rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akicheza Mchezo wa Bao Pamoja na Kuwaenzi Mashujaa wetu

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu ndiye Rais wetu,Rais Makini,hodari,shupavu,imara, madhubutu na mwenye maono Makubwa.Rais Mwenye utulivu na misimamo madhubuti.Rais Mwenye akili na upeo wa kiuongozi. Hanaga Makuu wala majivuno Mama yetu,hanaga kiburi wala dharau Mama yetu.yeye ni mtu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

    Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho...
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI Hii ni Noti mpya ya TSH 10,000 yenye picha ya Rais Samia inayotarajiwa kuanza kutumika

    Haijathibitishwa
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini rais Samia amerudi nyuma kwenye masuala ya maridhiano? Neno maridhiano sasa limekuwa na ukakasi mkubwa

    Rais Samia aliporithi kiti cha urais watu wengi walijawa na matumini kuwa sasa demokrasia na uhuru wa kujieleza vingeongezeka na kusitawi. Hivi karibuni matumaini hayo yamefifia na watu hawaoni tofauti kati ya awamu ya tano na ya sita katika masuala ya kidemokrasia. Maridhiano ilikuwa ni moja...
  5. JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi, kwa Rais Samia kuongea na mabalozi wote na jumuiya za kimataifa!

    Kwa vyovyote hawa ndugu zetu wasiotakia mema taifa letu, watakuwa wamesambaza vipeperushi vya hovyo katika jumuiya mbali mbali za kimataifa, ili mradi tu, malengo yao ovu, yatimie ikiwepo extensions za ukaazi wao wa kikimbizi huko ughaibuni, pia ikiwepo kutafuta huruma ili wamiminiwe fedha kwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Naibu Waziri Mkuu Kibondo: Mbunge Samizi aeleza Bilioni 58 za Rais Samia za miradi

    Zaidi ya shilingi bilioni 58 zimetumika kutekeleza miradi mbali mbali ya maendeleo katika jimbo la Muhambwe. Miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa miundo mbinu ya Barbara, vituo vya afya, maji na ujenzi wa shule za msingi na sekondari. Amebainisha hayo Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Jafari Chege: Mimi ni Muombaji wa Fedha za Maendeleo, Anayetoa Fedha Hizo ni Rais Samia

    MBUNGE JAFARI WAMBURA CHEGE: MIMI NI MUOMBAJI, ANAYELETA FEDHA ZA MAENDELEO NI RAIS WA NCHI, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Mbunge wa Jimbo la Rorya, Mhe. Jafari Wambura Chege katika muendelezo wa ziara Jimboni amesema kuwa Yeye kazi yake ni kuomba fedha za Maendeleo lakini anayetoa hizo fedha ni...
  8. JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Samia na Musatakabali wa Jeshi la Polisi, TISS na Vyombo vingine vya Usalama

    Kwanza niseme wazi kabisa kwamba Naelewa na kuamini kwamba kauli ya Mheshimiwa RAIS iliakisi kile ambacho yeye kama Samia Suluhu Hassan anakiamini na anakifahamu ila hakikuakisi kile ambacho RAIS anafahamu. Sisemi hivi kwa lengo la kumtetea bali nataka tu niaze mjadala huu katika namna ambayo...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara?

    Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara. Hii inafanya iwe vigumu kwa umma kujua ni watu wa aina gani waliomlea. Kawaida, mizizi ya kiongozi ni muhimu katika kuelewa maadili na mitazamo yake, lakini katika kesi hii, habari hizo...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kuongoza Taifa kuna hitaji akili zaidi kuliko hisia binafsi

    Leo napenda kuja na mada ambayo huwenda ikasaidia wale waliopo kwenye nafasi za uwongozi wa juu wa Taifa. Awali ya yote nilazima tuambiane ukweli Taifa lina jengwa ktk misingi ya siasa bora ila ni bahati mbaya sana Taifa lilipo amua kuingia ktk misingi ya siasa za vyama vingi sio kwa chama...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ubora wa rais Samia upo wapi? Hivi anafahamu mwakani ni uchaguzi kweli?Au hana nia ya kugombea tena?

