Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Amesema ameenda mwenyewe kushuhudia ujenzi wa uwanja kwa kuwa angeulizia angedanganywa na kusema kesho kazi iendelee kufanyika mara moja na madai atayashughulikia
Pia amesema yeye ndie atakuwa consultant wa ujenzi wa uwanja huo na waziri kila siku atakuwa anamletea ripoti na atafute ma injinia wenye uzalendo wa Tanzania na wakilipwa fedha, fedha hiyo ibaki Tanzania
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKIFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA TERMINAL III FEBRUAR I8, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya ziara ya kustukiza katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa Terminal III kuona maendeleo ya ujenzi unaondelea February 8, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasilia Prof. Makame Mbalawa wakati alipofanya ziara ya kustukiza katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa Terminal III kuona maendeleo ya ujenzi unaondelea February 8, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa Makandarasi wa ujenzi wa uwanja wa Ndege wa Kimataifa Terminal III wakati alipofanya ziara ya kustukiza February 8, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na baadhi ya wahandisi na makadrasai alipofanya ziara ya kustukiza katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa Terminal III kuona maendeleo ya ujenzi unaondelea February 8, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasilia Prof. Makame Mbalawa wakati alipofanya ziara ya kustukiza katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa Terminal III kuona maendeleo ya ujenzi unaondelea February 8, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wafanyakazi wa ujenzi alipofanya ziara ya kustukiza katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa Terminal III kuona maendeleo ya ujenzi unaondelea February 8, 2017
Kabla ya hii habari ya kushitukiza, JamiiForums kuliletwa hii habari=>Kampuni ya BAM International yasimamisha ujenzi wa Terminal III