Baba Mtakatifu Dr Robert Prevost -PhD (Papa Leo XIV) ni raia wa nchi zifuatazo;
1. Marekani (by birth),
2. Peru (by naturalization),
3. Vatican (Rais na Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani).
IPO haja na sisi tukubali uraia Pacha kuvuna vipaji vya huko duniani eg Bill Gates, Elon Musk, Mark...