rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kemea haya ya matumizi mabaya ya fedha za umma angalau kidogo

    Si ajabu zimetoka bi milioni 500 kununu gari kwa ajili ya kuunda msafara wa kwenda Bungeni kusoma bajeti. Ufidhuli gani huu Extravagancy of the highest degree https://youtu.be/NG15iZ2P4aQ
  2. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge mnasubiri nini kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukulia Fomu ya Urais?

    Ndugu zangu watanzania, Kama kuna Muhimili unapaswa kuwa msitari wa mbele kumtia moyo Rais Samia ,basi ni Muhimili wa Bunge.Hii ni kwa kuwa wabunge kwa macho yao ni mashuhuda wa namna Rais Samia alivyo miminia na kutiririsha Mamilioni ya pesa majimboni mwao kwa ajili ya miradi mbalimbali ya...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia apishe 2025 Philip Mpango agombee urais, Makonda awe Makamu wa Rais

    Kila mtu atakubaliana na mimi kuwa nipo sahihi na mzalendo wa kweli. Pesa za umma zinapotea hovyo, nidhamu serikalini imepotea. Deni la taifa linapaa kama Kunguru. Mama apishe 2025 yakae majembe yatakayorudisha nidhamu ya kizalendo. Nawakilisha Mimi Idu wa Igunga.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amuapisha Zuhura Yunusi kuwa Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu

    Ndugu zangu Watanzania, Hii leo June 13 Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, Akiwa katika Ikulu ya Chamwino Dodoma amefanya uapisho wa viongozi mbalimbali aliowateua siku chache zilizopita.Uteuzi ambao uliteka mijada mbalimbali ya kisiasa hapa...
  5. JamiiForums Tanzania Chura kiziwi naye hutuoa sauti kama chura wengine tu

    Kwenye siasa wanasiasa huibua misemo ambayo mingine huja kuwa sehemu ya Lugha husika. Mchungaji Christopher Mtikila alileta misemo ya "Gabacholi" na "mlalahoi" na la mlalahoi linatumika mpaka Sasa. Mwalimu Julius Nyerere alileta kwenye lugha ya kiswahili msemo wa "kung'atuka" na "tapeli" na...
  6. JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Rais Samia: Bajeti yaongezeka kwa shilingi Trilioni 13, mapato ya kodi za TRA yaongezeka kwa Trilioni 8

    Unaweza sema ni mapinduzi ya kiuchumi ama rekodi za kipekee za Rais Samia. Kwa kipindi Cha miaka 4 ya mama,Samia ameweza kuongeza Bajeti ya Nchi kutoka Shilingi Trilioni 36 mwaka 2021/2022 Hadi kufikia Shilingi Trilioni 49 mwaka 2024/2025. Aidha Kodi ya TRA zimeongezeka Kwa Trilioni 8 kutoka...
  7. JamiiForums Tanzania Video: Huyu chawa wa Rais Samia yuko katika viwango vya SGR! Duh! Si kwa uchawa huu bali ni jinai

    Ebu msikilize!
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hayati Magufuli kuvunja Katiba haihalalishi uonevu wa 'kupapaswa' unaofanywa na Rais Samia. Hatufanyii hisani ni haki yetu

    Wakuu, Nawashangaa nyuki wa mama na utetezi wenu wa kipuuzi, oooh ameruhusu mikutano ya siasa, oooh amerusu vyombo vya habari kuongea vitakavyo, oooh wananchi wanajiachia watakavyo mtandaoni, oooh this ...oooh that, upuuzi mtupu! Magufuli kuminya Katiba haimpi ruhusa Rais Samia kujifanyia...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na kufanya Mazungumzo na Danieli Fransisco Chapo Mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO Mheshimiwa Danieli Fransisco Chapo,Ikulu ya Dodoma hii leo June 12. Hii ni katika kuonyesha ushawishi wa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Rais Samia mkoani Singida, bilioni 93 zimetolewa uwekaji taa, ujenzi barabara na madaraja

    KISHINDO CHA RAIS SAMIA MKOANI SINGIDA//BILIONI 93 ZIMETOLEWA UWEKAJI TAA, UJENZI BARABARA NA MADARAJA Serikali imetoa kiasi cha takribani Bilioni 93 Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan madarakani kwa ajili ya miradi...
  11. JamiiForums Tanzania Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari kufanyika tarehe 18-19 Juni, 2024. Rais Samia kuwa Mgeni Rasmi

