rafiki

Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Furaha mkewe kuwa na mtoto yageuka aibu kadai ati my wife delivered a baby boy! badala ya my was delivered of a baby boy!

    Wadau Ujuaji siyo mzuri ila furaha ni jambo njema tuendelee kujifunza lugha za wakubwa duniani tusikate tamaa! Kiswahili ni kiswahili na kiingereza kisalie hivyo! -SHE delivered a baby boy ❌ -SHE was delivered of a baby boy ✅ ➡️ ➡️ kumbuka kwa Waingereza "A woman is...
  2. Nataka nichape rafiki wa mchepuko wangu,nitumie mbinu gani?

    Wakuu,hamjambo? Nina mchepuko wangu juzi kati akanitambulisha kwa shosti wake flani hivi,ebana huyo shosti yake ni pisi sio ya nchi hii,udenda ukanitoka asee,nikavizia mchepuko wangu kaenda toilet fasta nikachukua number,sasa nimeishaipigia kuisaundisha ila inanizingua inaniambia eti me ni...
  3. SLAVE MENTALLITY: Unaweka watu foleni kugombania nafasi ya kuwa rafiki yako, nilijuaga urafiki unakuja kiasili.

    Kuna mtu humu anawaenjoy masela basi na wao wanachekeleeea hawajui kwamba wapo katika "matrix" yake ya kujimbwafai.. Too bad wachache ndio wataelewa.
  4. Nashauri: CHADEMA, wafuasi wa Lissu, Ndugu, Rafiki na jamaa Wasiende Mahakama kuanzia siku ya Leo

    Hamjambo! Sijui nini kinaendelea, na sitaki kujua. Kumaanisha siwezi kueleza na sitaki kuelezewa kuhusu kile kiitwacho Kesi ya Lisu. Ila nitashauri mambo madogo ambayo yanamashiko tunapoenda katika ukingo wa zoezi hili; 1. Kuanzia leo, Wale wanaojiona wana ukaribu na Lisu, wanachama wenzake...
  5. Namtafuta kijana wa rafiki yangu

    Huyu kijana baada ya baba yake kufariki alikaa kwangu.... kwa kifupi baba yake alikuwa ni rafiki yangu sana,,,tulisafiri nae mikoa mbalimbali ya Tanzania kibiashara..... HUyu rafiki yangu asili yake ni Uarabuni,,,,na huyu kijana wake mama yake ni mswahili kutoka huko mikoani tunakofanya...
  6. Natafuta rafiki wa kike Umri kuanzia 18

    Napatikana Kakola(Kahama) umri wangu 32. Government Employed
  7. Nime share a hotel room na rafiki yangu wa kiume

    Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine, Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala...
  8. W

    Rafiki yangu kamususa mke

    Rafiki yangu kamususa mke baada ya kugundua anamchiti na mke amegoma kuomba msamaha ila jamaa amesema huyo mke wake anakaa uchi kama njia ya kumrudisha jamaa kwenye mstari na huyo jamaa amejikuta akirudisha mahusiano huku akijua fika mke wake anamchiti, japo amesema anampango wa ku muvu lakini...
  9. Kumbe kuna Timu ilimtaka Jonathan Sowah kwa Mkopo kama ilivyozea huku ikijitamba ni Tajiri na ina Mtu wao huko huko alikotoka Sowah?

    Mwenye nae aliwaambia pamoja na kwamba Mimi ni Mwenzenu na nawapenda mno halafu nimeshawapeni sana Wacherzaji wazuri kwa bure bure ila kwa huyu Jonathan Sowah siwapeni hadi mniingizie Shilingi Bilioni 1 ili inisaidie pia katika Kampeni zangu Mkoa wenye Wanawake wazuri, wepesi Kutongozeka na...
  10. N

    Namtafuta rafiki yangu 'Rehema Abdallah Moris' alikuwa anaishi ghorofa za shekilango (NHC),Dar es Salaam.

