rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Ridhiwani: Serikali ya Rais Samia ukiibipu kwenye maendeleo inakupigia, tutekeleze majukumu yetu na kutoa taarifa

    RIDHIWANI: SERIKALI YA RAIS SAMIA UKIIBIPU KWENYE MAENDELEO INAKUPIGIA, TUTEKELEZE MAJUKUMU YETU NA KUTOA TAARIFA. Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Rais Samia ukiiambia unataka madarasa mawili au matatu yote...
  2. Mbowe: Nimemwambia Rais Samia Mambo Mazito Sana, vijana wetu wana mihemko, nina deni sijui nitalipaje

    "Nilikuwa na mambo mazito sana ya kumwambia mama (Rais Samia Suluhu Hassan) na ninashukuru aliyapokea, sasa kama aliyapokea kwa nia njema basi ni muda ndiyo utaongea, tumezungumza kwa muda wa kutosha, kwa sasa itoshee hapo. “...Vijana wetu wana mihemuko...’mwenyekiti katuuza nini? Harakaharaka...
  3. R

    Naiona Tanzania Mpya chini ya Rais Samia ni ya kuigwa. Vijana tujiandae kwa mabadiliko

    Mabadiliko yanapotokea ni ngumu sana kuyapokea. Bahati nzuri ni kwamba hata yawe magumu kivipi lakini huwa inawezekana. Siasa za Ulaya na Marekani zilikuwa na sura sawa na hizi za Tanzania na Afrika miaka 200 iliyopita. Sasa Mh Rais Samia ameamua baada ya kutafakari na kugundua kuwa siasa za...
  4. Hivi hii katiba ya sasa ya mwaka 1977 inamlinda Rais Samia kukaa madarakani? Kwanini CCM hawataki Katiba Mpya?

    Hivi kwanini tusipate katiba mpya ambayo itaondoa kelele na malalamiko? Katiba ambayo itaruhusu ucahguzi wa rais kurudiwa kama kuna wizi wa kura. Katiba ambayo itaruhusu wananchi kuvunja serikali ambayo haiwatumikii inavyotakiwa? Kwanini watawala wa CCM hawataki katiba mpya na huku rasimu ipo...
  5. M

    Shaka Hamdu Shaka atuma neno kwa Freeman Mbowe amsifu Rais Samia

    "Ibara ya 118 ya ilani ya uchaguzi ya CCM inaeleza Katika kipindi cha miaka mitano ijayo, Chama Cha Mapinduzi kitaendelea kuheshimu na kulinda misingi ya demokrasia na haki za binadamu kwa ajili ya kudumisha umoja, amani na ustawi wa Taifa kwa kuzingatia Katiba ya Nchi" "Namshkuru Mhe Freeman...
  6. Rais Samia amkumbuka Juma Nature, hii ni heshima kubwa kwa mkongwe huyu wa Bongo Fleva

    Nukuu ya Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa jingo la benki, Machi 5, 2022 amemtaja staa mkongwe wa Bongo Fleva kwa kunukuu moja ya mstari wake aliowahi kuuimba kwenye kazi zake za muziki. Hii hapa nukuu ya mama Samia: "Mwanangu Juma Nature alisema, kwani wao...
  7. Kuachiwa huru kwa Freeman Mbowe na wenzake hakuna sababu nyingine isipokuwa ushahidi wa Jamhuri kutothibitisha mashitaka

    ASIKUDANGANYE MTU, kwa propaganda yoyote kuwa DPP kutangaza kutokuwa na nia ya kuendelea na mashitaka ya tuhuma za ugaidi na uhujumu uchumi dhidi ya M/Kiti wa CHADEMA - Taifa ndugu Freeman A. Mbowe na wenzake eti ni kwa sababu zingine zozote zile bali ilikuwa ni suala la muda tu siku hii ifike...
  8. Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

    Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe Ikulu Mkoani Dar Es Salaam. Rais Samia amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kushirikiana ili kuijenga Tanzania kwa kuaminiana na kuheshimiana kwa misingi ya haki. Mhe...
  9. Polisi, hili mnalolifanya linamuaibisha Rais Samia Suluhu

    Mtaani mama Samia Suluhu Hassan anaonekana kama viatu vinampwaya, lakini sababu watendaji wake wako usingizini na wameshindwa kusimamia sheria kikamilifu. Hili ni gari ya wahuni wa Mwananyamala, wanajulika na shughuli haramu zinajulikana. Limewekewa namba nyeusi, zisizosomeka kirahisi na...
  10. Shilingi Bilioni 891.5 za Rais Samia zilivyotumika mtaa kwa mtaa

