rais magufuli

John Pombe Magufuli
John Pombe Joseph Magufuli (29 October 1959 – 17 March 2021) was the fifth president of Tanzania, serving from 2015 until his death in 2021. He served as Minister of Works, Transport and Communications from 2000 to 2005 and 2010 to 2015 and was chairman of the Southern African Development Community from 2019 to 2020.

First elected as a Member of Parliament in 1995, he served in the Cabinet of Tanzania as Deputy Minister of Works from 1995 to 2000, Minister of Works from 2000 to 2005, Minister of Lands and Human Settlement from 2006 to 2008, Minister of Livestock and Fisheries from 2008 to 2010, and as Minister of Works for a second time from 2010 to 2015.Running as the candidate of Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant party, Magufuli won the October 2015 presidential election and was sworn in on 5 November 2015; he was re-elected in 2020.

He ran on a platform of reducing government corruption and spending while also investing in Tanzania's industries, but his rule had autocratic tendencies, as seen in restrictions on freedom of speech, restrictions on LGBT rights, and a crackdown on members of the political opposition and civil society groups.

Magufuli was known for promoting misinformation about COVID-19 during his leadership over the pandemic in Tanzania. After a lengthy absence from public appearances, unconfirmed rumours circulated that he, himself, had been hospitalized with the disease.

His death on 17 March 2021 was attributed by the government to a long-standing heart issue. He was succeeded by his Vice-President, Samia Suluhu.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Mkusanyiko wa Kumbukizi ya Miaka mitano tangu kifo cha Rais Magufuli

    https://www.youtube.com/watch?v=dfB86i6-Bck
  2. figganigga

    Rais Magufuli asitisha Usajili wa Meli Tanzania, aagiza uchuguzi wa kina wa Meli 470 zilizosajiliwa Ufanyike

    Video Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Watumishi Wa Wizara Ya Mambo Ya Nje Na Ushirikiano Wa Afrika Mashariki Katika Ukumbi Wa Kimataifa Wa Julius Nyerere(Jnicc) Jijini Dar Es Salaam.Januari 19,2018. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
  3. M

    Kumbukizi: Hayati Rais Magufuli alivyookoa mamilioni ya kupeleka ndege nje kwa ajili ya kuchorwa

    Hayati Rais Magufuli, Machi 28, 2019 alifanya ziara ya kustukiza kwenye karakana za Shirika la Ndege nchini (ATCL) kukagua ukarabati wa ndege ya serikali iliyopakwa rangi kwa gharama nafuu takriban Tsh milioni 5 ikilinganishwa na gharama zilizopaswa kwenda kutumika nje ya nchi kiasi cha zaidi...
  4. Mashamba Makubwa Nalima

    TBT: Dakika 20 za Rais Magufuli kwenye uzinduzi wa mradi wa mwendokasi

    https://youtu.be/WbWMoTr_I-U?feature=shared
  5. britanicca

    GE2025 “Mimi ndiye Rais” “Mimi ndiye Amiri Jeshi Mkuu”. Maneno haya wanayatumia vibaya kuanzia Jakaya, Magufuli na sasa Samia

    Hii kauli ya “Mimi ndiye Rais” ni Kama vile inatumika kutisha wanaohoji kuhusu haki zao Mwaka 2015 September wakati wa kuelekea uchaguzi Kikwete aliwatisha Wananchi kwamba “Mimi ndiye Rais sitaki mtu kuandamana, na mtakiona cha mtema kuni.” Ina maana ni kuwatisha Wananchi wasitimize haki yao ya...
  6. Mhaya

    Rais Magufuli alikuja kama Messiah kisha akaondoka na kuacha ujumbe "MTANIKUMBUKA..."

    Ilikuwa wakati wa jioni huko vijiweni vya kawaida, pale mtaani, ambapo sisi marafiki tulikuwa tumekaa chini ya mti mkubwa, tukinywa chai moto na kutoana hadithi za maisha. Mmoja wetu, yule anayependwa na mazungumzo ya siasa, akaanza kwa sauti ya kushawishi: "Eh, rafiki zangu, mnakumbuka ile siku...
  7. Mama Ametufikia

    Kwanini Lissu alikuwa ndo mwanasiasa wa kwanza kuulizia alipo Rais Magufuli?

    Je mnaweza kujiuliza simple question why TAL alikuwa ndo MTU wa kwanza kuulizia alipo Magufuli? Kitu amabacho vijana manoteseka , kupotea na kupotezwa nawaonea sana huruma IPO siku nitwapa ukweli wa haya mambo .
  8. tonicimmobility

    TBT: Rais Magufuli akikosoa mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo

    TBT: Mkutano wa rais Magufuli na wafanya biashara uliofanyika ikulu tarehe 07 june, 2019 akielezea kwanini amezuia kuwekeza kwenye bandari ya Bagamoyo Soma pia: Sakata la bandari ya Bagamoyo kuuzwa kwa Waarabu latua Bungeni. Prof. Kitila asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji...
  9. K

    Sitomsahau Rais Magufuli, machozi hutiririka ninapowaona aliowaamini wakimsaliti waziwazi

