rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Ameibeba Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia Kimataifa

    RAIS SAMIA AMEIBEBA AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KIMATAIFA Watu Takribani Bilioni 2.4 Duniani Hawatumii Nishati Safi ya Kupikia, Duniani kwasasa kuna Watu Zaidi ya Bilioni Saba (7) Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) katika Msimu wa Kizimkazi Festival tarehe 23 Agosti, 2024...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka jiwe la Msingi Mradi wa Kasa Salaam-Cave Kizimkazi Dimbani leo Agosti 24, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la Msingi Mradi wa Kasa Salaam-Cave Kizimkazi Dimbani leo tarehe 24 Agosti, 2024.. https://www.youtube.com/live/OtMdbDIJ2F0?si=Ilo_PgA7c9cFz3ud Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiongozi wa mioyo ya watanzania na wana Afrika Mashariki kwa ujumla

    Ana nguvu ya kipekee sana ya kiuongozi ndani yake kuanzia kwenye kauli zake za kuunganisha taifa, kwenye mipango mikakati yake ya maendeleo kisiasa, kijamii na kiuchumi.. Mathalani falsafa yake ya 4rs imeleta pumzi mpya kwenye siasa za Tanzania, lakini pia inazungumzwa sana, inatumika sana...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia wewe ni Amiri Jeshi mkuu, usibadili maamuzi kwasababu ya upepo wa kisiasa. Wamasai watimuliwe Ngorongoro

    Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi? Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tazama katika picha hii Namna wanajeshi wetu walivyofurahi na kutabasamu baada ya kuonana na Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Mama yetu na Rais wetu mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anastahili kabisa kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili. Sijawahi kuona Binadamu wa namna hii aina ya Rais Samia ambaye kila mtu anatamani walau hata kugusa tu picha...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro

    Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro wamasai wajitokeza kwa wingi kupokea ujumbe wa Rais Samia.

    Wapinzani na wanaharakati walikuwa wakihoji kuwa Rais wetu si msikivu. Hata hivyo, leo Rais Samia amemtuma mwakilishi wake wa ngazi ya juu kabisa kuwasikiliza na kuzungumza na Wamasai wa Ngorongoro. Walimaanisha kwamba Wamasai hawawezi kuzungumza na mtu mwingine zaidi ya Rais, lakini leo...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia amewakosea sana watu wa Kizimkazi; awaombe radhi

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Kabla sijaenda mbali naomba ku declare interest kwamba mm ni mtu mwenye asili ya Zanzibar. Nimesikitishwa sana na aina ya uwekezaji ambao mama Samia ameufanya hapa Kizimkazi. Inasikitisha sana. Tangu Zanzibar iungane na Tanganyika, waZanzibar hawajawahi...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunajenga Utamaduni mbaya, tulianzia Chato sasa ni Kizimkazi!

    Kwamba kila Rais atakaye ingia madarakani nyumbani kwao inapelekwa miradi mikubwa bila kufanya utafiti wa kutosha wa mahitaji kwa fedha za walipa kodi hawa masikini. Matokeo ni kuwa wanapo ondoka madarakani inageuka kama ile ya nyumbani kwa Mobutu maana ilikuwa kukurupuka. Tumeona speed ya...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia anahitaji 'physiological hearing' na art of 'public speaking'

    Habari wana jukwaa. Rais nionavyo anakuwa very emotional, hasa kwa wale kwa wale wanaomkosoa, hana uvumilivu. Amekuwa akitoa kauli zenye kutweza utu wa binadamu, hana uwezo wa kuzipuuza kama kiongozi mkuu. (I) Ikumbukwe alishawahi kujiita CHURA, kuwaponda wanaomkosoa. (ii) Kizimkazi kawaita...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimewatia wadhamini timu za Simba SC na Yanga SC

    Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo litakapokamilika tutaitana vilabu tuambizane" - Rais Samia akizungumza katika uwekaji wa Jiwe la...
  12. JamiiForums Tanzania Kipaumbele cha sasa na muhimu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Simba na Yanga na kamwe si Ustawi wa Watanzania, Haki na Amani yao

    "Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo litakapokamilika tutaitana vilabu tuambizane" - Rais @SuluhuSamia akizungumza katika uwekaji wa...
  13. JamiiForums Tanzania Mlioelewa alichokizungumza Rais Samia kuhusu Simba SC na Yanga SC naombeni kueleweshwa

    "Najua vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania Simba, Yanga sasa mimi mama yao nipo katikati akisemwa vizuri Simba mimi napiga makofi akisemwa vizuri Yanga mimi nafurahi, na kulipokuwa na Simba day ambayo Majaliwa hakuwepo na Yanga day nikapiga kuwapongeza, ilipokuwa Yanga day Makamu wa Rais alikuwepo...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia yupo kimya, natamani azungumzie matukio yanayosambaa

    Mpendwa wetu Rais hajatokea kuzungumza au kuonyesha kukerwa na wale askari waliombaka Binti wa Yombo na kuhusishwa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Yaani askari aliyeapa kuwalinda Watanzania Leo hadharani kwenye camera anabaka Mtanganyika mwenzetu, Bora hata angekuwa huko vitani anabaka...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Rais Samia mnaopotea endeleeni kupotea kwa sababu ni drama

    Andamaneni, fanyeni mnavyoweza na ENDELEENI KUPOTEA SANA. Kwa mujibu wa Rais Samia HIZO ZOTE NI DRAMA TU.
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Aliyemshauri Rais Samia aseme yeye ni ‘Chura Kiziwi’ alimpotosha

    Kutokana na kauli hiyo leo Rais anachelea kuchukua hatua au kukemea maovu yanayofanywa na wasaidizi wake ili asionekane hana msimamo kwenye matamshi yake kuwa ‘Yeye ni Chura Kiziwi’. Kwa kutokukemea kwake na kutochukua hatua inaonekana yote yanayotendeka yana baraka zake. Kuwa, yeye ndiye...
  17. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia (Wanu): Sitamani Kuonekana Mtoto wa Rais Nikiingia Mahali/Naumia Mzazi Akitukanwa

    "Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo apokea mwaliko wa Rais Samia kushiriki Jukwaa la FOCAC

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amepokea mwaliko rasmi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia anajiharibia mwenyewe

    Inavyoonekana Samia ni muumini wa ma chawa jambo ambalo ki uhalisia wanamdanganya kuliko kumweleza ukweli. Kwa yanayoendelea Nchini, ni wazi wapo wapuuzi wanamdanganya apuuze. Rais Samia anajiharibia mwenyewe kwa kujitakia.
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa matukio haya ya watu kupotea na kusemekana kutekwa! Magufuli alionewa? Polisi wanaonewa?

    Bila shaka kila mmoja wetu anajua kinacho endelea kuhusu matukio ya watu kupotea na kusemekana kutekwa na watu wasiojulikana yanayoendelea sasa hivi sasa na wengine wakilituhumu jeshi la polisi na wengine wakisema ni wahalifu wanafanya hivyo kuichafua serikali! Baada ya Kifo cha Magufuli wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…