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amezungumzia mafanikio ya mwaka mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita, amezungumza akiwa katika Ofisi za Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), leo Machi 4, 2022. Haya hapa ni baadhi ya mambo muhimu ambayo ameyazungumza ambayo yamekuwa na faida...
  11. M

    Bila Rais Samia Suluhu, Freeman Mbowe angeozea jela. Upinzani fuateni sheria

    Kaka yangu Freeman Mbowe Pole na hongera kwa kuachiwa huru kwa amri ya amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, Karibu tena uraiani,Sisi Watanzania kwa sasa ni wamoja pengine kuliko wakati wowote wa historia ya Taifa hili. Pole pia tumetaarifiwa unatatizo la...
  12. Rais Samia kataa kutumika kupitia sherehe ya mwaka mmoja wa utawala wako. Kuna pesa zinachangishwa

    Mama Samia kama unajua ama haujui kuna jambo baya linafanyika kupitia utawala wako. Nimetembea ofisi za binafsi hasa mabenki kutokana na nature ya shughuli zangu za binafsi nimekutana na jambo la hofu sana. Kuna barua zinazambazwa kuomba mchango wa kufanikisha sherehe za mwaka mmoja toka...
  13. S

    Wamasai wa Ngorongoro wanatumika na mabeberu kumchafua Rais Samia?

    Kwa namna mama anavyo lishughulikia suala la wamasai wa Ngorongoro hakika anastahili pongezi. Ni kwa njia shirikisho na jumuishi. Sasa hawa Wamasai wanachopigia kelele mpaka kwenye vyombo vya kimataifa kama Al Jazeera ni kipi? Na Al Jazeera kinachowafanya waendeshe mjadala hiyo jana wa upande...
  14. Nashauri Rais Samia amteue Dkt. Slaa kuwa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania. Uzoefu wake kisiasa, kukubalika na wapinzani kutambeba

    Namshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dkt. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za upinzani Tanzania.
  15. B

    Rais Samia arejea kutoka Dubai na makubaliano 36 yaliyobeba trilioni 17.1 zenye ajira 204,575

    Na Bwanku M Bwanku Leo Jumanne kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua ziara ya siku 3 ya Rais Samia Suluhu Hassan kule Falme za Kiarabu (UAE) ambapo Jana Jumatatu Februari 28, 2022 alirejea nchini kutoka kwenye ziara hiyo ambayo pamoja na mambo mengine alishiriki matukio mawili...
  16. Serikali kufanya maadhimisho ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani

    Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, ndugu Gerson Msigwa inasema kuwa serikali kuadhimisha mwaka mmoja wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan toka alivyoingia madarakani 19/03/2021 kufuatia kifo cha Rais John Magufuli. Katika maadhimisho hayo kutakuwa na shughuli mbalimbali...
  17. M

    Rais Samia pamoja na ziara yako nzuri huko UAE, Suala la Ngorongoro liwe nje ya ajenda

    Mheshimiwa Rais, Umefanya ziara ya kikazi huko UAE, hilo ni jambo zuri tunalifurahia Lakini wakati ukifanya Ziara hiyo, Watanzania hatujasahau kuwa Kampuni ya waarabu wa UAE iitwayo OBC imekuwa ikimezea mate ardhi ya wananchi inayokaliwa na wamasai huko Ngorongoro. Tuna historia nzuri namna...
  18. Dubai: Rais Samia ashuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uwekezaji ya thamani ya Trilioni 17

    Jamani amkeni amkeni Huko Dubai mambo ni moto balaa! Leo hii Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa mikataba zaidi ya 30 ya uwekezaji Tanzania yenye thamani ya fedha za Tanzania zaidi ya Trilioni 17 na itakayotoa ajira kwa Watanzania za moja kwa moja zaidi ya laki 2...
  19. Natafuta Audio Clip ya zaidi ya Dk 5 ambayo Rais Samia anazungumza Kiingereza

    Nitafurahi sana nikipata audio Clip ambayo itazidi dk 5 Rais wetu Mpendwa akichana mistari kwa kiingereza katika mahojiano au maelezo flani sehemu yoyote. Iwe imenyooka haijaungwa ungwa. Nitafurahi sana. Tuachane na haya madai ya watu kuwa yeye huwa mara nyingi anasoma tu. Tunataka kuwaonesha...
  20. Watanzania Tunashukuru Mungu kwa kutupa Rais Samia, yule Baba angetutoa roho

    Salaam Wakuu, Pamoja na mapungufu ya mambo ya vyama vya Siasa na Malalamiko ya Demokrasia, safari hii nafuu kuliko wakati ulopita. Rais Samia anaiongoza Tanzania. Na hatoki kwani bado anautamani Urais na ziara za hapa na pale. Watu wanaojipanga kumtoa kwenye kiti chake kwa karatasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…