    Habari waungwana! Namtafuta rafiki yangu kipenzi Rehema Abdallah Moris mara ya mwisho kuwasiliana nae ni mwaka 2011 kama sijasahu. Tulikuwa na urafiki wa karibu sana mara nyingi nilikuwa namtembelea shekilango tunapiga stori zetu ubungu plaza hotel,stand shekliango au kwenye migahawa ya maeneo...
  11. Rafiki yangu kaoa ila kashindwa kuacha kulala na malaya

    Wajomba jana hapa Mwanza Bar ya Bundesliga Nyasaka nilikutana na rafiki yangu wa muda mrefu sana, katika kupiga 1 moto 1 baridi akaanza kuniambia ABCD tangu alipooa.....!! Huyu rafiki yangu tumezunguka sehemu nyingi sana site na kila kona chafu chafu za matrafiki wa usiku anajua na ndio michezo...
  12. J

    Kisa Cha kweli cha Rafiki yangu Tajiri ambaye kwa sasa anaokota Makopo

    Tafadhali naomba usikilize radio yetu hapa kisha add kama favorite Jesus News Radio Leo nataka nikupe kisa cha kweli cha rafiki yangu wa O-level. Mwamba huyu aliyetoka familia ya kawaida kabisa, lakini alikuwa na kiu ya mafanikio isiyo na mfano. Tukiwa shule hakuwa mwanafunzi wa kushika namba...
  13. Mke wa rafiki yangu ananitaka ili alipe kisasi Kwa mume wake

    Ndugu zangu Moja Kwa Moja kwenye mada, nina mshikaji tumeshibana ki mtindo Japo mm nina mapungufu na yeye pia anayo ila tumechagua kusonga kama washikaji. Umri wetu ni 28+. Mwamba alianza ku date na rafiki wamke wake ambaye ni jirani yake, kama mjuavyo mapenzi yalivo na nguvu ilikua ni ngumu...
  14. Nauliza nani amewahi kupata rafiki au mpenzi jinsia tofauti na yake kwenye app za Tinder, Badoo au Bumpy

    Nauliza nani amewahi kupata rafiki au mpenzi jinsia tofauti na yake kwenye app za Tinder, Badoo au Bumpy
  15. T

    Natafuta rafiki wa kike wa mtandaoni

    Mimi NI mwanaume, natafuta rafiki wa kike wa online WA kubadiliahana mawazo, Stori na uzoefu pasipo kuonana wala kukutana.
  16. Umemtongoza demu wa rafiki yako unaenda kumla unakuta bado ni bikra

    Hii imenitokea juzi kati kuna jamaa yangu, mmoja alikuwa demu wake mkali ,alisha wahi kunitambulisha kwa huyo demu wake ,sasa mazoea yakaanza mimi na huyo shemela ,tukawa tunaitana shem shem +kutaniana sana sasa siku moja nika jaribu kumshushia swagga akawa amejaa kwenye mfumo, kumpeleka ghetto...
  17. Natafuta rafiki wa kike nipo Dar es salaam

    Natafuta rafiki wa kike nipo Dar es salaam,Mimi ni mwanaume wa miaka 28,dini Mkristo, njoo PM kwa maelezo zaidi
  18. Natafuta rafiki wa kike Mimi ni mwanaume

    Natafuta rafiki wa kike Mimi ni mwanaume wa miaka 28, Nina stashahada ya ufundi mitambo, nipo dar es salaam, Mbezi. Tutakuwa tunabadilishana mawazo ya maisha. Namba ya simu pm
  19. Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam

    Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam, Mbezi ,wakupiga nae stori, mambo ya maisha..n.k. jinsia wa kiume, Nina umri wa miaka 28,dini Mkristo ,Mimi ni fundi mitambo. Karibu PM / Inbox nikupe namba
  20. Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam

    Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam, Mbezi ,wakupiga nae stori, mambo ya maisha..n.k. jinsia wa kiume, Nina umri wa miaka 28,dini Mkristo ,Mimi ni fundi mitambo. Kwa maelezo zaidi njoo pm
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…