rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mwanamke shujaa

    Watanzania tuwe wakweli. Rais Samia ndiye mwanamke ambaye ni shujaa ukilinganisha na wanawake wote walio wahi kuwa Marais hapa Africa. Rais Samia anajiamini, ana maamuzi yenye tija kwa Taifa. Apongezwe kwa busara zake.
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi, Kafulila awa Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP)

    Wadau, Mkeka wa teuzi zingine huu hapa na Mstaafu Kafulila amekumbukwa! ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- Amemteua Dkt. Ellen Mkondya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa - Muhimbili. Dkt. Mkondya ni...
  3. B

    JamiiForums Tanzania UVCCM yasifu ujasiri wa Rais Samia kuongoza maridhiano nchini

    Na Bwanku Bwanku. Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesifu na kupongeza hatua madhubuti alizoanza kuzichukua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuliweka Taifa katika hali ya amani, umoja na mshikamano kupitia kuongoza maridhiano ya kisiasa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia hautapingwa kugombia 2025 ila wana CCM watakupinga mioyoni mwao na watakunyima kura

    Jakaya kikwete kakuhakikishia kuwa hautapingwa na mtu yoyote kuchukua fomu. Kweli utachukua fomu na utagombea. Lakini utapingwa ndani ya mioyo ya wanaCCM wasiopenda ouvu na ufisadi wa kundi lenu. Watakunyima kura.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaiua CHADEMA polepole

    Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu. Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia kasema kosoeni serikali, Ndugai alipokosoa nini kilifuata?

    Hizi ni siasa za kushangiliana bila kuulizana maswali, lakini miezi michache iliyopita huyu huyu Samia alichochea kuchukiwa kwa Spika, ambaye ni mbunge alipokosoa tabia ya serikali kukopa. Jana kasema huenda chawa wake watakuvamia ukitumia matusi kumkosoa, mbona Ndugai alipomkosoa alishirikiana...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia amemuondoa Prof. Kennedy Gastorn Umoja wa Mataifa kwa kashfa za Rushwa na Ufisadi

    Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na Balozi nchini Marekani, Prof. Kennedy Gastorn Jumanne alifutwa kazi kutokana na kashfa ya ufisadi ambayo maelezo yake hayakuwekwa wazi. Uamuzi huo wa ghafla ulikuja miezi kadhaa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Waziri wa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Chini ya uongozi wa Rais Samia viwango vya furaha kwa Watanzania vyaongezeka mitaani

    Ndugu zangu watanzania, Maisha Ni pamoja na kuwa na furaha Moyoni,Ni pamoja na kufurahia uwepo wako Duniani,Ni pamoja na kufurahia aina ya maisha unayoishi,Ni pamoja na kufurahia aina ya uongozi uliopo madarakani kwa namna unavyogusa maisha yako ya kila siku. Serikali na uongozi uliopo hasa...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia na CCM msaidieni Anthony Diallo jahazi linazama

    Kwa habari nilizonazo ni kwamba Kampuni ya Sahara Media inayomilikiwa na ANTHONY DIALLO iko katika kipindi kigumu kuelekea kufilisika au kupigwa mnada kutokana na madeni makubwa yanayo mkabili mmiliki wake hasa kutoka kwa wafanyakazi wake wa vituo vya Star TV, Radio Free Africa na KISS FM...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia ameondoa zuio la mikutano ya vyama vingi sasa na si mara tu alipokabidhiwa madaraka?

    Kama wengi mlivyofuatilia leo Januari 3, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) alifanya mkutano na viongozi na wawakilishi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini Tanzania. Pamoja na hoja mbalimbali alizozungumza mojawapo ni kuondoa zuio...
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe: Mazungumzo ya Rais Samia tumeyapokea ‘positive’ na kwa tahadhari kubwa

    Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na viongozi wa vyama vya siasa leo Januari 3, 2022, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema: Taifa letu limekuwa na mfumo wa ukandamizaji wa demokrasia kwa muda mrefu, kuanzia ngazi ya taifa hadi vitongozi, lakini tutaangalia kwa macho angavu...
  12. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Rais Samia ametembea kwenye maneno yake, haikuwa rahisi

    Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na viongozi wa vyama vya siasa leo Januari 3, 2022, (Rais Samia: Vyama vya siasa ruksa kufanya Mikutano ya hadhara ) kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametoa neno: "Wakati Rais Samia anakula kiapo kwa mara ya kwanza aliahidi kukutana na...
  13. JamiiForums Tanzania Nani alimwambia Rais Samia asikutane na CHADEMA?

