Wana JF naomba kuulizia ni kampuni au ofisi ipi yenye uwezo wa kufanya Marketing na promotion ya bidhaa kama ya mafuta ya kula wawe wamesajiliwa na wana uwezo wa kutoa document za risiti, proforma invoice na delvery note.
Promotion inatakiwa ifanyike Arusha, Dar, Kilimanjaro na Manyara kama...