rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa “nonsense” ya Sukari, Rais Samia anastahili pongezi. Je, tuishie kwenye "nonsense" ya Sukari tu au tuangazie na "nonsense" nyingine zote?

    Wanabodi, Hili ni bandiko lililotokana na makala yangu hii, kwenye Safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa", kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili. Kila nipatapo muda, huja na hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huja kwa mtindo wa swali, halafu jibu utatoa wewe msomaji...
  2. JamiiForums Tanzania Napingana na hoja kuwa Rais Samia hawezi kumfunika mtangulizi wake, kimsingi atamfunika parefu sana

    Nawakumbusha wana CCM wenzangu na watanzania kwa ujumla. Rais wa Tanzania ni Samia Suluhu Hassan. Na sasa ni awamu ya 6. Rais Samia atakuwa madarakani kwa miaka 9. Rais Samia, the irone lady with smart brain anakwenda kufanya transformation kubwa kwenye viwanda, uwekezaji na huduma za kijamii...
  3. JamiiForums Tanzania Forbes yamtaja Rais Samia Suluhu Hassan katika Wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani mwaka 2021. Yupo nafasi ya 94

    Samia Suluhu Hassan became Tanzania's sixth president and first-ever female leader in March 2021, following the death of President John Magufuli. She rose to the position from vice-president, a role to which she was first elected in 2015. In September, she became just the fifth-ever female...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwaaminisha watu kuwa awamu ya tano kulikuwa na Ufisadi kutakumaliza kisiasa

    Kwa aina ya watu aliowateua tangu ameingia madarakani. Kwa kauli zake dhidi ya Magufuli na kwa matendo yake ni ukweli ulio wazi Wananchi wanaona wamepoteza kuliko kupata. Anayesema Awamu ya tano kulikuwa na Ufisadi na Anayesema Awamu ya sita ufisadi Umerudi nani anaaminika? Mama Ulipojitenga...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Uthubutu wa Rais Samia unaifungua nchi kiuchumi na kimataifa

    SHAKA: UTHUBUTU WA RAIS SAMIA UNAIFUNGUA NCHI KIUCHUMI NA KIMATAIFA Katibu wa halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akitoa salaam za Chama Cha Mapinduzi wakati wa uzinduzi rasmi wa kiwanda cha kuzalisha vifaa vya umeme kilichopo kata ya Kisarawe II wilaya ya Kigamboni...
  6. JamiiForums Tanzania Haya yananionesha kwamba Rais Samia anataka Demokrasia na Maridhiano

    Nafuatilia mijadala hasa kupiti Twitter. Watu wengi ambao wanaonekana ni experts wa vitu vya siasa wanaongelea sana kuhusu 'maridhiano' na demokrasia. I think term 'maridhiano' inakuja kwa sababu ya mambo mengi yaliyotokea huko awamu ya tano. Ila Rais Samia anaonesha wazi kwamba anataka sana...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, "Kama nimekubali kubeba mzigo wa kuongoza hii Nchi, kuna mambo kadhaa yaliyoelekezwa ndani ya Ilani niyatimize. Sitayatimiza kwa kukaa Ofisini Dodoma au hapo Magogoni, lazima nizunguke nitoke nikaonane na watu" Ameeleza hayo leo katika Uzinduzi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Maajabu haya: Shaka asema Ajira zaidi ya milioni 35 zimezaliwa miezi sita ya Rais Samia

    Tanzania ina watu wanaokimbilia milioni sitini ikijumuisha watu wenye uwezo wa kufanya kazi na wasio kwenye kundi hilo kama watoto na wenye umri mkubwa. Sasa ndugu Shaka anasema miezi michache ya Rais Samia Tanzania imepata uwekezaji wa dola bilioni 3.5 ambapo imezaa ajira zaidi ya milioni 35...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Tulichongewa tulisimangwa na tulisingiziwa na kunyanyaswa lakini nashukuru Rais Samia ameujua ukweli

    Mbunge wa Nzega vijijini Kigwangalla ameandika kwenye ukurasa wake twitani kwamba, Tulionewa Tulisimangwa, Tulisingiziwa na Kunyanyaswa na watu waliokuwa na access lakini sasa mambo yao yako wazi tena yana ushahidi. Namshukuru Rais Samia kwa kuliona hilo. Kiukweli Lumumba moto unawaka sawia na...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia alikosea Mwanzo hawezi kurekebisha kwani tayari ameshaharibu

    Mimi niliuona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza Rais Samia kabla ya kujijenga kisiasa alitakiwa kwanza awe mtulivu atengeneze urafiki na wapiga kura wake awafariji...
  11. JamiiForums Tanzania Koh Koh Koh.. Mbona Rais Samia Kama Kayaona ya Magufuli?