    Binafsi wakati mwingine namuonea huruma namna watu wanavyomshambulia , ila najiuliza ubora wake upo wapi angalau nimtetee tetee siuoni. Kila kukicha mambo yanaharibika na kwa namna moja au nyingine itampunguzia credits sana kipindi cha uchaguzi unaofuata. Kwa yanayoendelea achilia mbali suala...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri Rais Samia akafuata ushauri wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuhusu Wapinzani

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete aliwahi kutoa ushauri kwa uongozi wa awamu ya 5 kuhusu namna ya kuendesha siasa na wapinzani. Alisema wapinzani waachwe watoe hoja zao tutawajibu kwa hoja, kama ni kuandama waachwe waandamane mwisho watatulia. Katika uongozi wa Kikwete demokrasia ilionekana kukomaa...
  13. JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani nchini Tanzania amesisitiza hataacha kuzungumzia masuala ya demokrasia na haki

    Balozi wa Marekani nchini Tanzania amesisitiza hataacha kuzungumzia maswala ya demokrasia na haki za kinyume na alivyoagiza rais Samia Suluhu Hassan. Balozi wa Marekani nchini Tanzania Michael Battle amesisitiza kwamba haitaacha kukosoa ukiukwaji wa haki za binadamu na kuminywa kwa demokrasia...
  14. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Katimba awaagiza Wakurugenzi na Waganga Wakuu kutekeleza maagizo ya Rais Samia

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amezitaka halmashauri nchini kufuata maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kutenga wodi maalum ya watoto wachanga na wanaozaliwa kabla ya wakati(njiti) ili kupunguza vifo vya watoto...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam. Hii ni baada ya kupita siku chache alipotoa hotuba nzito sana katika...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara nzito ya kikazi mkoani Ruvuma wiki ijayo

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ,Anatarajiwa Kufanya Ziara Nzito ya Kikazi Mkoani Ruvuma Wiki Ijayo ambayo inatarajiwa kutamatika Tarehe 29. Ambapo Akiwa Mkoani Ruvuma anatarajiwa kukagua utekelezaji...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Samia Suluhu hawezi kugombea URAIS 2030, Katiba inamzuia

    Ibara ya 40(4) ya Kiswahili. Endapo makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama atashika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea...
  18. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 William Lukuvi Akoshwa Na Uchapakazi wa Rais Samia. Ataka Apewe Mama Kuongoza Hadi 2035

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa William Lukuvi Amekoshwa na uchapa kazi wa Rais Samia katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM pamoja na kasi ya ukamilishaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Ambapo Mheshimiwa Lukuvi ambaye awali alikuwa mshauri wa Rais wetu Mpendwa katika masuala...
  19. P

    JamiiForums Tanzania RAIS SAMIA AMEJIPANGA KUWANYOOSHA MAKULUKUTABU

    Je wew ni mwananchi usiye penda Tanzania iliyotulia? Je, una washwa washwa na amani? Huenda ukawa ni makulukutabu. Sasa habari njema ni kwamba, rais SSH ambaye ni amiri jeshi mkuu amejiandaa vilivyo kuwanyoosha makulukutabu. Huenda watu wakachezea kipigo cha mbwa koko.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ni Kwanini Mdude Nyagali hakamatwi na hachukuliwi Hatua Kali Kwa Kuendelea Kumchafua Rais Samia Bila Ushahidi?

    Ndugu zangu Watanzania, Ikiwa tutaacha Taifa likajenga utamaduni wa watu wakatumia mitandao ya kijamii kuchafua viongozi wetu,kuwapaka matope, kuwadhalilisha, kuwatukana matusi bila kuchukuliwa hatua wala kukamatwa ili watoe ushahidi tutakuwa tunariharibu Taifa letu.tutakuwa tunaharibu maadili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…