    Hivi Rais Samia anafuraha moyoni mwake kukaa na mafisadi waliokataliwa na mtangulizi wake?Chukulia Mama yako mzazi anakula na kunywa na wale maadui wa marehemu baba yako huku ukijua kifo cha baba yako kilikuwa na utata? Hivi huyu Mama nastahili kumpa heshima ya kumuita Mama yangu, kila...
  10. Chizi Maarifa

    Lugha ya Polepole ina Codes nyingi sana. Ametaja waliokuwa wanamhujumu Magufuli na wanaoendelea kumhujumu Samia

    Anaongea kama Gwajima kwa falsafa. Ukimsikiliza between the words ndo utagundua kuna maana nzito sana. Mfano amegusia kifo cha Magufuli na wahusika. Amewataja baadhi. Ametaja waliokuwa wanamhujumu Magufuli na wanaoendelea kumhujumu Samia. Hili genge la mtandao nia genge la kuchinjiliwa mbali...
  11. Waufukweni

    GE2025 Mwenyekiti UVCCM Dodoma: Kundi lililotaka kuupora Urais wa Samia baada ya Kifo cha Rais Magufuli wamefahamika, hatutanyamaza

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amelaani vikali kile alichokiita juhudi za watu wachache wenye nia ya kukwamisha misingi, tamaduni na Katiba ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kueneza na kuhamasisha usaliti ndani ya chama...
  12. G

    Katibu mkuu kiongozi, John Kijazi alifariki tarehe 17 Februari, mwezi mmoja baadaye akafariki Rais Magufuli

    Tarehe 17 Februari 2021, mauti yalimkuta katibu mkuu kiongozi Mhandisi John Kijazi. Kijazi amekufa waziri wa fedha kipindi hicho, Dr Philip Mpango akiwa mahututi hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma. Mwezi mmoja baadaye, mauti yakamkuta rais John Magufuli tarehe 17 Machi 2021. Some say that the...
  13. Pascal Mayalla

    Rais Nyerere na Rais Magufuli walikataa, Rais Samia usikubali Misaada ya kuingilia Sovereignty yetu!

    Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!. Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na...
  14. Mkalukungone Mwamba

    Polepole: Rais Magufuli na mama Samia awakufanikiwa kushughulika na wahuni, kwahiyo tumebaki nao

    Swali la nyongeza mheshimiwa Polepole: Awamu yako mliwasajili wahuni wangapi? Katika utawala wa Rais Magufuli na mama Samia awakufanikiwa kushughulika na wahuni, kwahiyo tumebaki nao.
  15. DR HAYA LAND

    Mwaka 2015 Rais Magufuli angepewa uwaziri Mkuu , tungepiga hatua kubwa sana na inawezekana he could be still Alive

    Kushindwa kumuelewa MTU na kukosa maono . Kwa nature ya Magufuli., he was not a good politicians . Kwahiyo mambo ya ndio na hapana even criticism ,those things need high level of emotional intelligence. Unfortunately JPM never had those attributes. Kama tungekuwa na jicho zuri JPM could be...
  16. Waufukweni

    Bashe: Mpina huyu aliua Kitalu cha Mbegu kwa Siasa za Uongo, alimpotosha Rais Magufuli

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, akihutubia Mkutano wa Hadhara Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 17 Juni, 2025 kwenye ziara ya Rais samia amesema kuwa; ''Jambo jingine ambalo Mhe. Rais nataka nilitolee maelezo na nataka hili niliongee polepole Wakulima wote wa Pamba na Wanasiasa...
  17. JanguKamaJangu

    Unakumbuka Mkurugenzi wa CRDB Bank aliposema wamefungua tawi Chato kwa kuwa utafiti umefanywa na Rais Magufuli?

    Rais John Magufuli akielezwa jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk Charles Kimei baada ya kufungua tawi jipya la benki hiyo lililopo Chato Mkoani Geita. Kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaji, March 9, 2018. Picha na Othman Michuzi. SEHEMU YA STORI YA MWANANCHI...
  18. M

    PreGE2025 John Heche ameanza kuzungumza kama Hayati Magufuli

    Ukimsikiliza makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche kwenye hotuba zake kuhusu wizi wa rasilimali za taifa utashindwa kuelewa kwanini alimpinga Hayati Magufuli. John Heche amefafanua kuwa wizi wa rasilimali za nchi kwa sasa umefikia kiwango cha kutisha sana, mfano watanzania walitumia kodi zao...
  19. Just Pray

    Kumbukizi: Rais Magufuli akimtumbua Kangi Lugola, 'kama kuna wizara inanitesa ni wizara ya mambo ya ndani, kusainiwa kwa mikataba ya ajabu ajabu'

    Alhamisi ya Januari 23, 2020 aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli alionesha kusikitishwa na kitendo cha waliokuwa viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutia saini makubaliano ya zabuni ya kununua vifaa...
  20. Camilo Cienfuegos

    Kabendera: Komando mstaafu na aliyeshriki Jaribio la Mapinduzi dhidi ya Nyerere mwaka 1982, Christopher Kadego alitekwa na kuuawa kwa amri ya Magufuli

    Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President. Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere. Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza...
Back
Top Bottom