rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenda Afrika Kusini kwenye uapisho wa Ramaphosa

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kuelekea Jamhuri ya Afrika Kusini leo jioni kwa ziara ya kikazi ya siku moja kushiriki hafla ya uapisho wa Rais Mteule, Matamela Cyril Ramaphosa ambaye amechaguliwa kuwa Rais wa Nchi hiyo. Rais Mteule Matamela Cyril Ramaphosa...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia aitaja JamiiForums, asema utoaji wa Habari umehamia mtandaoni kama ilivyo JamiiForums

    Rais Samia akishiriki Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari, Juni 18, 2024 amesema zama zimebadilika na utoaji Taarifa umehamia zaidi Mitandaoni kama inavyofanyika kupitia JamiiForums. JF ipo juu Wakuu, tuendelee kupiga spana maana wanatudhihirishia huwa wanapita na kuchukua maoni yetu...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yammiminia Sifa na pongezi Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa Anaendelea kukonga na kukosha mioyo ya watu mbalimbali na mataifa mbalimbali, kutokana na uchapakazi wake pamoja na mapinduzi na mabadiliko mbalimbali ambayo amayaleta katika Secta na maeneo mbalimbali,ambapo yameleta nuru na mwanga katika Taifa letu...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia, kwenye mabadiliko Madogo, Jumaa Aweso na Dorothy Gwajima tunaomba usiwaguse

    Salaam Wakuu, Nadhani mtakubaliana nami kwamba hawa ni miongoni mwa Mawaziri wanaofanya vizuri. Juma Aweso, Dorothy Gwajima na Dotto Biteko, ndo aina ya Mawaziri Tanzania inataka kuwaona. Waziri Dkt. Dorothy Gwajima Biteko kinachomkwambisha kazi ni nyingi. Anazidiwa. Napendekeza apewe...
  5. JamiiForums Tanzania Orodha ya mikopo iliyokopwa awamu ya sita tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani March 19, 2021

    Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua mikopo tangu enzi katika kutimiza majukumu yake ya kimaendeleo na kila siku. Deni la Taifa limekuwa likikua huku Serikali ya awamu ya sita ikilifikisha trilioni 91 kwa miaka 3 iliyokuwa madarakani kutoka trilioni 60 iliyoachwa na Serikali ya awamu ya tano...
  6. JamiiForums Tanzania Katika majumuisho ya Habari Mh, Rais Samia amtaja Max na Jamii Forum

    Tukiwa hapa Mlimani City Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemtaja Mkurugenzi Mkuu wa Jamii forum Maxence Melo na Mtandao mzima wa Jamii forum katka majumuisho yake kuhusu uandishi wa mitandaoni akiipa kongole Jamii Forum katka usimamizi mzur wa habar za mitandao lakini akaongeza kuwa makini...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna mambo Samia hahusiki

    Rais Samia amewakumbusha wanahabari kuwa Urais ni taasisi hivyo kuna masuala ambayo yeye kama Samia hahusiki. Amelalamikia suala la waandishi kuandika story kama Tanzania Ikishtakiwa Umoja wa Ulaya, ambapo suala kama hilo Samia hahusiki ila taasisi ya Urais inahusika ikiwa ni pamoja na...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Dkt. Ayub Rioba Chacha anafanya nini TBC?

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha hadi sasa sijui kaenda kufanya nini TBC. Kageuzi TBC kama TV ya Chama tawala na anajivunia hilo. Je, rasi, unaona ni sawa kwa usitawi wa kitaifa? TBC ni Shirika la Utangazaji Tanzania (zamani: Televisheni ya Taifa...
  9. JamiiForums Tanzania Rais anashiriki kongamano la habari huku waandishi wakiendelea kuminywa

    Ndani ya Wiki moja waandishi wa habari watatu wamekamatwa na Jeshi la Polisi tena ndani ya Wiki ambayo Rais Samia Suluhu anazidua kangamano la maendeleo ya Sekta ya habari, huku Polisi mkoa wa Mwanza likiendesha Oparesheni ya kukamata waandishi kutoka Mikoa ya Simiyu na Mara ===== Pia soma...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari, Juni 18, 2024

    Rais Samia Hassan Suluhu ndiye mgeni rasmi wa kikao kazi cha Maafisa Habari wa Serikali kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, leo Jumanne Juni 18, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=vobBz6hXoWo SUNGURA: KATI YA WANAHABARI 20,000 NCHINI, NI 4,000 TU NDIO WANA MIKATABA Ernest Sungura...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kukutana na wasemaji wa Serikalini na Maafisa Habari kesho, 18/06/2024

