Wakuu habari za asubuhi,
Leo nikiwa nacheck kideo home Kuna Channel ya WRM tv nikaona ngoja nione huwa kuna vipindi gani humo, ndo nikamuona huyo sijui Mchungaji au sijui Nabii ama Mtumishi.
Basi alikuwa anatoa maombi yani anaomba anasema kama unataka kuwa bilionea Basi nyoosha mikono juu...