rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Januari Makamba ampa maneno mazito Rais Samia, aapa kwenda nayo Kaburini

    Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwamini na kumpa nafasi ya kuhudumu katika baraza la mawaziri, akisema kuwa ni heshima kubwa isiyofutika katika maisha yake. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu ACT Wazalendo, Ado Shaibu: Rais Samia ajitathimini

    Maazimio ya Halmashauri Kuu Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao chake cha kawaida jana tarehe 23 Februari 2025 katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo katika Jengo la Maalim Seif (Makao Makuu ya Chama). Kikao hicho kilipokea na kujadili Taarifa ya Uvurugaji wa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua jengo jipya la Halmashauri Bumbuli, afika Korogwe Bumbuli na Lushoto

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jumatatu, Februari 24, 2025, amezindua jengo jipya la Halmashauri ya Bumbuli, mkoani Tanga, akisisitiza umuhimu wa miradi ya maendeleo kwa wananchi. Mara baada ya kuzindua jengo hilo, Rais Samia ameeleza furaha yake kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Majengo 122 yamejengwa nchini kuboresha huduma kwa Wananchi!

    Ziara ya Rais Samia Lushoto - Tanga Februari 24, 2025 https://www.youtube.com/live/LNpz7Pc79wE?si=yn9bJoLvJnntvhA- "Nimekuja kuangalia matumizi ya fedha mbalimbai zinazoletwa kuondoa shida za wananchi, nimekuja kuangalia kama kweli zimeondoa shida za wananchi, nami sitaki nilaumu nataka niseme...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia amesema Mkoa wa Tanga umepokea Sh3.1 trilioni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali! Hiyo miradi Iko wapi?

    Rais Samia Suluhu Hassan ameweka wazi kuwa Mkoa wa Tanga umepokea kiasi cha Sh3.1 trilioni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali. Hata hivyo, kauli hii imeibua maswali mengi miongoni mwa wakazi wa mkoa huo, huku wengi wakihitaji ufafanuzi kuhusu miradi hiyo na jinsi fedha hizo...
  6. JamiiForums Tanzania Handeni, Tanga: Wachinja ng'ombe 23 ziara ya Rais Samia

    Wananchi wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga wa kutoka dini mbalimbali, mapema hii leo wamefanya Dua ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuliombea Taifa. Akitoa salamu za Mkoa wa Tanga wakati wa mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata leo Februari 23, 2025, mkuu wa...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Samia Kings (AY, Madee na Chege ) waongoza kwenye mapokezi ya Rais Samia huko Mkata

    Wasaniii wa Bongofleva Madee, AY na Chege (Samia Kings) wameshiriki kwenye shangwe za mapokezi ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Mkata Mkoani Tanga ambako anaanza ziara ya kikazi leo. Soma Pia: Ziara ya Kikazi ya Rais Samia Mkoani Tanga Februari 23, 2025 Wasanii Ay, Madee na Chege...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua Mradi wa Kihistoria wa Bwawa la Mkomazi wenye thamani ya Bil 18. Mradi uliobuniwa zaidi ya miaka 50 ilopita

    Ningependa kutoa taarifa rasmi kuhusu hafla muhimu ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Bwawa la Mkomazi na utiaji saini wa mikataba miwili (2) ya ujenzi wa Skimu za Mkomazi na Chekelei Wilayani Korogwe, mkoani Tanga ambayo itafanyika tarehe 24 Februari 2025, ambapo Mheshimiwa Dkt. Samia...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM Tanga: Hakuna Elimu bila Ada sote tunalipiwa ada na Rais Samia

    Wakuu, Kumekuchaa kumekuchaaa, kumbe watu watoto Tanzania nzima wanalipiwa ada na Rais Samia na hamsemi:BearLaugh::BearLaugh: ==== Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  10. JamiiForums Tanzania Duh kama no kweli Basi Mh Rais Samia chawa wako wamevunja rekodi ya dunia🙌

    Sina maelezo mengi habari kwa picha
  11. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Serikali ya JMT ambaye pia ni mgombea wa CCM akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    -
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ashiriki kwenye uzinduzi wa hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni mkoani Tanga

    Ziara ya Kikazi ya Rais Samia Mkoani Tanga Februari 23, 2025 https://www.youtube.com/live/A5Kayo33810?si=SkcoQaTDduuUWupm Akiwa kwenye ziara hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alifanya ufunguzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, iliyopo...
  13. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Serikali ya JMT akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali, Hongera Mheshimiwa kuwa Bingwa wa vichekesho.Tuendelee kucheka kwa pamoja! Modes naomba uzi huu...
  14. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia: Kushindwa kutekeleza ujenzi wa Hotel ya TANAPA Chato

    Mh . Rais Samia, unaendelea vema,japo chato na mkoa wa Geita,tunalala tukilia usiku na mchana,Kila tukiona hotel imeota majani huko jirani na ziwa Victoria. Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, kuna haja ya kuangazia masuala kadhaa yanayoathiri maendeleo ya Chato na wananchi...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Wazo la ‘Upatu’ la Wachekeshaji laweza kuwa na manufaa kwa SADC

    Katika hali ya utani, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wazo lililotolewa na wachekeshaji la kucheza mchezo wa ‘upatu’ linaweza kuwa zuri endapo likibadilishwa na kutafutiwa namna bora ili kusaidia masuala ya kifedha ya nchi za Kiafrika. Rais Samia amesema wazo hilo likichukuliwa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia apewa tuzo ya Champion of Comedy; nami nasema anafaa

    Anastahili, maana awamu yake ni full comedy
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Halfa ya Utoaji Tuzo za Wasanii wa Uchekeshaji Tanzania. Na kupewa tuzo ya Champion of Comedy

    Rais Samia akishiriki Halfa ya Utoaji Tuzo za Wasanii wa Uchekeshaji Tanzania Ukumbi wa The Super Dome Februari 22, Dar es Salaam. Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia kuwa mgeni rasmi wa kwenye tuzo za Tanzania Comedy Awards Updates.... - Rais Samia apewa tuzo ya Champion of Comedy; nami nasema...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Eric Shigongo: Miaka mitatu ya Rais Samia Buchosa imeendelea sana

    "Ninayo kila sababu ya kuishukuru serikali kwa namna inavyowatumikia wananchi wake. Ndani ya miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jimbo la Buchosa peke yake mimi kama mbunge nimepokea bilioni 63 za maendeleo, tumejenga barabara, tumejenga vituo vya afya vitano tumejenga sekondari...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia akatisha hotuba na kunywa Kahawa kwenye Mkutano wa 3 wa Nchi zinazozalisha Kahawa Afrika 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa moja kati ya sifa kubwa za kahawa ni kuchangamsha akili, huku akitoa ushuhuda wa yeye kuwa mtumiaji mzuri wa kinywaji hicho. Rais Samia ameyasema hayo leo Jumamosi Februari 22, 2025 wakati akihutubia mkutano wa tatu wa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Wilaya ya Tanga akabidhi madaftari 1,000 yenye picha ya Rais Samia. Uchawa umefika kwa watoto wetu!

    Mkuu wa Wilaya ya Tanga Japhar Kubecha akiwa ameambatana na Katibu Tawala wa Wilaya ya Tanga Dalmia Mikaya kwa kushirikiana na Taasisi ya Watoto Foundation wamekabidhi madaftari zaidi ya 1000 katika Shule tatu za msingi kwa Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika Jiji la Tanga. Akiongea wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…