rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Nape Nnauye: Kwa bajeti hii ya Rais Samia hela zitamwagika mtaani watanzania tujiandae kuzichota

    bunge wa Mtama, Nape Nnauye ameisifia bajeti ya mwaka huu ambayo ni yakwanza kwa Rais Samia Suluhu akisema ni bajeti ya watu kwa kuwa imegusa maisha ya watu moja kwa moja na kwamba vyuma vilivyokaza sasa vitaachia. Nape amesema bajeti ya Samia imekamika kila idara na ni bajeti bora sana...
  2. T

    Rais Samia tunakuomba uingilie kati swala PSSSF na NSSF

    Wakuu napenda kufahamu kama PSSSF & NSSF wamefanya mabadiliko ya kuwalipa wanufaika kwa wakati, vijana wapo mtaani hawana ajira. Mama Samia Rais wetu, yunakuomba uingilie kati hili swala, vijana wengi wanadai mafao yao ambao wangepata hizo pesa wangejiajiri wakati wakiendelea kutafuta kazi ama...
  3. M

    Rais Samia, wananchi tuna haki ya kujua kilichomo kwenye ripoti uliyoiunda kuchunguza pesa za BoT

    Ndugu Rais, Ukifunika ripoti hii unatupa wasiwasi sisi wananchi kuwa unalinda upigaji na ufisadi, na hili litakuandama kisiasa kwa muda mrefu sana. Ndugu Rais, uchunguzi wa hizi pesa uliuagiza hadharani, wananchi tukishuhudia, tukisikia, na kwa hiyo tuna haki ya kujua je pesa zetu ziko salama...
  4. Ummy Mwalimu mshauri Rais Samia afute tangazo la kulivunja Jiji la Dar es Salaam

    Katika maamuzi ya kushangaza ya mwendazake, yaliyofanywa bila consultation, ni lile la kuvunja Jiji la Dar es Salaam, na kuifanya eti Ilala ndio Jiji. Mh. Ummy, mshauri Mh. Rais aagize consultation kwanza kwa lengo la kufuta uamuzi huo.
  5. Rais Samia, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi - Singida achunguzwe na TAKUKURU. Madaftari ya million 10?

    Ujumbe huu ukufikie wewe Rais wangu mpendwa pamoja na DG mchapakazi wa PCCB CP Salum Hamdun. Nibkuhusu DC Wilaya ya Ikungi Ndg Edward Mpogolo kugawa madaftari yenye thamani ya million 10. Inawezekanaje wakati huu wa Likizo DC anagawa madaftari tunayoambiwa yana thamani ya milion 10 kwa shule...
  6. Nitamwamini na kumuunga mkono Rais Samia atakapotatua suala la fao la kujitoa

    Habari! Sasa ni awamu ya 6 kwa mujibu wa Rais mwenyewe na serikali yake. Rais Samia Suluhu nitakuunga mkono kama utaondoa dhuluma hii kwa vijana. Kumnyima kijana asichukue fedha yake kwenye mfuko wa kijamii mara baada ya ajira yake kukoma ni dhulma isiyovumilika. Hebu vuta picha kijana...
  7. Rais Samia ameanzia Mwanza Kujenga Hekalu letu: Tayari kamaliza msingi, kuta na linta, bado kuezeka

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Mwanza anatafakari kuhusu Ramani ya Kimkakati (Strategy Map) iliyo muhtasari wa ukurasa mmoja wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa 2021/22 hadi 2025/26 (uk. 70) Tangu serikali ya wamu ya sita, chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, ilipoanza kazi nimekuwa najiuliza...
  8. B

    Rais Samia: Rais haruhusiwi kukaa mkoa mmoja kwa zaidi ya siku tatu

    Mabibi na mabwana mheshimiwa Rais wetu mpendwa mama Samia amepasua mbarika tena leo. Akiongea na vijana Mwanza, mh. Rais katamka angependa kuendelea kukaa zaidi Mwanza, ila taratibu na sheria hazimruhusu kukaa zaidi ya siku 3 katika mkoa mmoja. Bila shaka akimaanisha kukaa siku 3 mkoani nje ya...
  9. Rais Samia, ulitaka kutuhutubia au kuzungumza nasi?

    Binafsi nilijiandaa sana kuja kuongea na Mh. Rais nimweleze changamoto na masuluhisho kadhaa kwa baadhi ya changamoto tulizo nazo vijana mitaani. Achana na mawaziri hawajui changamoto zetu sababu hawajavaa viatu vyetu. Mimi sikuja na chama chochote. Nilikuja na hoja na naona ntaondoka nazo kama...
  10. Rais Samia, ni sawa kutaka tuanze upya lakini lazima tuwe na pa kuanzia

