punguza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Moto wa volcano

    Unapopanga Jambo lako la sherehe punguza matarajio

    Unapopanga jambo lako mfano haruc , birthday au sherehe yeyote ile tambua ya kwamba ratiba yako wewe sio sawa na ya mtu mwengine . Usichukie mtu kwasababu hajatokea kwenye jambo lako hauwezi jua ratiba yake / hali yake ikoje , punguza matarajio ya kwamba fulani atakuwepo
  2. mwehu ndama

    Maria sarungi Punguza mihemko na utoaji wa taarifa zisizo na uthibitisho. Mnapoteza kuaminika

    Binafsi naipinga serikali batili ya CCM na Kila jambo lake .Lakini nafikiri kama kuna kitu Hawa wanaojiita wanaharakati wanakosea sana basi ni utoaji wa taarifa hovyohovyo, Tena za upotoshaji .Hii inapunguza kuaminika kwenu mbele yetu sisi wananchi . Tena wew Maria sarungi na Hilda Newton...
  3. Wakusoma 12

    Mwigulu Nchemba kwenye hotuba zako punguza kufokafoka

    Jana nimekuona ulihutubia wananchi huko Singida badala ya kusema maneno ya maana na kuhutubia umoja, mshikamano na haki wewe ukaanza kutoa mapovu. Mara ooo mimi sina biashara, mara hoooo mama yangu Muislamu na blablaa kibao. Mwigulu Nchemba huko watanzania washatoka na huo utapeli wa kutufokea...
  4. wisdom mapambano

    Mwanadamu punguza kujiinua

    Mwanadamu unaposhiba, usiwasahau wenye njaa. Mwanadamu unapofanya sherehe, usiwasahau wale walio katika matanga. Mwanadamu unapokalia kiti cha mamlaka, usiwasahau wale wanyonge waliopo nje ya boma. Mwanadamu, punguza kiburi juu ya nguvu unayodhani unayo. Jiulize: Mungu wa mbinguni ana...
  5. R

    Kama unajua ulitumia hivi vibatari punguza kula sukari na mafuta

    Wakuu, kama unajua ulitumia hivi vibatari, Punguza Sukari na mafuta.kisha Kumbuka kulala mapema. Muda umeenda sana saivi ni hekaheka tu huwezi mapambano tena ushakua mzee wa siku
  6. Samia atosha tukutane2030

    Shetani punguza masharti. Hili sharti la kupandana watu wa jinsia moja linatumalizia vijana wetu

    Hello! Wanaume wanapopandana au wanawake wanapopandana wao kwa wao automatically ni kama wanajiengua kwenye idadi ya watu duniani. Kama kwenye familia au ukoo mko 50 na 5 wamekuwa mashoga na wasagaji hiyo familia inapaswa kuhesabika mko 45 tu. This calculation also can be applied in national and...
  7. D

    Punguza uzito kwa Juisi ya Papai na Karoti

    Njia ya Asili Baada ya chakula cha jioni (saa 2–3 usiku), andaa juisi nzito ya papai na karoti usiongeze maji kabisa kwa sababu papai tayari lina maji ya kutosha. Kunywa glasi moja kubwa mara baada ya mlo wa jioni. Faida zake ni: Husaidia mmeng’enyo wa chakula tumboni 🥗 Hufanya usiku wako...
  8. D

    Punguza Tumbo na Mafuta Mwilini

    Punguza Tumbo na Mafuta Mwilini Ungependa kuondoa kitambi na kuishi na mwili mwepesi, wenye afya na nguvu kila siku? Soma kwa makini siri hii rahisi lakini yenye matokeo makubwa. Hii ni kwa wewe mwanaume au mwanamke, unaweza kuona mabadiliko makubwa ndani ya muda mfupi. Kinywaji cha Asubuhi...
  9. D

    Punguza uzito kwa asali na maji tu

    Kama unapambana na uzito mkubwa au unataka kulinda mwili wako usiongezeke, kuna njia rahisi na salama unayoweza kuanza leo. Soma kwa makini maelezo haya, hasa kama unataka kuondoa kitambi na kufanya ngozi yako ipendeze. wewe ni mwanaume au mwanamke, kitambi kinaweza kupotea kabisa. Faida kwa...
  10. F

    KERO Kuna kelele katika Msikiti wa Kunduchi Beach

    Sisi majirani karibu na msikiti wa kunduchi Beach eneo la Mtakuja, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu kelele kubwa kutoka msikiti huo uliopo mtaa wa Mbudya. Ibada katika msikiti huu huanza kuanzia saa 10 alfajiri, na sauti inayotumika ni kubwa kupita kiasi cha kuwasumbua wakazi wa eneo hili...
  11. Technophilic Pool

    Je kuoa makabila ya mbali kuna punguza magonjwa ya kijenetikia?