    RAIS Samia Suluhu Hassan kwenye hotuba yake ya leo amesema aliambiwa asikutane na Chadema kusaka maridhiano. Kwa kuwa tumeshaamua kuwa taifa la haki, ukweli na uwazi ni vizuri tuwafahamu hao waliomwambia Rais Samia asikutane na Chadema ili tujue malengo yao yalikuwa ni nini.
  14. JamiiForums Tanzania Kigwangalla, Msukuma, Ditopile, Lusinde mbona mko kimya hamjamsikia Rais Samia?

    Waheshimiwa wabunge Livingstone Lusinde, Hamisi Kigwa. Joseph Kasheku Musukuma, Mariam Ditopile mbona mko kimya hadi sasa hamjamsikia Rais Samia kuhusu kuruhusu KUKOSOLEWA? Mbona hamjatoa tamko lolote kumuunga mkono Rais Samia kwa uamuzi wake wa kutangaza kuwaomba watu wamkosoe ili ayaone...
  15. JamiiForums Tanzania Majizo umemsikia Rais Samia?

    MAJIZZO Boss wa E-FM nadhani umemsikia Rais Samia kuhusu kuruhusu watu kumkosoa, sasa uamuzi wako wa kumchukulia hatua Gerald Hando kama itakupendeza utengue kama sehemu ya kuunga mkono uamuzi wa Rais wa kujikosoa na kukosoana. Pia wape Uhuru wa kuchambua mambo ya nchi watangazaji wako akiwemo...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia awastukia Chawa, aanza kufuata ushauri wa Askofu Bagonza

    RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi kuruhusu kukosolewa baada ya kilio cha muda mrefu cha wananchi na viongozi wa dini kuwa amezungukwa na watu wanaomsifu kama njia ya kumdanganya asione changamoto za nchi. Hatimaye sasa Rais Samia amewastukia watu hao na kuruhusu rasmi kukosolewa kama...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kwa tamko la leo la Rais Samia, 'legacy' ya yule jamaa imezikwa rasmi

    Rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukatili, lugha kali na kuwadhalilisha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa. Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana. Kwa tamko hili jeneza la legacy Sasa imepigiliwa misumari ya kijerumani.
  18. JamiiForums Tanzania Je, wahafidhina ndani ya CCM, wameafiki Kwa shingo upande, maamuzi ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa, Kwa vyama vyote?

    Nimeisikiliza Kwa makini Sana hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa Leo, huko Ikulu, wakati anaongea na viongozi wa vyama vya siasa nchini. Kwa kweli Sina budi kumpongeza Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Kwa msimamo wake Kwa kueleza kuwa kama Taifa, inabidi tujenge mshikamano, umoja na...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aitwe na kutambuliwa kama Mama wa Taifa

    Ndugu zangu watanzania, Nashindwa nianze na lipi juu ya kumuongelea Rais huyu shupavu, Hodari, Mahiri, mnyenyekevu,mwenye moyo wa upendo,huruma na ukarimu, Msikivu na mwenye Subira, madhubuti na Imara, mwenye msimamo na asiye yumba, mwenye Dira na muelekeo sahihi, mwenye Sera na ajenda za...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuisema tu Serikali ina madeni, atakuja mwenye Serikali yake na yeye aje akusute

    Akiwa kwenye mkutano na Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa Rais Samia amesema ni kweli serikali hii ina madeni lakini watu wasiishie tu kusema hivyo, bali waseme pia kwenye uchambuzi madeni hayo yamefanya nini. Akiongeza kuwa serikali ikifanya vizuri watu wasisite pia kusema kuwa serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…