    Rais Samia mara baada ya kuapishwa alisema, tuanze upya. Sentensi ile ilibeba maana nzito iliyofichika kwa wasiotaka kutafakari. Unaanza upya pale ambapo unaamini ulikosea, na ili uanze upya ni lazima ufahamu ulipokuwa, ulipokosea na namna ulivyokosea, ili unapoanza upya usiingie kwenye makosa...
  11. Mwanza: Rais Samia aongea na Vijana wa Tanzania katika Uwanja wa Michezo wa Nyamagana

    Katika muendelezo wa Rais Samia kukutana na kuongea na Makundi mbalimbali nchini, leo ataongea na Vijana wa Tanzania kupitia vijana wa mkoa wa Mwanza katika Uwanja wa Michezo wa Nyamagana. Taarifa zaidi zinafuata: Mkuu wa mkoa wa Mwanza ameanza kwa kuwatambulisha watu mbalimbali kwa...
  12. MATAGA wadhibitiwe, wanamkwamisha Rais Samia Suluhu

    Naingia kwenye mada moja kwa moja nisiwachoshe. Baada ya mwendazake kufanikiwa kuiharibu hii nchi kwa kubaka Uchaguzi Mkuu wa 2020, sasa CCM inaongoza nchi nzima kuanzia Balozi hadi Rais. Mwendazake aliwahi kusema kwamba CHADEMA ndio wanamkwamisha kuwaletea wananchi maendeleo, hivyo akaamua hata...
  13. Ndani ya siku 100 za Uongozi wake, Rais Samia amefanya mambo makubwa

    NDANI YA SIKU 100, RAIS SAMIA AMEFANYA MAMBO MAKUBWA Wanaandika Ndugu Twahir Abasi Kiobya na Denis Shanyangi Kama kuna jambo lolote linalonipa amani na Faraja kwenye nafsi yangu katika siku 100 zilizopita, basi ni kuona kuwa tuna rais wa aina ya Mama Samia Suluhu Hassan. 1. Ndani ya siku 100...
  14. K

    Waandishi andikeni kuhusu Crypto Currency

    Kauli ya Mama, Dunia imeandika. Bongo je? Blogs za Bongo mnaandika nini hii ni hot cake info inaweza kuwapa mileage. Fanyeni utafiti andikeni kwa Kiswahili watu wasome na kuelewa.
  15. Nyamagana, Mwanza: Bendera ya CHADEMA yaonekana kwenye mkutano wa Rais Samia

    Kwa mara ya kwanza since 2016 leo nimeona bendera ya CHADEMA inapeperushwa sehemu ambayo Rais anahutubia, heko Mama samia, juhudi zako za kuirudisha demokrasia iliyominywa kwa kipindi hicho zinaonekana. Hii ina maana kwamba wateule hawana hofu na unafiki tena kwa mamlaka ya uteuzi (Enzi za...
  16. Ushauri kwa DPP: Kutekeleza nia njema ya Rais Samia, kuona Haki ikitendeka; je, tumchagize DPP kutumia Nolle kufuta kesi zote zinazosuasua?

    Wanabodi, Jumatatu ya leo, naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili, makala ya leo ni swali la ushauri wa Bure kwa DPP, kwa vile Rais Samia, ameishaonyesha nia njema ya kutaka Watanzania watendewe haki, Jee...
  17. Mwanza: Rais Samia akagua Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo -Busisi), na Mradi wa Maji Misungwi

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan yuko katika siku ya 2 ya ziara yake Jijini mwanza ambapo leo tarehe 14 Juni, 2021 atakagua Mradi wa Ujenzi wa Daraja la JPM (Kigongo -Busisi), utafungua Mradi wa Maji Misungwi na kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) (Mwanza - Isaka). Tutapeana...
  18. Mambo 6 Atakayoyafanya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Kwenye Ziara Yake Ya Siku 3 Mkoani Mwanza

    MAMBO 6 ATAKAYOYAFANYA MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE ZIARA YAKE YA SIKU 3 MKOANI MWANZA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Mhe Samia Suluhu Hassan anaanza rasmi ziara ya siku 3 mkoani Mwanza kuanzia leo Jumapili Juni 13, 2021. Haya ndiyo mambo 6 atakayoyafanya...
  19. Rais Samia anafanya kazi kwa weledi sioni upinzani kama una tija kwa sasa

    Habari ndugu Wana JF Nimekua nikifuatilia habari na matukio yanayoendelea hapa nchini kiukweli nimpongeze Rais wetu Samia kwa kuamua kuongoza nchi kwa kutumia Sheria na utawala bora. Wote tumeshuhudia akijenga mahusiano mazuri na nchi nyingi huko duniani lakini ameonyesha njia katika kutatua...
  20. Amos Makalla: Uhalifu utabaki Historia Dar. Amwambia Rais Samia kama shughuli imepata Mwenyeji

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla amempongeza Rais Samia kwa kazi Nzuri anayoifanya ikiwemo tukio alilofanya leo kuendelea kuboresha huduma za Afya. Makalla amemuhakikishia Rais Samia, yeye kama mkuu wa Moka wa Dar na mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na Usalama kwamba Mkoa uko Salama na kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…