rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia ni Mtiifu wa Haki, Demokrasia na Mwanamapinduzi wa sera za uchumi wa watu

    Salaam Wana JF, Siku chache zijazo Rais Wetu Mpendwa Samia Suluhu Hassan atatimiza siku 100 madarakani, Kwa takribani siku 71 sasa, ambazo ameshika hatamu kama Rais wa nchi yetu tumeweza kuona mageuzi makubwa ya kimkakati, Kisera na kimfumo kutoka kwenye falsafa za uongozi wa mwendazake JPM...
  2. Kasulu, Kigoma: Maduka yafungwa kumshinikiza Rais Samia awaondoe wafanyakazi wa TRA Wilayani

    Wafanyabiashara Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma leo May 29, 2021, wameanza mgomo wakiwatuhumu baadhi ya Maafisa wa TRA kwa kuwabambikia kodi Wafanyabiashara wasiotoa rushwa kwao. Kwenye mgomo huu Wafanyabishara hao wamesisitiza kwamba wanayo orodha ya majina ya Maofisa wote wabambikizaji na...
  3. Bilioni 1.6 imeibiwa ndani ya miezi miwili na Waziri wa Fedha Mwigulu yupo!

    Mhe Rais wangu, ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kazi iendelee! Najua Mhe Rais pengine utasema huu ni ushauri wa mitandaoni na huwezi kufanyia kazi maoni ya mitandaoni,lakini haya ndio majukwaa huru kwa 100% yanaweza kukupa ushauri mzuri kuliko wale wanaokutazazma ana...
  4. J

    Sijaelewa: Ziara ya waziri mkuu Majaliwa pale Hazina inahusiana na ile report CAG aliyoagizwa na Rais Samia?

    Naomba ufafanuzi kwa wataalamu wa chunguzi. Hii ndio ile report ya January hadi March aliyoagiza Rais Samia au PM Majaliwa ameenda kivyake? Nasubiri ufafanuzi.
  5. Huyu ndiye Rais Samia ndani ya siku 69 za uongozi wake

    HUYU NDIYE RAIS SAMIA NDANI YA SIKU 69 ZA UONGOZI WAKE. Na Elius Ndabila (MHITIMU LLB-MZUMBE) Mara nyingi duniani kote kiongozi wa nchi huanza kupimwa utumishi wake kwa kipindindi Cha siku mia moja. Lakini si sheria wala kanuni ni utaratibu tu ambao watu wanadhani unaweza kusaidia kujua uwezo...
  6. R

    CHADEMA sukumeni agenda yenu ya kukutana na Rais Samia

    Kwa kuanzia hili ni muhimu na lenye nia njema. Tumetoka kwenye udikteta uliokubuhu na hivyo kuna mwanya wa kufanya reconcilliantion. Push your agenda to meet her. Na wala hamuendi kujikomba kwake, kujipendekeza, ni kuona kama kunaweza kuwa na mwanzo mpya.
  7. J

    Viongozi wa CHADEMA waeleza kuridhishwa na mwenendo wa Rais Samia

    Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe amesema Chadema ina imani na mwenendo wa Rais Samia. Hata hivyo Mbowe amemshauri Rais Samia kutoruhusu watu wachache kulichezea bunge na mahakama kwani michezo yao hatari yake ni kubwa sana kwa ustawi wa taifa. Source ITV habari!
  8. Naomba kufahamishwa kuhusu Rais Samia kumtuma Hussein Mwinyi kumwakilisha nje ya nchi

    Kama kuna mtaalamu wa masuala ya Katiba ya JMT na Itifaki za Nchi ya Tanzania, naomba mwongozo. Nataka kumuelewa Mama Samia ni mara ya 2 sasa anamtuma Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais wa JMT nje ya nchi. Je, Rais wa Z'bar ni mtu wa ngapi kiitifaki katika serikali ya JMT? Anapotumwa yeye...
  9. J

    Mbowe: Sijipendekezi kwa Rais Samia, ninachotafuta ni haki

    Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mh Freeman Mbowe amesema yeye hajipendekezi kwa Rais wa JMT Mh. Samia bali anachotaka ni kuona HAKI inatamalaki nchini na wananchi wanakuwa na furaha. Mbowe amesema hana sababu ya kujipendekeza kwa sababu CCM inatawala kwa miaka 60 sasa na viongozi wake ni wale wale...
  10. Naanza kuwaona vijana South Africa baada ya bei ya Passport kushuka

    Habari zenu wadau kati ya jambo ambalo watu hasa wenye kiu ya kutoka au kwenda njee ya nchi walilo hitaji Ni pamoja na Bei ya passport kupungua. Tangu serikali ianzishe mfumo wa passport za Ki Electronic Ni km miaka 3 imetimia ,HATI hyo ilipatikana kwa kiasi Cha shilling 150,000 Ila kwasasa...
  11. Rais Samia muulize Bilionea Alhaj Aliko Dangote alitaka umpe nini ambacho hajapewa?

