rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia aduwaza wachumi nchini

    Kazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi. Hii ni baada ya akiba ya fedha za kigeni (Gross official foreign reserves) kuongezeka zaidi ndani ya miezi miwili tu nakufikia $6.7BL sawa na TZS 15.41 kutoka $5.9BL sawa na TZS 13.57 mwezi Septemba. Ongezeko...
  2. Rais Samia atuma salamu za pole kufuatia kifo cha mzee Kassum

    RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa pole Watanzania, wanafamilia kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Fedha na Utawala wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Waziri Mstaafu wa Wizara tofauti kwenye Serikali ya awamu ya kwanza na pili, Al noor Kassum...
  3. Rais Samia apewe muda, hatumii uongo wala propaganda. Anakuwa Rais wa Kwanza kuleta maendeleo ya kweli

    Awamu ya tano kona kona zilikua nyingi na huu sio wakati wa kumlaumu yoyote, kila mtu anajua propaganda na uongo na maamuzi ya mtu mmoja yalitawala. Wanufaika wakatumia kila njia kuziba mifumo wananchi na kuwatisha kwa kila namna. Kama tukifatilia mienendo ya awamu ya tano ni Rais Samia na...
  4. Rais Samia: Naamini Tanzania bila Rushwa inawezekana

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Maendeleo ya Nchi huletwa na Wananchi wake. Amesema hayo akiwa kwenye Mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Zanzibar. Amesema Sheria za Tanzania Bara na Zanzibar zimetoa Uhuru (usiovunja Sheria) kwa watu kufanya kazi. Ameongeza kuwa ataendelea...
  5. S

    Rais Samia: Nimefikwa na janga la kupewa kiti cha Urais, Mumenishika mkono na kuniombea afya njema

    Rais wa JMT mhe Samia amewashukuru wanawake kwa kumpa support ktk kipindi hiki kigumu ambapo amefikwa na janga la kupewa kiti cha urais. (Source: TBC1) Nini maoni yako juu ya kauli hii ya mhe rais Samia?
  6. Rais Samia amezungumza kwa simu na Balozi wa Shina Namba 1, katika Kata ya Komunyika, Wilaya ya Kasulu, Kigoma

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na Balozi wa Shina Namba 1, katika Kata ya Komunyika, Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma, Ndugu Juma Ahmed Rugina na kumpongeza kwa kuongoza shina hilo kwa miaka ishirini. Balozi Mzee Rugina amezungumza na Rais Samia kupitia simu ya mkononi ya Katibu Mkuu wa...
  7. Rais Samia amefanya uzalishaji uongezeke, tutakaa sawa

    Ni hivi, hicho kipindi mnachosema umeme ulikuwa haukatiki, ulikuwa haukatiki majumbani. Japo pia tuwe wakweli kwamba ulikuwa unakatika lakini sio kwa kiwango hiki, lakini ULIKUWA UNAKATIKA. Hata hivyo katika kipindi hicho, biashara nyingi zikiwemo VIWANDA zilifungwa. Watu walikuwa hawazalishi...
  8. January Makamba hawezi kufanya propaganda mbele ya Rais Samia. Huu ni wakati wa vitendo, January chapa kazi

    Mifuko ya plastic nchi hii iliondolewa bila hata Mende kuguswa kitu ambacho mwendazake na serikali nzima hawakuamini. Wananchi wa Tanzania walistaajabu uwezo na akili yake na mikakati yake kufanikisha suala la mifuko bila kutumia polisi wala vyombo vingine vya Usalama. Kila moja anakumbuka wivu...
  9. Godbless Lema: Rais Samia na Makamba wanatafuta mbinu za kumbebesha lawama hayati Magufuli

    Mbunge wa zamani wa Arusha mjini aliyetimkia Ulaya baada ya maisha kumpiga kwa kuzidiwa na madeni Godbless Lema amefichua mbinu chafu za kutaka kumsingizia kila kitu na kumtafutia lawama aliyekuwa Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli. Lema amefunguka zaidi kwa kusema Rais Samia na waziri wake...
  10. Rais Samia, tengua uteuzi wa Waziri Makamba na Bodi nzima ya TANESCO. Au na wewe una maslahi na kinachoendelea?