    Ndugu zangu Watanzania, Kaeni mkao wa kula, kaeni mkiwa mmesafisha masikio yenu yawe na usikivu wa kutosha, na kesho kama ulipanga kwenda mahali basi ni bora ukaghairi kabisa na kusubiri kitakachojiri katika kikao kizito sana, kitakachomkutanisha Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ahmed Kombo aliyesema akitoka Yesu na Mtume Muhammad anayefuata ni Rais Samia awaomba Radhi Wakristo na Waislam!

    Mwanaharakati Ahmed Kombo amewaomba radhi Wakristo na Waislam kwa kauli aliyoitoa kuwa akitoka Yesu na Mtume Muhammad (SAW) anayefuata ni Rais Samia. Kombo amesema yeye ni Muislamu na anatambua kuwa Yesu Kristo na Mtume Muhammad (SAW) ni Manabii hivyo anaomba radhi. === Pia soma uzi huu...
  13. JamiiForums Tanzania Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

    Imenishangaza sana, nadhani sababu ya kuwatenga wanawake na wanaume ni faragha. Sasa kama vidume wanakaa sehemu za wanawake kuna maana gani? Inashangaza!
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia amechafuka kipindi cha majaribio. Je, tumpe tena mitano au asipewe fomu?

    Miaka ya majaribio madini na bahari mapori vyote vimeuzwa kwasasa Tanzania ina deni la trilioni 91 hii maana yake ni kwamba kwa Watanzania milion 60 kila mmoja anadaiwa Tsh 1,500,000/=. Kwanza hapo ulipo hiyo pesa unayo? Kwangu mimi naona chawa wapunguze mihemko mama ana kila sababu ya...
  15. JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya Mtoto wa Afrika 16 Juni, 2024

    Wazazi na Walezi Salaam. Nawakumbusha kuwatakia Watoto wenu wote chini ya umri wa miaka 18 Heri ya Siku ya Mtoto wa Afrika Leo Juni, 2024. Wapeni Wosia kuwa: wamshike Sana Elimu, wasimuache aende zake....🇹🇿🤝✍🏻 Zaidi ya yote tuseme nao kuhusu janga la ukatili dhidi yao, tusiwaonee aibu maana...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huu uchawa umezidi: Ahmed Kombo adai baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia

    Kwenye video hii Ahmed Kombo, mwanaharakati huru, anaelezea ukubwa wa Rais Samia na kumwaga sifa kedekede mpaka kufikia kusema baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia! Amenikumbusha bwana Kabudi aliyemuita Magufuli Mungu afu akazuga kama amekosea! Ndio tunaelekea huku na Rais Samia...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atuma Salamu Nzito za Pongezi kwa Rais wa Afrika kusini kwa kuchaguliwa kwake Awamu ya pili.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan ametuma salamu nzito za pongezi kwa Mheshimiwa Cyril Ramaphosa ,kwa kuchaguliwa kwake kwa kishindoo kwa muhula wa pili kama Rais wa Taifa hilo. Salamu hizo zimetolewa na Rais wetu kupitia...
  18. JamiiForums Tanzania Kamati ya Kuandaa Mkakati wa Kutekeleza Tume ya Haki Jinai, imekabidhi mkakati wa kutekeleza mapendekezo ya tume kwa Rais Samia

    Rais Samia Suluhu Hassan atapokea Taarifa ya Kamati ya Kuunda Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai. ====== Kamati ya kuandaa mkakati wa kutekeleza Tume ya Haki Jinai, imekabidhi mkakati wa kutekeleza mapendekezo ya tume huku ikibainisha mafanikio kadhaa yaliyopatikana...
  19. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani Machi 2021 baada ya kifo cha ghafla cha mtangulizi wake, Dkt John Magufuli. Ingawa amekuwa wa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo nchini Tanzania, amekabiliana na changamoto nyingi na kuboresha hali ya nchi kwa njia nyingi ambazo zimeleta...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Festo Dugange: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utazingatia 4R's za Rais Samia

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange amesema uchaguzi wa serikali za mitaa utazingatia ‘R-4’ za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kila chama kipate nafasi sawa. “Uchaguzi wa serikali za mitaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…