba tumefanya kila kitu kilichoelezwa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, lakini kwa ujasiri mkubwa naweza kusema tumefanya makubwa kuhakikisha nchi yetu inajengwa na Taifa linarejea kwenye hali ya utulivu tuliyozoea.” - Mgombea Urais wa CCM, Rais Samia Suluhu kwenye uzinduzi...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Tutapiga marufuku hospitali yoyote kuzuia miili ya marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu hazijalipwa

    Rais Samia: Tutapiga marufuku hospitali yoyote kuzuia miili ya marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu aliyopatiwa marehemu azijalipwa. Tutakuja na mfumo wa kuhakikisha jamaa ya marehemu wanalipa gharama, lakini sio kuziwia miili ya watu waliotangulia mbele ya haki...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Rais Samia ni kiongozi mwenye maono ya mbali, 4R zake zimeimarisha Amani, Umoja na Muungano

  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukaribu wa Mwamposa na Rais Samia, sioni ajabu washarika wa Mwamposa kupewa oda ya kufika kwenye kampeni za Mama

    Ukweli ni kuwa, bila kuokoteza watu kiujaujanja, kampeni za CCM tenu hii, lazima ziwe kituko Kuna akina sisi mpaka tutapiga pesa ili tu tukajaze kampeni zaohalafu kula hatupigi Kuna wale machinga wa kariakoo lazima waende ili tu kulinda maeneo yao, cha ajabu uchaguzi ukiisha, mgambo wapo...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna Wakati Niliwahi HKushawishi Rais Samia Asiwe na Mpinzani yeyote, Aungwe Mkono Na Vyama Vyote, Lakin Wahuni Wamebadilisha Kila Kitu

    Rais Samia alivyoanza, alileta matumaini makubwa sana kwa Watanzania. Matendo na kauli zake ziliashiria kuwa yeye ni Rais wa Watanzania, siyo Rais wa CCM. Niliwaza kuwa huyu mama kwa dhamira yake njema ya kuwatendea haki watanzania wote, ilikuwa ni fursa nzuri kwa nchi kufuta mifumo na sheria...
  10. JamiiForums Tanzania Rais wa TLS: Tumezungumza mengi na Rais Samia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na rais wa TLS, Mwabukusi - Ikulu ya Chamwino Dodoma

    UPDATES KUTOKA KWA MWAMBUSI: - Leo Nimefika Ikulu CHAMWINO kuwasilisha Majumuisho ya wadau na tulipata nafasi ya kuzungumza na Kumueleza Mh.Rais wa Jamuhuri ya Muungano kuhusu Utawala Bora,Haki zabkushiriki katika chaguzi za kidemokrasia,Masuala ya Utekwaji na enforeced Disappearance ...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Kadinali Rugambwa ikulu Chamwino mkoani Dodoma, 27 Agosti, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la kanisa katoliki Tabora, Kardinali Protase Rugambwa, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 27 Agosti, 2025.
  13. JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa ChatGPT: Rais Samia kwa sasa ndio anakumbwa na ukosoaji mkubwa

    Nimeuliza swali hili tu " Mtu gani anayechukiwa zaidi Tanzania!? na wewe unaweza uliza na majibu niloyapata ni haya: Katika historia ya Tanzania, baadhi ya viongozi wamekuwa wakikumbwa na ukosoaji mkubwa kutokana na sera na mienendo yao. Hapa chini ni baadhi ya viongozi waliokumbwa na ukosoaji...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Nyerere angekuwa hai, angemuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwa zaidi ya nusu karne sasa jina la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere limebaki kuwa mwanga wa siasa na dira ya taifa let. Baba wa Taifa alijijengea heshima kama kiongozi shupavu, mwenye maono ya mbali na mpenda watu. Aliamini katika haki, mshikamano, elimu kwa wote na mapambano dhidi ya rushwa...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia anarudisha Fomu ya Uchaguzi Mkuu muda huu Agosti 27, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Z2GEtzscmaY https://www.youtube.com/watch?v=2cTVOqAW2xg Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akirudisha fomu ya Uchaguzi Mkuu Tanzania katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Tanzania (INEC) Dodoma, leo tarehe 27 Agosti, 2025.
  16. JamiiForums Tanzania Polepole amshauri Rais Samia Kujaza Fomu za Maadili za viongozi na Mali zao ! Ashangaa kama Magufuli alikua anajaza , kwann Samia hajazi?

    Mwisho , ataja utakatishaji wa PESA KAMA matokeo ya Samia kutokwenda Kujaza Fomu hizo !!!
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mama wewe pumzika hautakiwi kugombea, lakini naona umeshupaza shingo, usitake Mungu akasirike juu yako

    Polepole: Mama pumzika hautakiwi kugombe, lakini naona umeshupaza shingo, nasema kama kijana wako sina tofauti na Dula usitake mama Mungu akasirika juu yako kwa sababu watu wengi wanalia, wape CCM haki yao.
  18. JamiiForums Tanzania Polepole: Rais Samia nakuheshimu bali sikuogopi

    Polepole: Rais Samia nakuheshimu bali sikuogopi na nitakwambia ukweli, ndio maana nilipojiuzulu nilisema wacha kwanza mama asitumie pesa yake anayowasimamia Watanzania kunilipa mimi wakati ni namkosa wakati nina muheshimu nikajiuzulu
  19. JamiiForums Tanzania Samia: Amos Makalla umekuwa kiongozi mzuri, kwa muda mfupi umeongoza kwa mafanikio makubwa kwa kukiunganisha chama chetu, sasa tumekuongezea jukumu

    Rais Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, akiwemo Amos Makalla aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha ili kuanza rasmi majukumu yao mapya katika utumishi wa umma nchini. Katika hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika Ikulu jijini Dodoma leo Agosti 26, 2025...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyowaapisha Viongozi wateule, Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Agosti 26, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=b3GTpUdBkQs Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma, tarehe 26 Agosti, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…