    Mpendwa Rais wangu umejitahidi sana kututoa hofu wa Tanzania kuwa unaweza na jinsia yako sio kitu cha kushindwa kuongoza jahazi na tumekubali na kukupokea kwa mikono miwili yawekana kabisa ukaja kuwa mkombozi wetu kwa nchi yetu. Naamini kwa muda mrefu taifa lilikosa mtu kama wewe na moderating...
  12. K

    Rais Samia anayoyafanya yanaimarisha nchi yetu

    Wana bodi. Kama wale watafiti wakija kuwahoji wananchi kuhusu furaha yao kwa sasa,hakika hatutakuwa wa mwisho tena,tutakuwa miongoni mwa nchi tano zenye furaha Duniani. Sasa kwa maoni yangu,Huu muhula Rais Samia kaudakia katikati,lakini ni.moja ya Viongozi bora kuwahi kutokea. Hapendi...
  13. J

    Dkt. Bashiru: Namshukuru Rais Samia kwa kuniteua kuwa mbunge, hii ni heshima kubwa kwangu kwani hadi sasa tuko nane

    Mbunge wa kuteuliwa Dkt. Bashiru amesema anamshukuru sana mh Rais Samia kwa heshima kubwa na imani aliyoionyesha kwake kwa kumteua kuwa mbunge. Dkt. Bashiru amesema hadi sasa wabunge wa kuteuliwa na Rais wako wanane tu hivyo anamshukuru sana kwa imani hiyo kwake. Dkt. Bashiru amesema hayo...
  14. Rais Samia ana moyo mweupe kwenu Watumishi wa umma. Mumpe muda ili awaondolee hii kadhia

    Public servants wanalia kila kona. Na ni kweli waliumizwa kwa sababu ya roho ya yule mzee kuamini kila mtu ni mwizi. Samia is good katika hili. I can read her well. You guys will be promoted. Ataongeza tu mishahara. Poleni sana kwa kuteseka. Ninawahurumia sana ingawa wengi wa watumishi wa umma...
  15. Rais Samia Suluhu Hassan tunaomba utusaidie ukarabati wa Meli ya MV Liemba na meli ya MV Mwongozo mkoani Kigoma

    Rehabilitation of MV Liemba bado imekuwa ni historia, tangu mwaka 2017 Ziwa Tanganyika hakuna meli ya usafiri, na kuendelea kuongezeka kwa vifo vya wanachi kufia kwenye maji kwa kutumia mitumbwi na maboti ya mbao kama usafiri. Tumepoteza ajira mbalimbali kwa vijana waliokuwa wakitegemea meli...
  16. M

    Ajira za Walimu: Kigezo cha kujitolea ni kichaka cha rushwa, upendeleo na udanganyifu. Rais Samia kimulike

    Kumekuwa na upendeleo wa dhahiri katika ajira za ualimu kwa siku za hivi karibuni. Utakuta imetangazwa ajira ya waalimu wa hesabu na fizikia lakini majina yakitoka unakuta wa Biology wamo! Utakuta imetangazwa waalimu wanaotakiwa ni wale waliomaliza masomo mwisho 2017, lakini unakuta waliomaliza...
  17. RC Chalamila: Nahitaji Busara Kuuongoza Mkoa wa Mwanza

    MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amewaomba wakuu wa idara na watendaji wa Serikali mkoani humo kumuazima busara akidai za kwake pekee hazitotosha. Chalamila ametoa ombi hilo leo Jumatatu Mei 24, 2021 wakati akizungumza na watendaji, wafanyabiashara, wakuu wa idara, viongozi wa dini na...
  18. Je, picha rasmi ya Rais Samia Hassan (Hijab Nyekundu) ilizingatia "Soccer Diplomacy" baina ya Simba na Yanga?

    Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums Official Portrait ya mkuu wa nchi/serikali sio lazima iwe ya rangi nyekundu. Watanzania acheni kukariri. ========== ========== Mama yetu anaweza kwenda na Hijab Nyekundu kutazama mechi ya Simba na Yanga? Ni nani alimshauri Rais wetu kipenzi mama Samia...
  19. J

    Chadema walimpenda sana Job Ndugai na alipoenda India walimlilia, kwa sasa Chadema wanampenda Rais Samia!

    Upendo ni jambo muhimu na la baraka mbele zake Mungu. Chadema walimpenda sana Spika Ndugai na hasa pale walipobaki na Dr Tulia wakati Job akiwa India kwa matibabu walimlilia na kumuombea uponyaji wa haraka. Aliporejea Freeman alienda air port kumpokea na kumsindikiza hadi nyumbani kwake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…