rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aeleza yaliojiri CHOGM, Katibu Mteule wa Jumuiya ya Madola atuma salamu kwa Rais Samia

    Waziri Kombo aeleza yaliojiri CHOGM, Katibu Mteule wa Jumuiya ya Madola atuma salamu kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
  2. JamiiForums Tanzania Ina maana Rais Samia amekwenda Kizimkazi badala ya kwenda kwenye mkutano wa Commonwealth.

    Kwa nini hakwenda Samia na Waziri Kombo kama alivyokwenda Indonesia na Januari.? Mi nadhani nchi yetu ina special relationship na UK,rais alipaswa kwenda kwenye ule mkutano. After all Malkia ndiye aliyeamua ugomvi na Maalim Seif katika Uchaguzi uliopita. Magufuli alikuwa poised kumuondoa...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia ufunguzi rasmi wa Mkutano wa CHOGM

    Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia ufunguzi rasmi wa Mkutano wa CHOGM Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi rasmi wa Mkutano wa 27 wa Wakuu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Lami itawasaidia nini wakazi wa Dar?

    Nilitarajia wajengewe mazingira ya kuwaokoa kiuchumi na kuwapaisha kimaisha. Lami bila hela?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiingia katika kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar

    Ndugu zangu Watanzania, Ukimuangalia Rais Samia Unagundua ya kuwa Muda wote amejaa ari,nguvu na hamasa kubwa sana ya kufanya kazi. Unaona muda wote akiwa na morali na utayari wa kuwatumikia watanzania.unaona muda wote mawazo,akili,fikira na kiu yake ni kuwatumikia na kuwawazia watanzania...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ampa Sheikh wa Arusha Land Rover Discovery limsaidie kwenye shughuli za kidini. Hii si Rushwa kabisa?

    Wakuu, Nawaacha mtoe mapovu, mambo ndio kama haya, Sheikh amepewa land rover bana likamsadie kwenye kutoa huduma zake.... Hii si rushwa kabisa? Tusubiri 'zawadi' hizi ziendelee kutolewa kwa viongozi wengine wa dini. Tunataka uchaguzi ufanyike kila mtu akiwa na fursa sawa ya kushindana, kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Familia ya Mzee Ali Kibao yatuma ujumbe kwa Rais Samia, yaomba uchunguzi wa wazi pamoja na kutoa kauli kali dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji

    Familia ya Mzee Ali Kibao kupitia Mohamed Ali Kibao ambaye ni mtoto wa Mzee Kibao, imeomba uwepo wa uwazi na haki katika uchunguzi wa mauaji dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji ya Mzee Ali Kibao huku ikimsihi Rais Samia Suluhu Hassan, kutoa kauli kali dhidi ya wahusika ili kurejesha imani kwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anawajibika ujenzi wa vyuo vya ufundi (VETA) nchini

    RAIS SAMIA ANAWAJIBIKA UJENZI WA VYUO VYA UFUNDI - VETA NCHINI. Ujenzi wa vyuo vya ufundi (VETA) umefungua Fursa kwa vijana kujifunza fani mbalimbali. Huu ni uwekezaji Mkubwa katika kuimarisha vyuo vya ufundi ili ķujenga uwezo kwa Vijana kujiajiri na kuajiriwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi: 1995 Mkapa vs Mrema, 2005 Kikwete vs Mbowe, 2015 Magufuli vs Lowassa na 2025 Dkt. Samia vs Tundu Lissu

    Chaguzi za mwaka unaoishia na 5 tulizoea kuona CCM wakiweka Mgombea Urais Mpya na Chadema Wagombea wao walitoka kaskazini huku CUF wakiwa na Mgombea wao wa kudumu. 2025 mambo yatakuwa tofauti Kabisa Mgombea wa CCM atakuwa anatetea nafasi yake Kwa Muhula wa pili wa Kikatiba, Mgombea wa Chadema...
  10. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia. Tanzania ya 10 bora kwa uchumi imara

    Chadema msipinge
  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia amesema wanataka anayepokea simu naye anakatwa salio ili kuimarisha Uchumi

  12. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola Apia, Samoa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 49 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) unaoendelea Apia, Samoa kuanzia Oktoba 21 hadi...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia awalipia gharama washiriki kutoka Arusha wanaoiwakilisha Tanzania mashindano ya pikipiki Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa tiketi za ndege kwenda na Kurudi nchini Morocco kwa washindi watatu wa mashindano ya Pikipiki ya Samia Motocross Championship kwaajili ya kushiriki mashindano ya FIM Africa Motocross of African Nations yanayofanyika Oktoba...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Makalla: Rais Samia ameleta hamasa kubwa kwa wananchi kujiandikisha kwa wingi uchaguzi wa Serikali za mitaa

    Imeelezwa kuwa kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan, na viongozi wengine wa CCM wa ngazi mbalimbali kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la mkazi kimekuwa chachu ya wananchi kushiriki kwa wingi kwenye zoezi hilo...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hata ukipiga kura kule kwingine, CCM inaenda kuunda Serikali. Je, hizi ndo 4R?

    Salaam Wakuu, Katika Uchaguzi wa 2020, rais Samia kipindi hicho akiwa Makamu wa rais, alisema hata ukipigia kura chama kingine, CCM itashinda. Kwa kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, inaonekana kabisa akili zake za mwaka 2020 ndo zilezile. Japo alikuja na 4Rs naona hazifanyi...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anabagua, anachagua matukio na tabaka la kuwapa pole

    Rais ni Comforter-in-Chief hatakiwi kuonyesha upendeleo kwa wananchi wake anaowaongoza kwa namna yeyote ile. Hivi karibuni tumeanza kuona kujengeka kwa tabia ya Rais kutojali madhila ya watu kutokana na itikadi zao. Mzee Kibao alitekwa na kuuawa, pamoja na rais kuagiza uchunguzi ufanyike kwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa Salamu za Pole kwa Boniface Mwamposa Kufuatia Kifo cha Msaidizi wake Mkuu

    Ndugu zangu Watanzania, Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Mama mwenye moyo wa huruma, upendo, unyenyekevu na ukarimu ametoa salamu za pole kwa Mchungaji Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka uangaze.kufuatia kifo cha Msaidizi wake Mkuu...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amejitoa na kujitolea Maisha yake kama Sadaka kwa ajili ya kuwatumikia watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwa Maisha ya Rais Samia hapa Duniani.ukifuatilia namna anavyoongoza Nchi,namna anavyo chapa kazi,namna anavyopambana kutatua kero na changamoto mbalimbali,namna anavyotekeleza miradi ya maendeleo,namna anavyohangaika huku na...
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Wapongeza Juhudi za Rais Samia Kuleta Maendeleo Nchini

    VIONGOZI WA DINI WAPONGEZA JUHUDI ZA RAIS SAMIA KULETA MAENDELEO NCHINI ▪️Waandaa maombi ya wiki nzima kumuombea Rais Samia na Taifa ▪️Wahamasisha ushiriki wa Watanzania kwenye uchaguzi seriklai za mitaa ▪️Mbunge Mavunde apewa tuzo ya pongezi ya shughuli za kijamii 📍 Dodoma Viongozi wa Dini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…