    Sijui ni mimi tu, macho yangu au masikio yangu? Huku Bandari mbona kama kunaumiza kichwa sana Marais? Rais Samia jana kazungumza kama Magufuli, Kachukua hatua za papo hapo kama enzi za Magu na anajitangaza kusimama na wananchi kama Magu alivyokuwa anajitangaza kusimama na wanyonge. Sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia usilalamike, unachokisikia ndio kinasemwa nchi nzima, kubali tu yaishe!

    Leo kwa mara ya kwanza Rais Samia amekuja hadharani na kukiri wazi kuwa anaongoza serikali iliyogawanyika vibaya, amezungukwa na wasaidizi wanao mhujumu wazi wazi na yuko kwenye vita kali ya kuupambania urais wake kwa hali na mali. Hali ni tete mnoo kwake, na hatakubali! Bila kumumunya maneno...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Zitto: Hata kesi ya Mbowe ni jumba bovu kwa awamu ya 6. IFUTWE!

  14. B

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia afanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya

    Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashtukia upigaji Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA)

    Kutoka ziara ya Rais Samia, Bandari Kuu Dar es Salaam. Ujenzi wa matenki ya kuhifadhia mafuta, kwanini TPA ilianza ujenzi wa matenki mapya wakati PUMA ina matenki yako tupu na hayatumiki kwanini yasitumike hayo kulikuwa na sababu gani ya kujenga mapya kama sio uchochoro wa kupiga fedha??? 2...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya rais Samia ni dhahiri awamu ya tano ilikuwa 'One Man Show'

    Rais amesema " upigaji ulifanyika awamu ya tano lkn jumba bovu inaanushiwa awamu ya sita. Sitakubali". Kama angekuwa mshiriki mkuuktk uendeshaji wa serikali ya awamu ya tano rais SSH asingekubali hata awamu ya tano idhalilike. Lkn anaona ni sawa kwakuwa hakuhusika kwa chochote. Alikuwepo kama...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia chukua hatua kali zaidi, ulikuwepo Awamu ya Tano na sasa upo Awamu ya Sita, unaijua serikali barabara!

    Rais wangu mama Samia Suluhu Hassan kuendesha serikali yenye kupata mafanikio si jambo la lelemama hata kidogo, kama unatafuta kupendwa,fahamu utapendwa na wachache ila utachukiwa na wengi sana na mwisho wa siku historia itakuhukumu. Nikupe mfano, kwa kinachoendelea bandarini, kama ukweli uko...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, usijenge Bandari ya Bagamoyo utaiua nchi kabisa

    Nipende kumuomba CDF amshauri Rais asijenge Bandari ya Bagamoyo kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kuliua Taifa Kabisa. Nimemuomba CDF kwani yeye ndiye mkuu wa majeshi ya Ulinzi, na ulinzi ni pamoja na kuangalia uhai wa Taifa, sio kwa mtutu wa Bunduki tu na mizinga bali hata kwa ushauri wenye...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia kushinda uchaguzi ujao kwa Asilimia 86% kihalali Uchaguzi ujao 2025

    Hadi sasa umaarufu wa Rais Samia unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi. Vijana, wasomi, wakulima na wafanyabiashara wanazidi kumuelewa Rais Samia na wanaona unafuu mkubwa wa maisha tangu Rais Samia kushika Madaraka Mwezi March mwaka huu. Hivyo hakuna wa kumzuia Rais Samia katika uchaguzi...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kwa sasa

    Rais wa JMT Mama Samia amesema kwa sasa Serikali yake haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kutokana na hali ya kiuchumi ya Taifa letu kwa sasa. Akijibu ombi lililotolewa na Mbunge wa jimbo la Mbagala mkoani Dar es salaam aliyetaka jimbo hilo lipewe hadhi ya Wilaya, Rais Samia amesema hali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…