    Unajua kwanini ndugu na ndugu hawaoani? Hii si sababu ya kidini tu bali sababu ya kisayansi pia. Kuoa ndugu wa karibu au jamii ya karibu kunasababisha kuendeleza au kuambukizana magonjwa ya kiurithi ambayo yanayembea kwene kabila au ukoo flani
  12. Bodhichitta

    Mwanaume punguza stress na ongeza siku za kuishi Kwa kanuni hii ya 40%, 30%, 25%, 5% na 0%

    Aslaam, Kumekua na tafiti zinazoonyesha wanaume huishi umri mdogo zaidi ukilinganisha na wanawake. na kumekuwa na sababu kadhaa zinazofanya mwanaume Awe na maisha madogo ya kuishi. sababu Moja wapo ikiwemo stress nyingi zitokanazo na kubeba mzigo wa familia. leo hii nataka nikupe hii kanuni...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ukiona mtu anayefanyakazi mgodini(Miner) anatumia hela zake, punguza ushauri na wivu

    Wakuu Ni Vyema Na Haki ushauri wako ukajikita zaidi katika kujenga na kuboresha Familia yako. Sio sahihi kutoa ushauri kwa mtu usiyekuwa na mchango wowote ule katika uchumi wake kama hajakuomba umshauri. Nitajikita sana kwa wafanyakazi wa mgodini maarufu kama Miner.Hawa watu wanasemwa sana...
  14. Binti wa zamani

    Waume zetu ndiyo tumefikia huku jamani?

    Haya, kitu gani ungependa bebi wako apunguze maana amejisahau sana.
  15. Ngongo

    Lema punguza uhuni !

    Heshima kwenu wanajamvi. Lema kafanya press conference 3 ndani ya week hoja zake ni zile zile hana jipya. Uhuni wa Lema ni pale alipowaburuza wenyeviti wa mikoa wasiozidi wanne na kuwachanganya na wahuni wa Mbarahati na kudai ni Wenyeviti wa Mikoa 25. Tunajua Lema amevuta mpunga mrefu...
  16. A

    Lissu punguza ukali wa maneno unapoita jina la Rais Samia

    Mara nyingi unapenda kumtaja kiongozi wa nchi' Mama Abdul 'huyu mama Abdul hana jina? Kama ana jina unaogopa kitu gani kama unachozingumza ni sahihi? Nadhani unatakiwa kubadili siasa zako za maji taka.Wewe ni mwanasheria msomi mama Abdul ni nani? Machawa wa Lissu saidieni hili
  17. dr namugari

    Dkt. Slaa punguza kisebusebu wewe ulinunuliwa na CCM kuhujumu CHADEMA

    Huyu amekuwa akijiona ni mkamillifu sna na mjuaji kinoma yeye ameusika moja kwa moja kuhujumu chadema na hata saulika Leo amekuja naanza kuleta chuki zake na ukatoliki wake kwenye siasa za chadema huku akiwa ni msaliti namba moja Akumbuke alihongwa pesa ili kuivuruga chadem Leo ameibuka amenza...
  18. Just Pray

    Acha kuwa na wapenzi wengi ili ujikinge dhidi ya saratani

    Daktari bingwa wa magonjwa ya Wanawake na Uzazi Dkt. Lilian Mnabwiru wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, amesema miongoni mwa sababu zinazoweza kueneza kwa haraka kirusi kinachopelekea saratani ya mlango wa kizazi ni watu kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja. Soma pia: MJADALA: Umuhimu wa Chanzo Dhidi...
  19. J

    Waziri Mbarawa Punguza punguza parking fee za magari vituo vya SGR

    Hivi Waziri Mbarawa na Kadogosa hivi kweli wakati mnapanga parking fee ya shilingi 2000 per hour, then 20,000 per one day mli take into consideration ya hali halisi ya maisha ya Mtanzania? Labda nikwambieni tu kwa mtanzania wa kawaida (Middle Class citizen) ambao ndo wengi na vigari vyao vya...
  20. N'yadikwa

    PICHA: Kama unalijua hili tangazo, punguza ulaji wa chumvi na sukari, ongeza mazoezi

    Kama unalimanya vema hili tangazo pendwa basi uzee umeshakufikia. Tunza afya. Fanya mazoezi, punguza ugimbi, sukari, chumvi na mafuta. Piga mambogamboga, mabilinganya nk
Back
Top Bottom