    Kauli yako, ya waziri mkuu na ya waziri January Makamba inaonyesha kuna udanganyifu mkubwa sana kwa mamlaka unaoendelea nchini. Kauli zenu ndio zinafanya Watanzania watilie shaka weledi wenu kama viongozi wakuu wa nchi. Teuzi ya January Makamba imebuma mapema mno, unasubiri mambo yaharibike...
  11. Rais Samia muwajibishe Gerson Msigwa na Mramba, wameongopa kuhusu ongezeko la uzalishaji umeme

    Rais Samia sikupangii ila inapaswa kumuwajibisha Msemaji mkuu wa serikali na Felchesim Mramba ambae sasa ni kamishna wa umeme na nishati Tanesco. Kwanini uwawajibishe Tarehe 10 mwezi huu wa 11, wiki moja iliyopita kulikuwa na mkutano wa waandishi wa habari na mawaziri na watendaji mbalimbali wa...
  12. J

    Rais Samia: Tuko Uchumi wa Kati tumepanda daraja na misaada kutoka kwa Wafadhili inapungua sana

    Rais Samia amesema kuingia kwetu katika uchumi wa kati ni kupanda daraja na wafadhili wanapunguza sana misaada kwa sababu sasa tunastahili kujitegemea kwa kiasi kikubwa. Rais Samia amesema hayo katika sherehe za miaka 50 ya hospitali ya Bugando na kuwataka watanzania wafanye kazi kwa bidii...
  13. Mabomu ya awamu ya 5 yanaweza kumlipukia Rais Samia

    Nimesoma Twitter, Zitto Kabwe akitoa maoni kuhusu umeme. Zitto anasema katika miaka mitano iliyopita hatukuongeza uzalishaji wa umeme wa maji na ukweli ni kwamba uzalishaji ulipungua. HILO LILIKUWA BOMU LA KWANZA LA SERIKALI YA WAMU YA 5 ambalo lazima kuna siku lingelipuka. Hili hapa...
  14. Rais Samia aagiza vyanzo vikuu vyote vya maji kuwekewa ulinzi. Asema, "Hatuwezi kuweka rehani maisha ya Watanzania"

    Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Wakuu wa Mikoa yote pamoja na Kamati za Ulinzi za Mikoa na Wilaya kuhakikisha Ulinzi unawekwa kwenye Vyanzo vyote vikuu vya Maji, na kutosita kuchukua hatua za Kisheria Amesema, "Utekelezaji wa Agizo hilo unaanza mara moja, hatuwezi kuweka rehani maisha ya...
  15. Rais Samia akiri kuwepo upungufu wa umeme, Makamba alisema ni 'scheduled maintainance'

    Rais Samia akiwa mkoani Mwanza amesema anatambua uwepo wa upungufu wa umeme ikimaanisha vyanzo vilivyopo havikidhi mahitaji yaliyopo. Waziri wetu wa nishati aliliongelea suala la kukatikatika kwa umeme chanzo chake ni marekebisho ya mfumo wa zamani. Tunaandaliwa kwa umeme wa dharura?
  16. J

    Rais Samia: Mgao wa maji unatokana na ubishi na ukaidi wa binadamu pia na kudra za mwenyezi Mungu

    Dar es Salaam kuna mgao mkubwa wa maji kwa sababu mto Ruvu umevamiwa na binadamu na kuchepusha maji. Pili maelfu ya mifugo yanayoingizwa kwenye mito kunywa maji yamepunguza kiasi cha maji kwani ng'ombe mmoja kwa mfano hunywa lita 40 za maji kwa siku. Tatu ni ukataji miti hovyo hali inayoharibu...
  17. L

    Mwanza kiwingu cha mvua kimetanda. Rais Samia Suluhu karibu sana

    Katika kuazimisha miaka hamsini ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, tumeshuhudia ugeni mkubwa wa Mh. Rais Samia S. Hassani, watu wamejitokeza kwenye viunga vya Jiji la Mwanza kumpokea. Tunaomba uongeze nguvu katika hospitali yetu ya Bugando iweze kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi wa...
  18. Rais Samia ameshindwa kutolea tamko matatizo ya Umeme na Maji yanalolikumba Taifa?

    Ukimya sawa na pengine ana kazi nyingi ambazo kwalo huenda wasaidizi wake wanamjazia mafaili ili kumzubaisha na ili asitambue changamoto za hapa na pale ziwahusuzo Watanzania. Lakini kwa changamoto ya umeme na maji inaloikumba Taifa kwa sasa si kitu kilichojificha na ni ukweli kwamba Samia...
  19. Ziara ya Rais Samia Misri imelipa haraka

    Kampuni ya kimataifa kutoka nchini Misri itawekeza nchini TZS bilioni 460 katika ujenzi wa viwanda 100 vitakavyozalisha ajira za moja kwa moja 10,000 na zisizo za moja kwa moja. Haya ni matokeo ya ziara ya Mheshimiwa Rais, Samia Suluhu Hassan nchini. Maosemaga hizi safari ni kufuja mali, mjue...
  20. J

    VIDEO: Hizi hapa faida za ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Misri

    Hakika nchi inafunguka kweli kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kwawale msiopenda nchi yetu ipate maendeleo kama mtaji wenu wa kisiasa awamu hii mtateseka sana. <<<Angalia mpaka mwisho >>>
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…