    Wanahabari tuna jambo letu ===== Wanahabari tuna jambo letu Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari. 🗓️ 18-19 Juni, 2024. Kikao Kazi cha Maafisa Habari wa Serikali. 🗓️ 20-22 Juni, 2024. Mgeni rasmi: Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waalikwa tukutane...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Viongozi wanaiangusha PSSSF, mzigo unaangukia kwa Wachangiaji

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF unachangia kuanguka kwa mfuko huo kutokana na kutokuwa na uongozi bora pamoja na kukosa uwekezaji sahihi. Pia soma ~ Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko ~ Uhuni mkubwa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chalamila amerudia tena: Kama una miaka 40 na huna hela usimlaumu Rais

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema Watu wenye umri wa miaka 40 au zaidi na hawana hela hawapaswi kumlaumu Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwakuwa Watu hao wamezaliwa wakati Mwl. Nyerere akiwa madarakani na vimepita vipindi vingi hivyo hawapaswi kumlaumu Rais...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wananitukana wakitaka niwajibu, sasa siwajibu..

    Ndugu zangu Watanzania, Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua shangwe kwa watanzania mbalimbali waliokuwa wakifuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka ikulu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hakuna anayekutukana na mwenye ubavu wa kukutukana, hakuna sababu ya kukutukana. Wanatoa facts ambazo burden inashift kwako kuzijibu

    1. Unaosema wanakutukana ni kuwa wanasema HARD FACTS about you hakuna mwenye ubavu wa kukutukana.. Wanachokisema wanasiasa wa upinzani kwenye majukwaa ni facta probantia or to the worst side ni facta probanda 2. Kama kiongozi, unazijibu hard facts kama alivyofanya RUTO na sakata la kukodi...
  16. JamiiForums Tanzania MABEYO (CDF MSTAAFU): Vijana wanakosa mwelekeo, tunajenga hofu kwa taifa la kesho (Juni 11, 2024)

    https://www.youtube.com/live/N5UQz7YOdMQ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea gawio na michango kutoka mashirika na taasisi za umma Ikulu jijini Dar es Salaam, leo tarehe 11/06/2024. MABEYO (CDF MSTAAFU): Vijana wanakosa mwelekeo, tunajenga hofu kwa taifa la...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kupokea Gawio na Michango kutoka Mashirika na Taasisi za Umma, Matukio kurushwa live kupitia vyombo vyote vya habari

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka , shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Hii leo muda na Majira ya saa tano asubuhi atafanya tukio zito sana...
  18. JamiiForums Tanzania 10% ya mikopo ya nchi yetu huwa anachukua nani?

    Wakristo wa Ulaya walitusamehe nusu ya deni la taifa mwaka 2000, ila hivi sasa tunaelekea kuvunja rekodi ya kukopa kama vile nchi inaisha kesho. Tukumbuke tuna watoto na wajukuu watakaohitaji kuishi katika nchi hii. Mikopo tunayokopa leo huku Waziri wa Fedha akitabasamu akiwa na afya tele...
  19. JamiiForums Tanzania Kuvuma kwa watoto wa Marais Awamu ya Nne na ya Sita Taasisi ya Urais haioni kama inatia aibu?

    Siyo kwa lengo baya wala majungu, fitina, chuki , husuda n.k.! Kwenye utawala wa Kikwete jina la Ridhiwani lilivuma mno lakini likiegemea zaidi upande hasi! Yaani ilitengenezwa picha kwamba mtoto ni bonge la fisadi! Pia kwenye utawala wa Samia kuna jina la Abdul limeshika hatamu kwenye kila...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu

    ...tunaendelea Ingekuwa hoja kama tusingemsema Magufuli kwa mfano, kuna mtu alimsema Magufuli kama mie? Kuna mtu alimsema Kikwete kama sisi? Mpaka Mkapa, mie kesi yangu ya kwanza ni ya Mkapa mambo ya madini mwaka 2002 miaka 22 iliyopita, na za Kikwete ngapi sijui za Magufuli ndiyo usiseme...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…